Binafsi hata hiyo form four inabidi tuiangalie iko vipi, maana hapa Tanzania tunao watu wenye vyeti kuonyesha wamehitimu form four au degree lakini kiukweli hawana elimu inayofanana na vyeti hivyo. Labda tutafute utaratibu wa kuwapa interview kwanza
On Thu, Sep 4, 2014 at 2:51 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Halafu hao wabunge wanataka Mikataba ya Gesi ipelekwe Bungeni kweli? duh mimi maamuzi yangu yangekuwa angalau Diploma tena hata siyo ya Hoteli bali Diploma ya mambo ya biashara, sayansi na mengineyo yanyofanana.
2014-09-04 13:32 GMT+03:00 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:--BUNGE MAALUM LA KATIBA
Kamati imeshauri kigezo cha mbunge kuwa na Elimu ya form 4 au na kuendendelea ifutwe bali iwe kila raia mwenye uwezo wa kujua kusoma na kuandika kwa Kiswahili na Kiingereza awe ana haki ya kugombea ubunge wananchi ndio wataamua.....Swali je utaweza kumjua huyu anajua Kiingereza? Pili kama Mbunge kiwango cha Elimu sio kigezo hivi tunaenda wapi?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:
Post a Comment