Ninachokiamini ni kwamba kuswhuhudia UONGO ni miongoni mwa dhambi zilizodumu kwa mwanadamu katika karne kwa karne, hasa hasa zikielekezwa kwa watu wema, wale wanaouishi ubinadamu, wakitafuta kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Kwa haya yanayosemwa dhidi ya Mzee Mengi, nadhani ni sehemu ya mfululizo wa hulka hiyo ambayo kinachotakiwa ni kuzidi kuombeana tu, ili udhalimu unaofanywa dhidi ya wenye kuitumia jamii kwa uadilifu, upungue kama si kuondoka kabisa kwenye mioyo ya watu.
Huo ni mtazamo wangu binafsi na ukweli ulio ndani yangu.
On Friday, June 27, 2014 1:15 PM, "hosea.ndaki@gmail.com" <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Tangu ving'amuzi vije vijijini watu wanatizana mpira na bongo muvie tu, na mijini tv zimetaifishwa na watoto wanatizama tomm and jerry na benten.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 26, 2014 11:33:57 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] Re: MENGI AZUIA WAHARIRI WAKE KUANDIKA HABARI ZA KILANGO NA LUGOLA
<https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6DePazDv_nSy6l9ak0ZTwp2nQcB2quaOggzKwHZ3b3bFBXyjtMFefZIdUsz0O_alHpS_EVE5S66xwYJOIPlp7uy6MESUHCWkDGXWDfvoFgzhdHkvbVRvnOM-3GLklOpHyC18EGgVGPUcX/s1600/KILANGO.jpg>Mheshimiwa
Mbunge Anne Kilango, muda mchache uliopita amejibu habari za Mkurugenzi wa
IPP Mzee Mengi kupiga marufuku magazeti yake kuandika habari za Mbunge huyo
na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola, kwa kuwa upande wa Waziri wa Madini na
Nishati Prof. Muhongo katika vita ya Bilionea huyo na Waziri Muhongo,
Mheshimiwa Kilango amesema:- "Kama habari hizi ni kweli, basi Mzee Mengi
atakuwa amekosea kitu kimoja, mimi simuungi mkono Muhongo kama Muhongo,
natetea Serikali ambayo ndio wananchi na wala sio vinginevyo" alimaliza na
kukata simu!!
On Wednesday, June 25, 2014 10:57:51 PM UTC+3, Emma Kaaya wrote:
>
> MENGI AZUIA WAARIRI WAKE KUANDIKA HABARI ZA KILANGO NA LUGOLA
>
> mwenyekiti wa makampuni ya ipp REGINAD MENGI ambae yupo kwenye msuguano
> na wazir wa nishati na madini ,profesa SOSPETER MHONGO kwa kile mengi
> anachodai MUHONGO anazuia watanzania wasiruhusiwe kuwekeza katika vitalu
> vya gesi MENGI amehamishia vita hivyo kwa mbunge wa same mashariki ANNE
> KILANGO na mbunge wa mwibara KANGI LUGOLA.
>
> Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika toka ndani ya kampuni ya ipp media
> inayomilikiwa na MENGI imeeleza kuwa jnne ya wiki hii imeeleza kuwa mengi
> amewataka wahariri wa vyombo vyake kutochapisha na kutanganza habar zozote
> zinazomhusu kilango na lugola kwa sababu wabunge hao wameonesha wazi
> kuunga mkono Muhongo ambae hiv sasa inadaiwa ni adui wa mengi hata hivyo
> vyanzo hivyo vinalaani uamuzi huo wa mengi kwani unavunja haki za wananchi
> ya kupata habari kutoka kwa lugola na kilango.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment