Saturday, 28 June 2014

Re: [wanabidii] Tahadhari kwa Waegeshao Magari Jijini Dar

Si mnasemaga dar kuna hela na mtazitoa mpaka mjue kuwa mnajaza maji kwenye gunia

On Jun 28, 2014 3:12 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:

Sasa nitaanza kuuza security camera ili Watu waweze kutengeneza uthibitisho wa hongo na rushwa yaani hii imekithiri

On Jun 28, 2014 3:03 PM, "'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nico,

"Wrong" parking ni kosa la usalama barabarani; lakini kama ilivyoelezwa hapo chini, hawa jamaa nia yao ni rushwa tu!!

Mwenyewe nilikamatwa si zamani pale Tegeta, nimeingia Postal Bank ambayo haina parking, na nikaona kuna nafasi ya kutosha, tena nikacheki vizuri, hakuna alama ya "No parking", hivyo nikajua niko salama! Sijakaa sawa, askari akauliza nani mwenye gari fulani, nikajitambulisha; nikaambiwa nimepaki vibaya na faini ni Sh 200,000/=!! Nikauliza, alama ya "no parking" iko wapi" Nikaambiwa ilikuwapo lakini ilitolewa wakati wa kujenga barabara!! Nikauliza, sasa mimi ningejuaje? Nikaambiwa, dereva yeyote anapashwa kujua! Nikaambiwa ingebidi niwashe taa za "hazard" Na hizo ni sehemu siku chache tu nyuma watu walikuwa wanapaki bila taabu. 

Binafsi sikumbuki kufunzwa kitu kama hicho wakati nikifundishwa udereva miaka ile, nami "nilisoma" haswa udereva! Basi mmoja kaingia kwenye gari langu na kudai elfu themanini kama sitaki kupelekwa TANROADS!! Nikawaambia sina hiyo hela!! Wakagang'ania lazima nilipe! Nilipokataa, wakaamua kunipeleka TANROADS Wazo! Kule nikakuta "wahuni" wengine, nao wanataka hongo!! Nikakuta magari kibao yaliyoletwa hapo. Nako nikakomaa sina hela! Baada ya muda mrefu, nikapelekwa kwa "bosi", kijana mdogo tu, akajaribu kunisemesha "vizuri kwa upole" na kunieleza kwa nini nilipe hiyo pesa; nikagang'ania sina; mwishowe akasema nitoe kile kidogo nilicho nacho! Nilishajichokea, nikaamua kutoa hicho "kidogo", nikajiondokea kwa hasira nyingi sana!! 

Ni wahuni tu wezi hao, wala si swala la usalama barabarani!! Nilijaribu kujiuliza, hivi kwa siku wanatengeneza shilingi ngapi??  LKK  

On Saturday, June 28, 2014 9:19 AM, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

Hivi "wrong parking" sio kosa la usalama barabarani?
Naomba nijuzwe waungwana.
On Jun 28, 2014 10:28 AM, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
jana nilinusuruka mitaa ya mori...ni hatari sana na sijui kwanini operation kama hizi zinakuja hadi mtaani
Wamekosa za mjini au hazijawatosha

On Friday, June 27, 2014 12:31 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

Kutoka kwa Taji Liundi

TAHADHARI: Inanisikitisha sana kuandika tahadhari hii kwenu rafiki zangu. Haistahili kuwa tahadhari. Lakini SASA HIVI katika mitaa mbalimbali jamaa zetu wa TANROADS wanapita kukamata na kupiga FINE magari yaliyoegeshwa "vibaya".
Fine ni Tsh 220.000.
Hili ni tatizo kubwa sana na RUSHWA inafukuta kwenye zoezi hili. Mtanzania wa kawaida HAWEZI kulipa kiasi hicho kama ameegesha KANDO YA BARABARA zetu za kawaida, mfano pale Sinza Palestina.
Hao jamaa wanadai inabidi uwe umewasha TAA ZA TAHADHARI NA UWEKE TRIANGLE.
Sawa. Lakini si kawaida kabisa na zoazoa yao leo ni hatari. Wanatembea na Noah kubeba madereva/abiria waliokamatwa.
MAONI YANGU: Tusinyanyasane! Sio uungwana. Wananchi tunasota ile mbaya. Huko mitaani tunahangaika kujikwamua kiuchumi.
TANROADS kama Wakala wa Serikali inatakiwa ITOE MATANGAZO YA ELIMU KWA UMMA KABLA YA KUCHUKUA HATUA ZA KISUMBUFU NA KIHALIFU KWA KUCHOCHEA RUSHWA(wanakubali hadi Tsh 60/70elfu ukiongea nao).
Kwa kawaida, wangetakiwa wapite hata na PA watangaze: "Ndg wananchi katika eneo hili, mnaombwa kuegesha magari yenu kwa utaratibu huu kandokando ya barabara kuu. Hakikisha umewasha taa za dharura na weka Triangle mita...nyuma ya gari".
Hii ingeondoa usumbufu wa KUMWELEKEZA kila mkosaji.
Tumieni TBC!! RADIO Uhuru nk. Ombeni Matangazo ya kijamii kwenye Radio binafsi.
Kinachotokea ni shambulio la kihalifu kwa WaTanzania wasio na hatia. Kwa mara nyingine tena naandika kuhusu uendeshaji mambo KIHOLELA. Uholela huu unanyanyasa waTanzania.
Marafiki zangu humu mlio na wadhifa na uwezo wa kufwatilia hili..fanyeni hivyo. Mtagundua nazungumza UKWELI!!
Sijapendezwa!
Eneza TAHADHARI hii.

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment