Friday 28 November 2014

Re: [wanabidii] KWA WALIONUNUA VIWANJA/MASHAMBA BAGAMOYO

Duh,
Yona, taarifa hii inastua. Maana....

On Saturday, November 29, 2014 10:31 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

KWA WALIONUNUA VIWANJA/MASHAMBA BAGAMOYO

Ndugu zangu ,

Kwa wale walionunua viwanja na mashamba Bagamoyo mkoa wa pwani wanashauriwa kwenda kuangalia sehemu zao na kupata taarifa kamili kama maeneo hayo ni ya serikali au la .

Kuna waliouziwa na makanisa , vikundi na hata wanavijiji wa jirani lakini wameanza kupata shida kidogo na viwanja/mashamba  vyao .

Taarifa hii nimetoa kwa nia nzuri tu , kama unaeneo lako kule hata kama limeendelezwa ni vizuri ukapate taarifa vizuri .

Kuna maeneo mengi yalitengwa na serikali kwa ajili ya shuguli mbalimbali wajanja wameuza tena wengine mara nyingi kwa watu tofauti .

Ukipata taarifa hii mjulishe  mwenzao .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment