Monday, 30 June 2014

Re: [wanabidii] Re: Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

Tatizo la vijana kama kinakafurila wanajisahau eti tu kwa vile ni wawakilishi wa wananchi, mwenzake ni MWANASHERIA MKUU, na ni mwakilishi wa Serikali, mtu mdogo kama Kafurila nanapata wapi kifua cha kunkingia msimamizi wa sheria?
Watu kama Warema wanapokuwa bungeni wakiangalia around wanaona wamekiti na watu wachache tu wanaoitwa binadamu waliowengi ukumbini humo anawafananisha na tumbili, nyani, kondoo, you name it, na hayuko peke yake mwenye mtizamo kama huo.

On Sunday, 29 June 2014, 15:54, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Sio kumrukia kichwa-Mtafune kama wafanyavyo wacheza mpira wakikasirika. Pole

On Sunday, 29 June 2014, 17:28, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Hosea
Siku moja nikiwa mahakamani namwakilisha mlalamikaji, mlalamikaji akaongea jambo bila kupewa ruhusa na mwamuzi, wakili upande wa pili akasema, Mh. Jaji huyu mlalamikaji ameishafuga mbwa hana sababu ya kubweka mwenyewe.
Unaweza kumrukia kichwa.
On Jun 29, 2014 2:57 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Werema amekuwa akitumia misemo ya kiingereza kwa kuitamka kiswahili. Mfano aliposema ''I will take your head'' maana yake ni kuwa ''atayafanyia kazi mawazo yako'' na sio kuwa atamchinja.

Hata hii ya kumwita tumbili hakumaanisha kafulila ni ''mnyama'' ila alimaanisha kafulila ni ''tatizo''. Mfano msemo wa ''monkey is on my sholder'' maana yake ''tatizo hili limenikabili'' labda tuwaruhusu wabunge na mawaziri watumie kiingereza wanapoona panafaa au wanaweza kujieleza kwa ufasaha zaidi.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: 'rigonzi@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 28, 2014 10:13:45 AM GMT+0100
Subject: Re: [wanabidii] Re: Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

Nadhani ieleweke kuwa jambo hili la kudhalilisha wawakilishi tuliowachagua kwa kuwaita majina ya kebehi, matusi, 'bwana mdogo' 'mdogo wangu' 'mtoto' n.k. haikubaliki kwetu wananchi wawakilishwa kwa sababu kadhaa ikiwa ni pamoja na hizi zifuatazo:
1. Maneno ya jinsi hiyo yamekuwa yakitumika kuzima tuhuma nzito nzito ambazo huibuliwa kwa manufaa ya wananchi wanaowakilishwa wala si kwa manufaa binafsi. Mfano unapoibuliwa wizi, hujuma, uonevu, ufisadi, uvunjaji taratibu ama sheria n.k.
2. Mwakilishi huyu yupo bungeni kwa niabamya watu hivyo kumhujumu, kumdhalilisha, kumtukana, kumwita 'bwana mdogo' na mengineyo yote ni kuwatukana, kuwadhalilisha wananchi anaowawakilisha pale mjengoni. Kwa maoni yangu lugha kama hizo inafaa zipigwe marufuku kabisa Bungeni.
3. Wawapo bungeni wawakilishi wote wana 'status' sawa.
4. Inaudhi unapomsikia Presiding person anaombwa mwongozo halafu yeye anadai kuwa eti yule ambaye mwongozo watakiwa kwa ajili yake "alikuwa provoked" kwa hiyo alikuwa jnaonekana alifanya sawa, na mwongozo hautolewi badala yake ni majibu ya hovyo kama ilivyokuwa kwa Mheshimiwa Kafulila! Mambo kama haya yanalifanya Bunge letu tukufu lipungue katika status yake kama Taasisi.

Haya ni machachetu.
Tibu

Sent from Yahoo Mail on Android

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment