Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba kuna siku hayo makundi yatakwisha? na unaamini kabisa kwamba mtu mmoja atayamaliza? nieleze nchi moja tu ambayo haya makundi uliyoyataja hayapo. Ni mfumo ndio unayafanya hayo makundi uliyoyataja yapate nguvu nyingi na ni mfumo tu ndio unaweza kuyafanya yasiwe na nguvu. Na mfumo huo unaletwa na Katiba nzuri, kufuata sheria pamoja na serikali imara. Tukiwa na mihimili mitatu inayoheshimu mipaka yake (serikali, bunge na mahakama) tukawa na vyombo vya utawala veyenye madaraka ya kikatiba, hapo tunaweza kweli kwenda mbele. Mimi siamini kabisa kwamba sasa tunakwenda mbele kwa sababu hata Kama uongozi wa sasa unaweza kuwa unafanya mambo mazuri sana kwa taifa lakini ni sawa na mtu anayejenga nyumba nzuri na imara kwenye mchanga, kubomoka kwake ni rahisi tu.
2016-11-22 13:38 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huwezi kupanda pamba msituni. Unajuaa kuwa nchi sasa imegawanyika. Tema makundi yasiitostahili. Zamani kulikuwa na makundi ya wafanyakazi na wakulima. Sasa kuna mafisadi, kuna wanaowashabilia. Kuna wala rushwa, Kuna watoa rushwa. Kuna wezi wakubwa wasioweza kukamwtwa na polisi, kuna vibaka waliojaa mageerreza. Kuna walipa kodi, Kuna wakwepa kodi.
Haya makundi yanahitaji kuletwa pamoja ili waweze kujadili katiba ya watanzania. mfano uliona jinsi ambavyo watanzania waliandaa katiba yao chini ya Warioba na kundi jingine likaikataa chini ya waliomuweka Marehemu Samwel Sitta. magufuli akitaka kujadili katiba sasa tgukiwa msituni "pamba haitastawi"
--------------------------------------------
On Tue, 11/22/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, November 22, 2016, 12:32 PM
Asante sana Elisa kwa ufafanuzi
wako. Hata hivyo nasikitikia sana nchi yangu niipendayo
Tanzania. Sijui ni kitu gani kitatutoa kwenye huu ulevi wa
ubaguzi. Hata tunapoongelea suala muhimu la Katiba Mtanzania
mwenye elimu yake nzuri analeta ubaguzi, kwa kuona kwamba ni
wale tu wanaokubalika kwa watawala ndio wenye haki ya
kushiriki. Hata hayo maelezo uliyotoa ya lini Katiba
itapatikana mbona yana kasoro kubwa tu. utoe ahadi mwaka
2006 utekeleze 2020 hicho ni kitu gani?
Asante
2016-11-22 12:11 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Masanja.
Ubarikiwe kwa hili nitakalisema. Katiba iliyopo ilikuwa
shirikishi. Nilishapoteza barua niliyopelekewa na Mfaume
Kawawa akinishukuru kwa maoni yangu.kuhusu katiba. Hiyo
ilikuwa 1970 au 77 kama sijasahau wakati wa wananchi
kushiriki mjadala wa katiba kwa njia mbalimbali.
Rais Magufuli amesema katiiba hakikuwa kipaumbele chake
katika uchaguzi 2015. Hadanganyi lakini hakusema kweli.
Ngoja niseme kweli akanushe akitaka. Katiba ni kipaumbele
chake na tayari mchakato umeanza.
Hatua za kwanza zitakamilika 2010. Ni kusafisha jamii ya
kitanzania, kuondoa uovu uliozidi mpaka kuweka misingi bora
ya kiuchumi na kuhakikisha watanzania wanajua wanachofanya
na wanakoelekea. 2020 ataka[pokamiliasha mpango huo atakuja
na agenda ya katiba mpya wakati akiomba ridhaa ya watanzania
kwa awamu ya pili. Hapo watanzania wataandika katiba mpya
wakiongozwa na Magufuli. Huenda itakuwa katiba bora kuliko
ya Warioba ambayo watanzania waliandika kwa hasira kwa
sababu ya maovu yaliyokuwepo. Kwa hiyo katiba bora inaweza
kupitia barabara hiyo. Ukiondoa wenye chuki binafsi kwa
Magufuli kwa sababu aliwashinda; watanzania watakuwa wamoja
zaidi wakati huo
Elisa
------------------------------ --------------
On Mon, 11/21/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya
isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, November 21, 2016, 11:50 AM
Ndg. Elisa, Katiba inafuatwa sasa
kuliko huko nyuma ni mawazo yako kwa vigezo ulivotumia
kupima. La msing ni kwamba Katiba iliyopo haijawahi
kuwa
shirikishi kwa Mwananchi wa kawaida katika uaandaaji
wake.
Wanodai katiba mpya ni kwamba waliona mwanga fulani
katika
huu mchakato na wanataka usiachwe ukazimika na ndiyo
maana
wanadai mchakato wa Katiba Mpya urejerewe.
Ni kweli kabisa kuna mambo
yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano ambayo huko
nyuma
ilikuwa ni ndoto kufanyika jambo ambulo ni zuri sana
kwa
taifa. Mambo haya yakiachwa yaendelee kudumu kuwa maono
ya
mtu mmoja bado si afya kwa taifa vile vile, kwa sababu
yanaweza kuporomoka Siku moja Kama ambavyo yamekuja.
Katiba
mpya ndiyo suruhu ya hilo. Mambo mazuri yanayoendelea
yatengenezewe mfumo madhubuti ambao si rahisi mtu
mwingine
kuyabadirisha au kuyaondoa kirahisi kwa masirahi yake
binafsi au ya kikundi fulani kidogo, hapo ndipo suala
la
Katiba Mpya linapokuwa na umuhimu mkubwa.
2016-11-21 10:34 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Edgar.
sasa katiba inafuatwa kuliko wakati uliopita. Ndiyo
maana
waliozoea kukwepa kodi wanashawishi watu kuwa katiba
inavunjwa. Mafisadi waliofikiri hawawezi kuguswa
wanaguswa.
Ukichunguza sana utakuta wanaoshawishi wengine kuwa
katiba
haifuatwi ni wale waliozoea kuivunja na watu tukafikiri
ndio
utaratibu. Uholela hauwezi kuruhusiwa kuendelea bali
tujiruhusu kuzoea kufuata taratibu
------------------------------ --------------
On Sat, 11/19/16, Edgar Mbegu
<embegu@hotmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya
isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, November 19, 2016, 3:18 PM
Tusishabikie na ubabe wa ndani vile vile. Tusikubali
nchi kuendeshwa kwa utashi wa mtu mmoja hata kama ana
akili
kiasi gani! Katiba iliyopo ifuatwe to the letter hata
kama
ni mbovu. Utawala wa sharia utamalaki kwa maslahi ya
wote
na
siyo ya mtu au kikundi
cha watu.
Sent from Samsung
tablet.
-------- Original message
--------
From: 'Mashaka Makana' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: 19/11/2016 12:50 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli
kasema yote: katiba
mpya isubiri nchi inyooshwe
Watanzania
tusishabikie ubabe wa nchi kigeni kuwa ndiyo
suluhisho
ya
matatizo ya ndani ya nchi. Tunasiakia na kuona ya
Libya
na
kule Iraq watu walishabikia wakidhani ingekuwa
suluhisho
ya
tamaa ya mali
na madaraka na kukubali kutumika na hawajapata
chochote
zaidi ya kuharibu miundombinu ya nchi yao na vita vya
wenyewe kwa wenyewe. Hii Demokrasia ya uchaguzi kila
baada
ya miaka mitano ukilinganisha na gharama za uchaguzi
ni
hasara tupu na matumizi mabaya
ya pesa za umma, Wakati wa kampeni za uchaguzi raia
hawafanyi kazi kungojea mikusanyiko ya kampeni. Je.
ni
hali
ya namna hii na kwa nchi zenye utawala wa kifalme?
Msaada
hapo!
From:
'Lesian' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Saturday, November 19, 2016 11:39
AM
Subject: Re:
[wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri
nchi
inyooshwe
Katiba
iliopo ni'mbovu reuben.....inawapa watu mamlaka
ya
ajabu
anateua hadi wajumbe wa nyumbakumi...hawa ma dcs wa n
sasa
kama si upotevu wa pesa......
Katiba iliopo ni nzr kwa watu kama kina reuben tu
wqnaofagilia kila jambo ilmradi limesemwa na
kusimamiwa
na
ccm
Hawanaga mawazo mbadala na hawatak,'na maana yake
hawataki kuona mbele na trump kaja atawanyooshen
subirin
mnaokomaa madarakan navyma vyenu kaja komesha..teh
teh
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mbegu;
Sio
kwamba inji haina Katiba kabisa,itanyooshwa na katiba
iliyopo.
Katiba
iliyopo sio kwamba ni mbaya kabisa kwamba sawa na
haipo,
mabadiliko ya katiba yana sehemu chache za kuboresha
na
kuongeza.
Uhuni
uliokuwepo/uliopo umetokana na kutofuata Katina,
shaeria
na
kanuni zake i.e. lazier free
Reuben
On Thursday,
November 17, 2016 7:42 PM, Edgar Mbegu
<embegu@hotmail.com>
wrote:
Nchi itanyooshwa kwa sheria zipi? Kwa utaratibu upi?
Kwa utashi wa mtu binafsi? Ametumwa na nani?
Sent from Samsung
tablet.
-------- Original message --------
From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: 17/11/2016 10:36 (GMT+03:00)
To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya
isubiri nchi inyooshwe
Serikali
za Wanyama na ndege au Wadudu;
Ndani
zina taadhima, kama kwamba maabudu;
Na
watu wenye hekima, siku hizi hawamudu
Madaraka
na heshima, heri mnyama na mdudu
Vinywa
vimewaachama, tamu imekuwa ngwandu
Na
heshima imehama baki taka na mashudu
Na
madhara na dhuluma miungu ya kuabudu
(Shaaban
Robert; katika "Kielelezo cha Fasili")
SHAABAN Robert katika shairi nililonukuu hapo juu,
anaelezea
madhara ya Uongozi na Viongozi wanapokosa maono,
hekima
na
heshima kwa wananchi akisema, inapokuwa hivyo heri
Serikali
za Wanyama, Ndege au Wadudu zina taadhima kuliko za
viongozi
wenye kukithiri
kwa dhuluma na kujigeuza miungu watu.
Japo gwiji hilo la ushairi Afrika Mashariki alikuwa
akiandikia zama zake zaidi ya miaka 50 iliyopita
ambapo
fukuto la ufisadi, rushwa, kutoweka kwa uzalendo,
uadilifu,
maadili ya uongozi na ubinyaji wa demokrasia ilivyo
sasa
halikuwa jambo lililopevuka, lakini
utabiri wake wa kinabii kwa yajayo hayo wakati huo
ulikuwa
sahihi na ndiyo yaliyoikaba koo nchi yetu hivi leo.
Ilivyo leo, na kama tunavyoambiwa na wataalamu wa
siasa
na
sayansi ya jamii kwa ujumla, suluhisho la maovu haya
ya
kijamii ni kwa njia ya Katiba ya nchi itakiwayo na
itokanayo
na wananchi wahanga wa maovu hayo, kwa njia ya maoni
na
kura
ya maoni.
Pengine ni kwa sababu hii miaka ya karibuni, na hasa
kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwamba suala la
Katiba
mpya
lilikuwa ajenda moto, na zaidi kwa vyama vya upinzani
vilivyodai kuwa Katiba iliyopo imepitwa na wakati kwa
sababu
iliandaliwa katika mazingira
tofauti na ya sasa miaka 40 iliyopita.
Tangu mwanzo, Serikali, kupitia Mwanasheria wake Mkuu
(AG)
na mara nyingi pia kupitia waziri mwenye dhamana ya
mambo
ya
Katiba na vigogo wengine wa chama tawala, ilitamka
wazi
kuwa, "Katiba mpya si ajenda ya serikali
madarakani",
tamko lililochukuliwa na wengi
kama sawa na kujaribu kuzuia mafuriko kwa viganja
vya
mkono.
Hatimaye mwaka 2012, serikali ilisalimu amri kwa
"mafuriko" hayo kwa kuteua Tume ya Kupendekeza
"Rasimu
ya Katiba", chini ya uenyekiti makini wa Jaji
Joseph
Sinde
Warioba kwa matarajio kwamba Katiba hiyo mpya
ingetumika
kwa
mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu
wa Oktoba 2015.
Hadi kipindi hicho na mpaka sasa, nchi yetu ilikuwa
na
moja
ya Katiba bora Afrika Mashariki – Katiba ya Jamhuri
ya
Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo ukiondoa
mapungufu machache kadhaa yaliyomo, likiwamo lile la
harufu
ya chama kimoja; madaraka makubwa
ya Rais (Mhimili wa Utawala) dhidi ya mihimili
mingine
–
Bunge na Mahakama na baadhi kuhusu Muungano, ilitosha
na
kwa
utoshelevu mkubwa katika ujenzi wa demokrasia na
utawala
bora nchini.
Ni mwananchi gani mpenda demokrasia ya kweli bila
kificho,
anaweza kubeza ubora usio na mshindani wa Katiba hii
kwa
mambo muhimu inayotetea, kama vile, "malengo muhimu
na
misingi ya shughuli za serikali madarakani" (ibara
6
–
11); na "Haki ya Usawa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment