Saturday, 29 November 2014

Re: [wanabidii] DIRA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI

Kwa kweli kaka Elisa hili suala la kukusanya Jodi linanikera sana. Kuna uzembe wa makusudi unaofanywa na TRA katika kukusanya kodi. Mianya ni msingi na misamaha ya kodi pia ipo na mingi haina tija. Ni wangapi wanapangisha nyumba na Fremu za biashara na maofisi lkn kodi hawalipi??? Posho ngapi zinazokatwa kodi??? Katika nchi za wenzetu wenye pesa zako lkn hata muosha magari analipa kodi katika mshahara wake. Mmmmmhhhh bado sana.

Salum Mkango
Sent from my smartphone on the new Vodafone network

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Mimi naweza kuwapa dira bora zaidi: Kukusanya mapato ya serikali ya kutosha bila mwananchi kusikia maumivu ya kodi hiyo'
>--------------------------------------------
>On Sat, 11/29/14, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] DIRA YA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, November 29, 2014, 11:55 AM
>
> TRA.
> DIRA. KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI HADI 19.9% YA PATO LA TAIFA
> IFIKAO MWAKA 2018.NIMENUKUU
> KUTOKA KITABU CHA TRA. KODI NA USHURU MBALI MBALI MWAKA
> 2014-2015.SWALI
> LA KUJIULIZA NI KWAMBA HADI SASA TRA HAIJAFIKISHA HATA
> ASILIMIA 19 ZA MAKUSANYO YA KODI KWA PATO LA TAIFA? .AU
> TUNAWEZA KUSEMA HIVI, MAKUSANYO YA KODI HADI SASA NI CHINI
> YA ASILIMIA 19 KWA PATO LA TAIFA. ?KAMA KODI NDIO MHIMILI MKUBWA
> KABISA WA SERIKALI KATIKA PATO LA TAIFA HADI SASA IKO CHI YA
> ASILIMIA 19. INATUPA DIRA GANI AU MWELEKEO GANI KIUCHUMI?
> MIMI NILITEGEMEA TRA WASEME WAMEFIKIA ASILIMI 60. AU 50.SASA
> NI ASILIMIA CHINI YA 19. HADI TUFKIE ASILIMIA 50 NI MWAKA
> GANI? TUIOMBEE TANZANIA
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment