Safi sana na iwe hivi bila ya kutoa rushwa. Wanatengeneza mashoga kisha kuwabagua kutaka kuwaua. Kumbe wanawatengeneza wenyewe na kuharibu wasichana. kaambiwa na mganga atatajirika kumbe kampa shuzi asirudi kudai hela zake atakazotoa asifanikiwe kwa vile atalala jela. Tamaa gani hiyo kama si wanga na uchawi? Wengine tumesaidia kutibu vitoto vingi vya shule za msingi vyenye STDs. bado hao ambao hawasomi wapo kijijini au mtaani. Wale wa darasani unawaambia wakuandikie kisiri matatizo yao yanayowakabili ambayo anataka msaada ni kero inamsumbua kiakili na kimwili na anaogopa kumwambia mtu au mzazi/mzazi. Wewe utamsaidia na kuweka siri. Ukisoma hizo karatasi wanazokuandikia kuhusu matatizo yao utalia kucha. pamoja na haya ya kulawitiwa, kubakwa na ndugu wa karibu, mlezi, jirani ambako baba ana deni; kubakwa/kulawitiwa na wenzake wakiwa wanarudi shule au na vibabu vinavyowavizia njiani na kuwatisha wakisema, alipokuwa akioga mtoni au akitafuta kuni shamba. Kuwa karibi na wanao au unaowalea, jenga mazingira ya urafiki nao ili wakueleze shida zao uwasaidie.
On Thursday, 11 September 2014, 10:24, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com> wrote:
AFUNGWA MAISHA: Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Ruvuma jana imemhukumu John Mapunda kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka 9.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment