Tuesday, 12 November 2013

Re: [wanabidii] BURIANI DR SENGONDO MVUNGI

Matinyi,
Polisi wenyewe ndo majambazi na majangili. Wabunge wetu ni wapiga kelele tu. Ona matukio ya kutisha yaliyowatokea Ab na Uli. Siasa tu. Ona tembo wanavyokufa afu wabunge wanapiga stop op ya kutokomeza ujangili, huku wao wenyewe wapo katika kundi la watuhumiwa. Umesahau yule mbunge aliyepata kukamatwa na meno ya tembo miaka ileee ya nyuma? Je, si tumeambiwa hapa jana kuwa polisi amekamatwa na meno ya tembo?

Hakika ni majonzi makubwa.

On Wednesday, November 13, 2013 7:52 AM, matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
Hii kitu mimi toka jana nashindwa cha kusema. Imeniuma mpaka nikahisi si kweli. Yaani huyu Mtanzania hayupo tena? Kwamba washenzi wakali wamechukua maisha yake kirahisi tu, kwa mapanga tu? 

Siku moja, miezi michache iliyopita, nilikutana na Prof Kabudi; tukazungumzia katiba mpya na akasema tupange siku ili Dkt. Mvungi naye awepo kwenye gumzo. Maskini dunia hii, kabla sijajipanga niwatafute mabingwa hawa wa sheria nchini, vibaka wanakatisha maisha yake! Imenichukua muda kuamini.

Lakini tu, niseme hivi, kwamba kama Tanzania haitapata makamanda wa polisi mahiri na wenye akili na hekima, na wakasimamiwa na wanasiasa wasio na ubinafsi, basi nchi yetu itashindikana kuishi kabisa. Hatuwezi kuimudu kasi hii ya uhalifu. Tunahitaji mapinduzi katika sekta ya usalama wa raia. Kwa hali ilivyo leo hii, mambo ni magumu.

Poleni Watanzania wenzangu na familia ya Dkt. Mvungi. Tutamkumbuka kama mmoja wa mashujaa wetu, mwanasiasa, na nguli wa sheria. Kifo chake kiwe chachu ya mapinduzi katika mfumo mzima wa usalama wa raia. 

Matinyi.

From my Android phone on T-Mobile. The first nationwide 4G network.

-------- Original message --------
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: 11/13/2013 2:09 AM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] BURIANI DR SENGONDO MVUNGI

Yaani najitahidi kuwaqza kuwa sisomi habari hizi?????? nawafikiria waliomcharanga na motive behind??? Kama kuna uhakika wa waliokamatwa kwanini wasichukuliwe wakaachiwa sokoni? Wana faida gani watu kama hao kuwepo? Sijui naelewaje mimi? kuwa mvungi kauwawa basi??????

From: Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, November 12, 2013 9:21 PM
Subject: Re: [wanabidii] BURIANI DR SENGONDO MVUNGI

Sitaki kuamini
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Jacob Ruvilo <ruvilo2010@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 13 Nov 2013 00:17:20
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] BURIANI DR SENGONDO MVUNGI

RIP Dr Mvugi we can forget u physically but not mentally

lets lean for what goods u dd

On 11/13/13, Mwaipungu, Grace <grace.mwaipungu@ttcl.co.tz> wrote:
> Ni kweli kabisa Mashaka Mgeta,  lakini hatuna jinsi
>
>
>
> From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
> Behalf Of Mashaka Mgeta
> Sent: Tuesday, November 12, 2013 6:39 PM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] BURIANI DR SENGONDO MVUNGI
>
>
>
> Hata kuandika RIP Mvungi inazidisha majonzi na machozi........
>
>
>
>
>
> On Tuesday, November 12, 2013 7:37 AM, "Mwaipungu, Grace"
> <grace.mwaipungu@ttcl.co.tz> wrote:
>
> R.I.P Dr. Mvungi
>
>
>
> From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
> Behalf Of Daniel Stephen
> Sent: Tuesday, November 12, 2013 6:28 PM
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] BURIANI DR SENGONDO MVUNGI
>
>
>
> Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Dr Mvungi
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment