Sunday, 4 May 2014

[wanabidii] mwanambaya plot cheap

Wapendwa  japo wengine mnanipiga mkwara nisiwe napost humu masuala ya fursa, jamani lakini si vyema niwanyime wengine fursa kwa sababu ya baadhi yetu, atleast once a week niwape whats is happening in properties...fursa ni fursa .......
OK
Kuna plots/mashamba kibao za bei rahisi maeneo yafuatayo kule mkuranga, mwanambaya (eka kuanizia m 4) kisemvuli(eka kuanzia m 4 negotiable) mipeko(eka kuanzia m 3)...kuna eka 80 kwa m 300 mipeko village ina hati kabisaa, kuna eka  eka 2 mwanambaya (mil 9 barabarani) kisemvule aka 4 zenye hati m 4000 jirana na rhino cement, eka 20 zipo mbane bei m 500 negotiable, eka 50 zipo mvuti kwa mzungu bei m 250 tu, eka 100 kila eka m 3  lipo mvuti jiran na shamba la magereza mvuti.
kibaha: kuna eka 8.5 along main road m 280 tu,  ena 2.5 kwa sh 350 million  just near tamcobezi beach plot sqm 400 zipo 2 zote m 100. kijiji cha zumba kuna eka 2o kila eka laki 4 tu hiki kijiji ni km  11 tok TUMBI HOSP wapendwaaa, msiogope

Nyumba zipo kibao ubungo zipo za m 35 hadi 50, sinza zipo za m 100 hadi 500, ars ipo ya m 50 mbauda, mikocheni ipo ya m 500, mbez luis zipo za m 60 hadi 200, ukonga ipo ya m 130 kali sana, bunju zipo za m 40 hadi 300, bahari beach zipo za m 200 hadi 500
Tuone tukupe tukuoneshe hz fursa zilipo
Njoo sinza mori
Uliza....Rockland Co ltd
Uliza mollel, the Real estate coordinator
au nipigie 0652 314181 muda wowote

0 comments:

Post a Comment