Tuesday, 12 November 2013

Re: [wanabidii] MSAADA TUTAN KWA MADEREVAI: UWASHAJI WA AC KWENYE GARI

SUV  ni  nini   mkuu 

hebu niweke sawa.

Regards

On Wed, Nov 13, 2013 at 8:24 AM, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
Njovu, 

Unaliumiza gari lako, 1800 CC car is not meant for long safari. Jipange uhamie SUV. 

Pamoja na hiyo bado sijakubaliana na wanaokubali kuwa ukiwasha AC fuel consumption bado ni normal.

Kitu kingine kinachoongeza fuel comsuption ni kujaza either abiria au mizigo; kunalifanya gari kuwa zito.

Lutinwa

2013/11/13 Xavery Njovu <njovucom@gmail.com>
Felix 

Hata  sielewi  nianzie  wapi  lakini msingi  wa  hoja yangu.  Ni  kuwa  huwa   napenda  kusafiri  masafa  marefu.  Sasa  hivi  naanda   safari  ya  KM  1500 kutoka arusha kwenda  songea  mpaka  pale  kijijini kwetu  lugagala. Natarajia  kutumia  gari  ya cc  1800. Nahitaji  kutumia  ac  katika safari  yangu yote.  Ndio  maana niliomba  huu muongozo.

Regards

xn 

2013/11/12 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
Hallo Mwema,

Mimi ni Mwalimu Chuo cha Usafirishaji na moja ya kozi tunazotoa ni ufundi wa magari.

Kwa kifupi kabisa. Ili kiyoyozi kifanye kazi kinahitaji nguvu (power) itokanayo na nishaji ya kukifanya kifanye kazi.

Wote tunajua kuwa kiyoyozi kinahitaji compressor na hii compressor hufanya kazi kwa kuendeshwa na injini kupitia mifumo ya mikanda.

Ukweli ni huu. Fuel consumption ipo lakini ni kidogo mno kama alivyosema Xavery na inategemea.

Kumbuka, kila kitu ni sayansi. Ukifungua madirisha unakutana na air resistances na hizi huongeza matumizi ya mafuta. Ukifunga madirisha unapunguza air restances. Hivyo, ukifunga madirisha na kutumia kiyoyozi unaweza save mafuta kuliko aliyefungua madirisha.

Ni somo kubwa.

Nahitimisha kwa kusema - matumizi ya mafuta kwa kuwasha kiyoyozi ukweli ni madogo kama gari yako nzuri.

Betram Kiswaga

On Tue, Nov 12, 2013 at 5:42 PM, Xavery Njovu <njovucom@gmail.com> wrote:
Kwenu  Wote

Katika pita pita zangu. Nilikutana  na mtaalamu mmoja wa  magari  akaniambia. kutowasha ac  kwenye gari ni kujitesa. Kwa sababu  mfumo  wa  AC  unajitegemea  na auingiliani  na mfumo  wa mafuta.  na sio  kweli  eti ukiwasha  ac  gari lako  litakula  mafuta mengi.  Haya hebu  tupeni  utaalamu mafundi  wa  magari.

Regards

--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment