Bwana makokongoro unamaanisha nini unaposema kundi kubwa na kundi dogo?
Vile huyu ni kundi dogo agharamie mambo ya kundi kubwa sio hebu weka wazi kidogo kwa manufaa ya jukwaa inawezekana.tupo wengine akili yetu imetudanganya hatuoni kwa upeo wetu
On Sep 10, 2014 2:34 PM, "Juma Kongoro" <jumakongoro@gmail.com> wrote:
-- Katika siku nilizo choshwa na Mwenyekiti wa bunge la katiba ni leo, kama unaweza kuchomekea Maoni mapya kutoka kwa wasanii.unatumia kigezo gani kukataa maoni ya Waislam ya swala la mahakama Ya kadhi kuwemo kwenye katiba?kwa ufahamu wangu mdogo maswala ya muundo waisha ya waislamu mengi yanaendeshwa kupitia mfumo wao maharumu,ambao unasimamiwa na mfumo wa kadhi hiweje makundi mengine madogo yanasikilizwa kuliko Kundi hili kubwa?Mzee Sitta unatupeleka wapi?--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment