Jama waliofanikisha yeye kuwa hapo alipo na kwa kushirikiana naye ndio
wamezitafuna amsake nani sasa?
On 11/25/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
> Atashindwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria wale
> wote wenye kuhusika na kashfa hii inayoitia aibu Taifa akiwemo Rais wa
> Nchi.
>
> Shilingi milioni 600 zimetafunwa halafu tukae tukimchekea Waziri wa Fedha
> hata pale anaposhindwa kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha kwenye mikono ya
> sheria wahusika wa uhalifu huu. Itakuwa ni jambo la fedheha sana.
>
> Tayari Sweden na Finland wameshasimamisha kutoa fedha zaidi kusaidia
> programu hii ya maboresho kwa tawala za mikoa ikiwemo halmashauri zetu.
> Wana sababu za kufanya hivyo na zaidi pale sisi wenyewe tunaoonyesha
> kuwachekea wahalifu wetu. Ambao kimsingi ni wezi na wabadhirifu wa fedha za
> umma. Fedha za wananchi.
>
> Tunaambiwa maafisa wetru wametumia fedha pia kununua magari ya kifahari.
> Kulipana kwa viwango vya ajabu posho za vikao na marupurupu mengine.
>
> Na wizi huu wanaufanya huku wakijua kuwa Wananchi wa kawaida waliolengwa
> kwa misaada hiyo ndio wenye kuathirika zaidi. Ni ubinafsi wa hali ya juu.
>
> Na tarehe 5 Desemba Waziri Kivuli wa Fedha, Mh. Zitto Kabwe amealikwa
> kwenye kongamano la jubilei ya Miaka 50 ya Ushirikiano wa Sweden na
> Tanzania. Naye, hata kama yuko bize na ' Vita' vya ndani ya chama chake ni
> lazima awe na majibu kwa washirika wetu hawa wa Kimaendeleo juu ya hatua
> zinazochukuliwa katika kushughulikia ubadhirifu huu wenye kuwakatisha tamaa
> hata Washirika wetu wa Maendeleo.
>
> Maggid Mjengwa.
> Iringa.
> 0754 678 252
> http://mjengwablog.com
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni
> taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
--
mission without implementation is hallucination
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment