Ha ha ha ha! Siamini kuwa sikukuelewa. Lakini wewe ndiwe ulisema "Kama tunajitambua". Kumbe kuna uwezekani wa kutojitambua. Na huenda wote hatujitambui katika maeneo tofauti tofauti. Ukisema nisipojitambua nikipagundua naanza kujitambua. Vilevile na wewe. Hivi bila kurudia nililosema ukilichunguza huoni ukweli ndani yake?? Najua likisemwa linaelekezwa mahala na hii si nzuro sana. lakini katika kujitambua ni lazima tujiambie tulikokuwa tumepotelea ikiwa ni pamoja na watu kushabikia uovu. Mmmmmmh. Twendelee
--------------------------------------------
On Wed, 11/23/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, November 23, 2016, 12:57 PM
Elisha
nadhani una obsession na kitu fulani. Hebu ona hii nukuu
yako "Watu wanaojitambua hawawezi kumshabikia mtu
waliyewahi kumuona mhalifu". Mjadala uko kwingine, wewe
unaenda kwingwine. Hii 'meandering reasoning' kweli
inaweza kufikia 'conclusion' ya kitu? Mimi nadhani
kujikita kwenye hoja na kuona namna gani tunaweza kuvuka
hapa tulipo kuliko kutafuta mchawi.
2016-11-22 22:08 GMT+03:00
Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>:
Na hili ndilo tatizo linalotumaliza halafu tunatafuta
mchawi. Wanateuliwa watu hawana uwezo wala uzalendo maadamu
tu wanajipendekeza kwa chama fulani, baada ya muda tu
unasikia wametumbuliwa!
Sent from Samsung
tablet.
-------- Original message --------
From: Edgar Mbegu
<embegu@hotmail.com>
Date: 22/11/2016 22:03 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya isubiri nchi inyooshwe
Magobe hiyo hawatakubali. Wanataka Katiba ya kugawana
vyeo watu wachache hata kama hawana uwezo!
Sent from Samsung
tablet.
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 22/11/2016 21:30 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya isubiri nchi inyooshwe
Magobe
umenena- "kama tunajitambua". Sasa
jiulize-Tunajitambua? Watu wanaojitambua hawawezi
kumshabikia mtu waliyewahi kumuona mhalifu. Nimetaja
"makabila" kadhaa hapo chini. Kabila la wezi
wasiokamatwa na serikali na kabila la vibaka
waliojaa magerezani. Kabila la walipa kodi na lile la
wasiolipa kodi. Kabila la mafisadi wote hao tunao.
Anajitokeza kiongozi anaanza kuvun ja mwiko na kuhakikisha
makabila haramu yanavunjwa. watu wote wanalipa kodi. Watu
wanaojitambua hawawezi kwa namna yoyote
kuanza kumpinga mtu anayewadhibiti wahalifu huku mataifa
mengine wakimuunga mkono. Nikutokana na hilo mazingira
inabidi yawekwe ili watu waweze kuandika katiba nzuri.
Lakini si kweli kuwa Katiba ni JIBU la kila kitu. Tunayo
katiba inayompa madaraka Rais kuwadhibiti
mafisadi. Ilishindikana kutumika badala yake wakalelewa. Ni
katiba hiyo hiyo sasa inatumika kudhibiti uhalifu uliolelewa
Kwamghiyo katiba lazima iambatane na kiongozi bora
------------------------------ --------------
On Tue, 11/22/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba mpya
isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, November 22, 2016, 2:19 PM
Kama
tunajitambua kweli, lazima tutambue kwamba tunahitaji
katiba
mpya inayoendana na mahitaji na mazingira yetu ya sasa.
Wanaotaka kunyoosha nchi bila kuwa na katiba nzuri
watainyooshaje na itakuwa na mwelekeo upi? In order for
something to be good as an end, the means of achieving
it
must also be good. Na katiba nzuri ndilo JIBU la kila
kitu.
Ndilo jibu kwa madaraka ya Rais, ndilo jibu kwa mgawanyo
wa
madaraka na usawa wa mihimili ya dola, ndiyo jibu kwa
kupata
tafsiri nzuri ya sheria za nchi na ndilo jibu pia kwa
upatikanaji wa haki kwa wote kwa vile katiba nzuri
itafanya
mahakama zetu si tu kuwa 'courts of law, but also
courts
of justice' (kama Jaji Mwalusanya anavyosema kwenye
maandishi yake).
2016-11-22 13:38 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huwezi
kupanda pamba msituni. Unajuaa kuwa nchi sasa
imegawanyika.
Tema makundi yasiitostahili. Zamani kulikuwa na makundi
ya
wafanyakazi na wakulima. Sasa kuna mafisadi, kuna
wanaowashabilia. Kuna wala rushwa, Kuna watoa rushwa.
Kuna
wezi wakubwa wasioweza kukamwtwa na polisi, kuna vibaka
waliojaa mageerreza. Kuna walipa kodi, Kuna wakwepa
kodi.
Haya makundi yanahitaji kuletwa pamoja ili waweze
kujadili
katiba ya watanzania. mfano uliona jinsi ambavyo
watanzania
waliandaa katiba yao chini ya Warioba na kundi jingine
likaikataa chini ya waliomuweka Marehemu Samwel Sitta.
magufuli akitaka kujadili katiba sasa tgukiwa msituni
"pamba haitastawi"
----------------------------- - --------------
On Tue, 11/22/16, Ezekiel
Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote: katiba
mpya
isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, November 22, 2016, 12:32 PM
Asante sana Elisa kwa ufafanuzi
wako. Hata hivyo nasikitikia sana nchi yangu
niipendayo
Tanzania. Sijui ni kitu gani kitatutoa kwenye huu
ulevi
wa
ubaguzi. Hata tunapoongelea suala muhimu la Katiba
Mtanzania
mwenye elimu yake nzuri analeta ubaguzi, kwa kuona
kwamba
ni
wale tu wanaokubalika kwa watawala ndio wenye haki ya
kushiriki. Hata hayo maelezo uliyotoa ya lini Katiba
itapatikana mbona yana kasoro kubwa tu. utoe ahadi
mwaka
2006 utekeleze 2020 hicho ni kitu gani?
Asante
2016-11-22 12:11 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Masanja.
Ubarikiwe kwa hili nitakalisema. Katiba iliyopo
ilikuwa
shirikishi. Nilishapoteza barua niliyopelekewa na
Mfaume
Kawawa akinishukuru kwa maoni yangu.kuhusu katiba.
Hiyo
ilikuwa 1970 au 77 kama sijasahau wakati wa wananchi
kushiriki mjadala wa katiba kwa njia mbalimbali.
Rais Magufuli amesema katiiba hakikuwa kipaumbele
chake
katika uchaguzi 2015. Hadanganyi lakini hakusema
kweli.
Ngoja niseme kweli akanushe akitaka. Katiba ni
kipaumbele
chake na tayari mchakato umeanza.
Hatua za kwanza zitakamilika 2010. Ni kusafisha jamii
ya
kitanzania, kuondoa uovu uliozidi mpaka kuweka
misingi
bora
ya kiuchumi na kuhakikisha watanzania wanajua
wanachofanya
na wanakoelekea. 2020 ataka[pokamiliasha mpango huo
atakuja
na agenda ya katiba mpya wakati akiomba ridhaa ya
watanzania
kwa awamu ya pili. Hapo watanzania wataandika katiba
mpya
wakiongozwa na Magufuli. Huenda itakuwa katiba bora
kuliko
ya Warioba ambayo watanzania waliandika kwa hasira
kwa
sababu ya maovu yaliyokuwepo. Kwa hiyo katiba bora
inaweza
kupitia barabara hiyo. Ukiondoa wenye chuki binafsi
kwa
Magufuli kwa sababu aliwashinda; watanzania watakuwa
wamoja
zaidi wakati huo
Elisa
---------------------------- -- --------------
On Mon, 11/21/16, Ezekiel Massanja
<ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli kasema yote:
katiba
mpya
isubiri nchi inyooshwe
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, November 21, 2016, 11:50 AM
Ndg. Elisa, Katiba inafuatwa sasa
kuliko huko nyuma ni mawazo yako kwa vigezo
ulivotumia
kupima. La msing ni kwamba Katiba iliyopo haijawahi
kuwa
shirikishi kwa Mwananchi wa kawaida katika
uaandaaji
wake.
Wanodai katiba mpya ni kwamba waliona mwanga fulani
katika
huu mchakato na wanataka usiachwe ukazimika na
ndiyo
maana
wanadai mchakato wa Katiba Mpya urejerewe.
Ni kweli kabisa kuna mambo
yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano ambayo
huko
nyuma
ilikuwa ni ndoto kufanyika jambo ambulo ni zuri
sana
kwa
taifa. Mambo haya yakiachwa yaendelee kudumu kuwa
maono
ya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment