Ndugu Mhariri,
Nakutumia taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu 'TATHMINI KUHUSU UFINYU WA BAJETI INAYOTENGWA KWA AJILI YA DAWA MUHIMU, VIFAA TIBA NA VITENDANISHI'
Ni matarajio yetu kuwa taarifa hii muhimu kwa maslahi ya watanzania itapewa kipaumbele kwa kuweka katika mtandao wako mashuhuri wa kijamiii hapa nchini.
Natanguliza shukrani za dhati.
Thomas Ludovick
Assistant Media Specialist
Media and Communication Department
Sikika
P. O. Box 12183,
Dar es Salaam.
Tel +255 222 666355/57
Fax +255 222 668015
Mobile 0713 354865
Email: thomas@sikika.or.tz
Quality health services for all Tanzanians
0 comments:
Post a Comment