Wenzetu wamefika mbali sana katika sayansi ya Gene Editing. Sio tu kwenye mimea mpaka kwa binadamu katika kuondoa vilema mbalimbali na hereditary transmitted diseases. Sisi kupanda hata hayo mahindi ya kutoka Sokoine University na mazao mengine ya hybrid seeds ni tatizo. Kwanza unaangalia kimo cha mhindi na size ya hindi. Pili unaangalia utamu wake upoje na kama ukikoboa utapata pumba za kuypiga pombe, pure za kupika makande uchanganye na maharage au karanga. Ladha muhimu kuliko nutrition! Ukose koroba, kangara au komoni bora upande yale ya miezi 3-6 na uje uyakose kutokana na ukame. Lakini ukiletewa unga na maharage ya GMO utakula kama chakula cha msaada na kugombania kabisa. Bado tunaukumbuka unga wa purenda tukinywa uji mashuleni, ngano, maharage kutoka USA miaka ile ya 47. Tunapigana vita tunaletewa Africa nyama za makopo, vyakula vya nafasa ambavyo kule ulaya wangelisha mbwa na ng'ombe. Kutuokoa tusife-tunaletewa na tunagombania. Hapo hujui unakula ng'ombe au nguruwe na maziwa ya unga tunajilamba!
Muhimu ni kuangalia negative effects za GMO kwa wanaokula na ktik mazingira. Jee tukipanda nyuki atapata chavua ili akatengeneze Asali Mchaga na Mpare wapate kuuza kujipatia pesa na pia kunywa pombe yao ya asili? Au itaua nyuki na jee nyuki akibeba chavua yake na kuisambaza katika mimea mingine ya pamba au mahindi etc yasiyo GMo itakuwaje? Mimea hiyo itarefuka kupita kiasi na kuchukua muda mrefu kuzaa au itadumaa na isizae. Kwani kuna wadudu kubeba pollen kujichana na kujitengenezea lishe wanaweza wakasambaza visivyo tegemewa.
Gene editing pamoja na utata wake ina faida kwa viumbe vyote. Mtu kibushuti anaweza kusaidiwa kuzaa mtoto mrefu kuliko yeye na kilema wa urefu, unene kupita kiasi wakaingilia gene yake kwenye mbegu zake za uzazi kukiondoa kilema hicho au kureverse gene ya kilemana kufanya fertilization mtoto akazaliwa hanacho. Ndivyo unavyoweza kuokoa taifa kuondoa magonjwa yasiyotibika mpaka neurotic diseases na mengineyo. Ukazalisha vijibwa dwarf au mijibwa mikubwa ya kufanyakazi kubwa na police au jeshi vitani au kuchukua viasili vizuri ikavichanganya na kuzalisha mnyama wa aina ya kufaidisha akatoa maziwa mengi tukanywa.
Kama tunaweza kuzusha na kukimbia au kukataa kunywa dawa za kuua minyoo yote zinazogawiwa mashuleni, mijini na vijijini kwa umma kila mwaka, haishangazi kuona tutazikataa GMO zenye faida na madhara machache au hakuna kuliko kukubali kuondoa njaa na umasikini wetu. Bado unakuta pamoja na kuwa na Mtama, Mahindi, Mpunga dwarf-tunapata ambayo hufanya ukame utupe njaa. Maembe kutoka miembe dwarf tunanunua kutoka Sudan. Unaambiwa hii elfu 2 inatoka Sudan! Akipanda mchungwa dwarf, na hizo embe jirani yako wewe wakwanza kuiba kula na kuiba kuuza kuliko upande wewe. Utakuta na huo mpunga dwarf wameuvuna au kulishia mifugo. Hiyo pamba ya GMO pengine inahitaji uhifadhi maalum ambao sisi hatuuzingatii.
Tanzania ina Zonal Livestock Management Units (LMU) au Ranches za mifugo. Hebu kaangalie mitamba ya kisasa iliyopo hapo ya mbuzi, kondoo na ng'ombe! Angalia wafugaji wangapi wanaiga? Ila, Ranch inapopanda nyasi za kulisha mifugo yake wao wafugaji waliozunguka eneo hawapandi katika mashamba na maeneo yao. Ila huingiza mifugo yao kula hapo LMU. Ni hivyo haya mijini watakuja kuchukua mfugo wako wauchinje wapate nyama na majani yako kuja kuyakata wakauze wapate hela sio wao wapande! Mfugo wakisasa watajazana kuuangalia hapo au siku ya maonyesho ya kilimo-Msukuma kajaa anaongea kilugha pamoja na Mkurya na Mmasai-apeleke mifugo yake iwekewe mbegu izao hybrid cows-anaangalia tabu ya kumweka bandani na awe anamlisha badala ya kutembea kutwa malishoni na kuhama mkoa hadi mkoa! Hataki kuwa mtumwa wa livestock! sasa hapa kazi tu! Hakuna kuhamahama na ng'ombe vigondile (vilivyokonda), fuga kisasa wachache pale ulipo au kaa nao hao elfu kumi katika ekari 5 zako pale ulipo utajiju!
Kama tunashindwa kuwafanya watumie mbolea ya mifugo yao warutubishe ardhi ambapo pia itapunguza mazalia ya inzi waletao upofu; tunashindwa kuwafanya wapande miti rafiki kwa ardhi na maji ili kupunguza climate change effects ila wao kazi yao kuhamiandani ya protected areas kuharibu mpaka wakatolewe kwa mtutu; kama tunashindwa kuwafanya wasitupe taka ngumu na mijanga ndani ya mitaro wazi na underground drainage systems matokeo yake wanayaona ya maji kufurika barabarani, majumbani mpaka darini! Jee tutaweza kuwafanya walime GMOs na Politician anakwenda huko na hearsay zake za madhara ya GMO na matakwa ya Obama, Trump kutaka kututawala na kutulisha GMO ili tusizaane?
Tunashindwa kuwafanya waache Ukeketaji wasichana/wanawake; kuoza ndoa za utotoni na madhara yake wanayaona ktik vifo na Fistula inayompa mwanamke aibu na stigma na mwaka huu Tarime watatahiri iwe na iwe wameshasema-jee hizi GMO umbea wake na uzushi tutafanyaje? False impressions za GMO basi wacha mchina atutengenezee mchele kutokana na plastiki anazokusanya na tunampelekea wenyewe tunaziokota mitaani na majumbani na tutakula kwa kujilamba kwa vile ni mchele wa bei nafuu. Tunanunua mikorogo ya bei ghali tunachubua uso. Hatujali madhara yake na yanajulikana na kuyaona na tunapika wenyewe mikorogo hiyo kwa kuchanganya sabuni Rungu, maji ya betri, mafuta ya nazi na matakataka mengine tunauza bei ghali (ujazo wa glass 100mls 20,000/=). Ila mbegu ya GMO-Hatariii, msinunue wapiga Kura wangu hamtozaana, nonino itakufa etc! Uzushi huu ndio utakaosambaa na GMO kukataliwa tukaishia kufa njaa, kuwa na food insecurity kitaifa na kutegemea misaada ya chakula cha GMO-kutoka USAID!
Sokoine university ina mashamba ya mifano vijijini-maharage, soya, mahindi, maembe dwarf etc-tumejifunza nini kutoka mashamba haya? Jee tukikwepa kupanda mazao ya GMO kwa vile tutakosa kupata mbogamboga kama mwidu, kisheghewa, mchicha pori etc hautoota pale ambapo mazao ya GMO yanaoteshwa-hatuwezi kulima eneo lingine tukamwaga hizo mboga pori. Tuangalie na alternatives kama vile kuhusu Asali ina thamani yake kulingana na aina ya mazao na misitu na miti iliyopo. Kukiwa na Katani jirani-asali yako inakuwa Waxy na bei ya chini. lakini ikiwa misiotu asili Katani ipo mbali 20km+ asali yako ile safi na ni bei ghali. Aina ya maua na upatikanai wa maji unaleta tofauti katika ubora wa asali na ni asali ya nyuki waumao au wasiuoma!; Chemical residue ya kutoka maua yaliyopigwa dawa za agrochemicals na usafishaji asali. na bado tunatumia sumu mbalimbali kuvulia samaki na kutumia dawa ya maiti badala ya barafu kuhifadhia samaki-halafu-GMOs! GMOs na wazungu na nia zao mbaya!
Angalia attachment jinsi ya gene editing itakavyosaidia kuondoa huo ufupi na urefu na magonjwa ambayo ni cells au neurons zako mwenyewe inazalisha!
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Sat, 26/11/16, Emmanuel Sulle esulle46@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Subject: Re: [Wanazuoni] RE: Tanzania yatahadharishwa pamba ya GMO
To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Saturday, 26 November, 2016, 23:45
Dr. Aksante kwa maelezo yako.
Uangalie na hili. Lessons to be learnt from Burkina
Faso's decision to drop GM cotton
Mimi ninaona tunaingizwa mkenge na
hawa wenye tamaa za pesa tu...
http://theconversation.com/lessons-to-be-learnt-from-burkina-fasos-decision-to-drop-gm-cotton-53906
2016-11-26 16:43 GMT+02:00
'Dr. A. Massawe' massaweantipas@hotmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>:
Emmanuel,
Wasiwasi wako na Ramadhan
wa nini wakati inaeleweka vizuri tu kwamba kinachoendelea
hapa Tanzania ni majaribio kwanza na sio matumizi rasmi ya
hizo mbegu GMO za kisasa za mahindi, pamba n.k. kama mbadala
wa zile za asili zinazotumika mashambani
hadi sasa.
Na kwamba majaribio
yanapashwa yahusishe hizo GMO za kisasa na zile zetu za
asili, na yaendelee kwa misimu mingi isiyopungua kumi au
zaidi sehemu mbali mbali zao husika linapolimwa hapa nchini,
na pale itakapoonekana hizi GMO za kisasa
zinaleta matokeo mazuri zaidi ya zetu za asili kwenye
misimu yote au mingi zaidi husika kwenye majaribio
ikaamuliwa zitumike rasmi badala ya zetu za asili zilizokuwa
zikitumika hapo.
Mbegu GMO ya kisasa
iliyoleta matokeo mazuri au mabaya zaidi kwenye maeneo haya
ya kilimo cha zao husika sio lazima ilete matokeo hayo hayo
mazuri au mabaya zaidi kwenye maeneo mengine yote ya kilimo
cha hilo hilo zao husika.
Iliyoshindikana Burkina
Faso ijaribiwe na hapa kwa vile inaweza kuleta matokeo
mazuri zaidi ya zile za asili kwenye mazingara ya kwetu ya
kilimo cha pamba ambayo ni tofauti na huko Burkina Faso.
Kwani wewe huelewi hivyo
ndio taratibu husika kwenye R&D za aina zote?!
Ni kweli kabisa kwamba ni
sehemu kidogo sana za genetically modified natural seeds
zitakazofanikiwa kutuletea matokeo mazuri zaidi tarajiwa kwa
sababu mara nyingi genetic elements zilizotolewa kwenye
genetic organism hii na kuwekezwa kwenye
genetic organism nyingine tofauti huenda isikubalike kwenye
hiyo genetic organism tofauti ilikowekezwa badala ya asili
iliyokuwepo, na hivyo kusababisha baadhi ya genetic elements
au genetic elements zote kwenye genetic organism
iliyowekezewa moja isiyokuwa
yake ya asili zikashindwa kutenda majukumu yake zote kwa
ufanisi mkubwa kabisa well harmozed kwenye
mazingara haya au yale kama kama zilivyokuwa
zikifanya
kazi kwa ufanisi mkubwa well harmonized ndani ya
mazingara haya au yale husika.
Nami naamini kabisa kwamba
natural genetic modification processes ndizo zilizodumisha
aina mbali mbali za viumbe hapa duniani vilivyoweza
kuandergo natural genetic modifications zilizoviwezesha
kuendelea kusurvive kwenye mazingara ya dunia
yanayoendelea kubadilika badilika hadi leo.
Kwa nini na wewe usikome kabisa kupanda ndege kwa vile
zimeshapata ajali mara nyingi tu zikaua abiria karibia
wote?!
__._,_.___
Posted by: Emmanuel Sulle <esulle46@gmail.com>
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this
topic
(3)
Have you tried the highest rated
email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
highest rated email app on the market. What are you waiting
for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
AOL and more) in one place. Never delete an email again with
1000GB of free cloud storage.
Visit Your Group
New Members
1
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv2440987552 #yiv2440987552 --
#yiv2440987552ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mkp #yiv2440987552hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mkp #yiv2440987552ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mkp .yiv2440987552ad {
padding:0 0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mkp .yiv2440987552ad p {
margin:0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mkp .yiv2440987552ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-sponsor
#yiv2440987552ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-sponsor
#yiv2440987552ygrp-lc #yiv2440987552hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-sponsor
#yiv2440987552ygrp-lc .yiv2440987552ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552activity span {
font-weight:700;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552activity span
.yiv2440987552underline {
text-decoration:underline;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv2440987552 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552bold a {
text-decoration:none;}
#yiv2440987552 dd.yiv2440987552last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv2440987552 dd.yiv2440987552last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv2440987552 dd.yiv2440987552last p
span.yiv2440987552yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv2440987552 div.yiv2440987552attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv2440987552 div.yiv2440987552attach-table {
width:400px;}
#yiv2440987552 div.yiv2440987552file-title a, #yiv2440987552
div.yiv2440987552file-title a:active, #yiv2440987552
div.yiv2440987552file-title a:hover, #yiv2440987552
div.yiv2440987552file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv2440987552 div.yiv2440987552photo-title a,
#yiv2440987552 div.yiv2440987552photo-title a:active,
#yiv2440987552 div.yiv2440987552photo-title a:hover,
#yiv2440987552 div.yiv2440987552photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv2440987552 div#yiv2440987552ygrp-mlmsg
#yiv2440987552ygrp-msg p a span.yiv2440987552yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552green {
color:#628c2a;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv2440987552 o {
font-size:0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552reco-category {
font-size:77%;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv2440987552 .yiv2440987552replbq {
margin:4px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mlmsg select,
#yiv2440987552 input, #yiv2440987552 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mlmsg pre, #yiv2440987552
code {
font:115% monospace;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-mlmsg #yiv2440987552logo {
padding-bottom:10px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-msg
p#yiv2440987552attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-reco
#yiv2440987552reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-sponsor #yiv2440987552ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-sponsor #yiv2440987552ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-sponsor #yiv2440987552ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv2440987552 #yiv2440987552ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv2440987552
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment