Saturday 30 November 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC

Kitila huo ndio unapaswa kuwa msimamo sahihi sio ohh wakenya watatupora ardhi au ajira zetu. 

On Sunday, December 1, 2013, kitila mkumbo wrote:
Hii inatia moyo sana. Tunaweza. Tatizo kuna viongozi ambao wanatia watu unyonge bila sababu zozote. Hatuna sababu kuogopa Jumuiya yetu ya Afrika Masharika. Watu wetu wana uwezo kabisa wa kushindana wakipewa mtizamo sahihi.

Kitila
 
From: matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Saturday, November 30, 2013 7:31 PM
Subject: [Mabadiliko] Mtoto Mtanzania ashinda insha EAC

Peter Robert Kilave, mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Tushikamane ya mjini Morogoro, amechukua ushindi wa kwanza kwa wanafunzi wote wa shule za sekondari wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika shindano la insha kuhusu ujenzi wa miundombinu Afrika Mashariki. 

Amepewa tuzo ya dola za Marekani 1,500 na cheti na Mwenyekiti mpya wa Jumuiya, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. 

Hiyo ilikuwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC jijini Kampala, leo Jumamosi, Novemba 30, 2013. Rais Jakaya Kikwete alimwita jukwaani na kumpa mkono wa pongezi huku ukumbi ukizizima kwa shangwe. 

Kijana huyo mtanashati na mpole alijizolea dola zingine kutoka kwa viongozi na maafisa wa Serikali ya Tanzania kwa kuibeba Tanzania katika kipindi hiki chenye changamoto za ajabu ajabu ndani ya Jumuiya.

Mshindi wa pili alitoka Uganda; wa tatu Burundi; wa nne Rwanda na Mkenya alishika mkia. 

Dogo huyo wa Tanzania ataendelea kuvinjari nchini Uganda kwa siku ili wamwone kwa karibu zaidi. Atakuwa na maafisa wa EAC, afisa mwandamizi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Tanzania pamoja na mwalimu mkuu wake.

Hongera Watanzania wote.

Matinyi.

From my Android phone on T-Mobile. The first nationwide 4G network.
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment