Saturday 29 November 2014

Re: [wanabidii] Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu

Mungu akusaidie Bw. Godwin! Hawa mavampire ya CCM ni kawaida yao kupindisha ukweli! Lakini Insh'Allah Mungu yupo, na utashinda tu!

--------------------------------------------
On Fri, 11/28/14, mchunguzihuru@gmail.com <mchunguzihuru@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, November 28, 2014, 10:20 AM

Godwin
NgwilimiYah: Escrow Account tuhuma za
Muhongo dhidi yanguHabarini
za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu
ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika
suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania
iliyo haki yangu.Si nia
yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga,
pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu
kifuatacho:Sospita Muhongo ni
muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili
kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi
yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na
kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu,
nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi
nyuma.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment