Masanja: Unakataa kuwa Ngono haijafanywa haki ya 6 ya binadamu bila kujali kama inafanyoika kwenye ndoa au unasema kufanya hivyo sio kumtenga mtu na amri za Mungu?
Hujui kuwa kuna watu wamelipokea kama lilivyo bila kumkumbuka Mungu? Na kama mimi nimekumbuka neno la mwanasheria huyo si ishara kuwa nina akili? Tena nawazidi wale waliolipolea kama lilivyo na kwa hiyo wanaogopa wanadamu waliolileta kuliko Mungu aliyeiumba amri???????
--------------------------------------------
On Fri, 9/30/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, September 30, 2016, 9:38 AM
Kwnye mambo
mengi yanayojadiliwa kwenye group hili Elisa ni mpotoshaji
kwenye mengi, huwa unalipwa kwa upotoshaji huu au ndivyo
akili yako ilivyo??? Nani alikwambia kwamba haki za binadamu
ni mambo ya ngono peke yake??? Halafu kwa akili yako, nani
kakudanganya kwamba masuala ya ngono hayahusiani na haki za
binadamu. Unajifanya eti uliambiwa una akili na sasa
umetambua, akili zako ni za kupindisha ukweli kwenye kila
jambo!!!!! Kama kweli una akili fanya yafuatayo ili upate
mtanzamo sahihi kuhusu haki za binandamu. Kwenye computer
yako nenda kwenye google halafu andika human rights, soma
utakachokipata huko ili ujue haki za binadamu ni nini kutoka
sehemu mbali mbali duniani.
2016-09-29 14:11 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Loh swali
zuri sana. Na mimi ni mmoja kati ya watakaofaidika japo
nilikuwa naona aibu kuuliza.
Zamani sana katika mjadala mwanasheria mmoja alibwatuka neno
ovu kabisa Akaseka " LENGO KUU LA HAKI ZA BINADAMU NI
KUMTENGANISHA MWANADAMU NA MUNGU" Kabla hajaongeza
nikamvaa. Nikamshambulia.Akaniangalia kwa dharau. Mwisho wa
maneno yangu akasema "Wewe ndugu naona una akili.
Subiri wakati ukifika tumia akili zako kuelewa."
Nikamuuliza wakati gani? Akasema pale itakapotangazwa kuwa
NGONO NI HAKI ZA BINADAMU. Nikamwambia mpaka kurudi kwa Yesu
hakutatokea kitu hicho. Ilipotokea namtafuta sana kuntaka
radhi.
Jingine: Huwezi kuwasikia wanaharakati majambazi wanapomuua
Polisi. Hawathibutu kusema. Lakini Polisi akithubutu tu
hutajua walikotokea.
Jingine: Kuna mataifa ndiyo tu yanayoweza kutoa tafsiri ya
gaidi. Angola ilipambana na gaidi Savimbi lakini usingesikia
akiitwa gaidi labda Nyerere tu. Ghadafi aliitwa gaidi na
mataifa hayo kila mwanaharakati akamwita gaidi. Kuna mmoja
nilimuuliza kwanini unamwita Gadafi gaidi akaniuliza kama
juzi nilisikiliza VoA. Yaani kwake ni gaidi kwa sababu VoA
ilimwita gaidi. Sasa hivi Urusi inaisaidia Syria kupambana
na magaidi lakini husikii wanaharakati wakisema. Ila Asaad
ndiye anaitwa muuaji. Ukiuliza watasema Husikii VoA nini?
Atakayejibu atusaidie mpaka huko.
Muhingo
------------------------------ --------------
On Wed, 9/28/16, 'Mashaka Makana' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM
NIELIMISHENI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 28, 2016, 3:35 PM
Habari
wote katika jamii! Naomba kufahamu MSINGI wa kuanzisha
shirika la kutetea haki za binaadamu! Mwezi huu wenzetu
wa
Kagera walipatwa na madhara ya kuumia na wengine
kufariki.
Nini mchango wa wanaharakati wa haki za binaadamu kwa
majanga ya aina hii? Au kwa uhalisia wanaharakati wa haki
za
binaadamu mmefanya nini kwa tukio hilo? Mbona hamsikiki
kama
ilivyo katika matukio mengine mfano police wakitumia
nguvu
zaidi kudhibiti mfano waandamaji- mara moja utaona au
kusikia mikutano na waandishi wa habari kutoa matamko
ya
kulaani na nk.
Kwali lingine naomba kuelimishwa, mtu aliekufa ana
haki gani kama kifo chake kilitokana na kupigwa au
kunyongwa
au kupigwa risasi na wahalifu? Hapo je, wanaharakati
hakuna
kazi ya kufanya? Hili swali linawahusu pia wale
wanaopinga
adhabu ya kifo. Mfano mdogo tu, janga la tetemeko
limeua
watu Kagera na wengine wengi wanalala nje na wengine
darasani na watoto wanasoma na wahanga wakiendelea
kuishi
darasanina wengine kuhitaji matibabu na makazi halafu
unasikia au kushuhudia mtu au kikundi cha watu
wanahujumu
michango hiyo ya wahanga! Je huyu si muuaji? kwa nini
asiuawe au wasiuawe hawa?
Naomba kuelimishwa!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment