Njovu,
Unaliumiza gari lako, 1800 CC car is not meant for long safari. Jipange uhamie SUV.
Pamoja na hiyo bado sijakubaliana na wanaokubali kuwa ukiwasha AC fuel consumption bado ni normal.
Kitu kingine kinachoongeza fuel comsuption ni kujaza either abiria au mizigo; kunalifanya gari kuwa zito.
Lutinwa
2013/11/13 Xavery Njovu <njovucom@gmail.com>
xnRegardsFelixHata sielewi nianzie wapi lakini msingi wa hoja yangu. Ni kuwa huwa napenda kusafiri masafa marefu. Sasa hivi naanda safari ya KM 1500 kutoka arusha kwenda songea mpaka pale kijijini kwetu lugagala. Natarajia kutumia gari ya cc 1800. Nahitaji kutumia ac katika safari yangu yote. Ndio maana niliomba huu muongozo.
2013/11/12 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>Hallo Mwema,Mimi ni Mwalimu Chuo cha Usafirishaji na moja ya kozi tunazotoa ni ufundi wa magari.Kwa kifupi kabisa. Ili kiyoyozi kifanye kazi kinahitaji nguvu (power) itokanayo na nishaji ya kukifanya kifanye kazi.Wote tunajua kuwa kiyoyozi kinahitaji compressor na hii compressor hufanya kazi kwa kuendeshwa na injini kupitia mifumo ya mikanda.Ukweli ni huu. Fuel consumption ipo lakini ni kidogo mno kama alivyosema Xavery na inategemea.Kumbuka, kila kitu ni sayansi. Ukifungua madirisha unakutana na air resistances na hizi huongeza matumizi ya mafuta. Ukifunga madirisha unapunguza air restances. Hivyo, ukifunga madirisha na kutumia kiyoyozi unaweza save mafuta kuliko aliyefungua madirisha.Ni somo kubwa.Nahitimisha kwa kusema - matumizi ya mafuta kwa kuwasha kiyoyozi ukweli ni madogo kama gari yako nzuri.Betram KiswagaOn Tue, Nov 12, 2013 at 5:42 PM, Xavery Njovu <njovucom@gmail.com> wrote:
--RegardsKwenu WoteKatika pita pita zangu. Nilikutana na mtaalamu mmoja wa magari akaniambia. kutowasha ac kwenye gari ni kujitesa. Kwa sababu mfumo wa AC unajitegemea na auingiliani na mfumo wa mafuta. na sio kweli eti ukiwasha ac gari lako litakula mafuta mengi. Haya hebu tupeni utaalamu mafundi wa magari.
--" The Poor man is not he without cent, but he who is without a dream"
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

0 comments:
Post a Comment