Hi naomba tafsiri kwenye hili la fuel consumption.
URBAN 12 L/1002013/11/13 Fredrick Mageni <freddymageni@yahoo.com>
Jamani Habari za wakati huu,
Tukiwa bado katika maada hii hii ya uhusiano wa kutumia kiyoyozi na mafuta katika gari. Naomba kuuliza swali moja, Je matumizi ya kiyoyozi (AC) ndani ya gari yana madhara yeyote kiafya?
Freddy.
From: Mwema Felix
Sent: 2013-11-12 07:53 PM
To: Mailing List
Subject: Re: [wanabidii] MSAADA TUTAN KWA MADEREVAI: UWASHAJI WA AC KWENYE GARI
Hallo Mwema,Mimi ni Mwalimu Chuo cha Usafirishaji na moja ya kozi tunazotoa ni ufundi wa magari.Kwa kifupi kabisa. Ili kiyoyozi kifanye kazi kinahitaji nguvu (power) itokanayo na nishaji ya kukifanya kifanye kazi.Wote tunajua kuwa kiyoyozi kinahitaji compressor na hii compressor hufanya kazi kwa kuendeshwa na injini kupitia mifumo ya mikanda.Ukweli ni huu. Fuel consumption ipo lakini ni kidogo mno kama alivyosema Xavery na inategemea.Kumbuka, kila kitu ni sayansi. Ukifungua madirisha unakutana na air resistances na hizi huongeza matumizi ya mafuta. Ukifunga madirisha unapunguza air restances. Hivyo, ukifunga madirisha na kutumia kiyoyozi unaweza save mafuta kuliko aliyefungua madirisha.Ni somo kubwa.Nahitimisha kwa kusema - matumizi ya mafuta kwa kuwasha kiyoyozi ukweli ni madogo kama gari yako nzuri.Betram Kiswaga--
On Tue, Nov 12, 2013 at 5:42 PM, Xavery Njovu <njovucom@gmail.com> wrote:
--RegardsKwenu WoteKatika pita pita zangu. Nilikutana na mtaalamu mmoja wa magari akaniambia. kutowasha ac kwenye gari ni kujitesa. Kwa sababu mfumo wa AC unajitegemea na auingiliani na mfumo wa mafuta. na sio kweli eti ukiwasha ac gari lako litakula mafuta mengi. Haya hebu tupeni utaalamu mafundi wa magari.
--
" The Poor man is not he without cent, but he who is without a dream"
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--

XAVERY LANGA NJOVU
0783 662681
" The Poor man is not he without cent, but he who is without a dream" 0783 662681
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment