Shindano La Insha
Ndugu wapendwa nimeandaa shindano La Insha lenye kichwa cha habari: SHULE ZA KATA; MWANZO, TULIPO NA MWELEKEO. Insha yako izingatie ukweli kwamba shule hizo pamoja na matatizo yake yote, zimesaidia vijana wengi. Unaweza kuandika kitu chochote lakini kimbuka umahiri katika kiandika, lugha fasaha na ya staha iwe kiswahili au kingereza. Urefu wa Insha yako iwe na maneno yasiyopungua elfu 3500 Shindano hilo litadumu mwezi mmoja tangu siku ya tangazo hili. Baada ya deadline, Insha zitapelekwa kusahihishwa katika chuo kikuu kimojawàpo chenye fani ya elimu au ualimu.
Wanafunzi wanahimizwa kushiriki. Wakazi wa vijijini wanahimizwa kujitokeza kwa wingi. Zawadi Itakuwa ng'ombe wa maziwa. Andika na utume kwenye email:
handenisasa@gmail.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment