Kumbe hata ile ya kubeba mke na watoto nayo amemwiga Obama!em2014-09-10 3:24 GMT-04:00 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>:Huo ni utaratibu wa kawaida wa Kigwangallah.
Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.
On Sep 10, 2014 9:31 AM, <mchunguzihuru@gmail.com> wrote:----HAMIS KIGWANGALLA KWA KUCOPY NA KUPASTE SPEECH YA OBAMA NA WEWE UNAUTAKA URAIS!!!
Ndugu zangu,Bob marley enzi za uhai wake aliwahi kusema, "You can fool some people for sometime but you cannot fool all the all the people all the time".Mchakato wa Urais wa nchi yetu umefikia pabaya,juzi Mbunge wa Nzega(CCM) Hamis Kigwangalla ambaye taaluma yake ni Daktari wa magonjwa ya binadamu naye alitangaza kuutaka Urais,sina ugomvi na nia yake.Bali nina ugomvi na uwezo wake mdogo wa kudhani anaweza kudanganya Taifa nzima mchana kweupe.Kigwangalla alitoa hotuba ambayo wengi waliisifia sana bila kujua,Ukweli ni kwamba Hotuba ya kigwangalla ni COPY and PASTE ya hotuba ya OBAMA aliyoitoa mwaka 2004,Boston katika mchakato wa kumtangaza mgombea urais wa marekani wa mwaka ule John kerry,Speech ile inafahamika sana kama OUT OF MANY ONE kwa kilatini E PLURI.BUS UNUM .Alichokifanya kigwangalla ni kuitafsiri tu ile hotuba kutoka kiingereza kuja kiswahili na kuisoma mbele ya wanahabari.Binafsi nina hazina kubwa ya Speech nyingi maarufu ulimwenguni nilipoisoma tu hotuba ya kigwangalla katika mtandao wa wanabidii forum nikaikumbuka OUT OF MANY ONE,ya OBAMA ktk DEMOCRATIC NATIONAL CONVENTION(DNC),2004.Wachambuzi wengi wa masuala ya hotuba wanadai hotuba ile ndiyo iliyomfanya OBAMA kupata Urais,kwani aliongea mambo mengi kumhusu yeye,chama chake cha Democrat na mstakabali wa Taifa akirajerea kitabu chake cha AUDACITY OF HOPE.Inamaana kingwangalla alifikiri naye kwa kucopy ile hotuba atapata Urais kwa kua tutamuona kichwa kwa kuwataja hadi wauza vitumbua km ishara ya kuonesha atakua Rais wa wote hahahahaha,Kigwangalla nafikiri tulia kwanza,ukirukaruka hata Ubunge hutapata kule nzega.kama mtu anashindwa kuandika Hotuba yenye kushawishi watanzania kumuamini atakua na uwezo wa kuongoza Taifa ??? Urais si lelemama......Tuwapime hawa wasaka Urais
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment