Yona yupo kazini.lazima apotoshe ili watoto wake wale
Nilikuwepo kwenye mkutano,na tumekuwa Karatu na Mwenyekiti kwa siku
tatu,alichosema ni kuwa yeye Mbowe agombei Urais,ila Kama kiongozi
mkuu wa chama atasimamia na kuhakikisha kuwa chama kinapata wagombea
BORA na MAKINI kwenye ngaz zote kuanzia vitongoji/Vijiji/Mitaa/Kata
mjimbo na Urais
Mwacheni Bwana Yona aendeleze upotoshwaji,ili alipwe
On 12/30/12, Evarist Chahali <mlalahoi53@googlemail.com> wrote:
> Hivi Mbowe kama mwanachama wa Chadema akipendelea kumuona Dkt Slaa kama
> mgombea anayefaa kupepea bendera ya chama hicho hapo 2015 ndio inamaanisha
> AMEMPITISHA KUWA MGOMBEA?
>
> Ni vema kutumia busara ya kuielewa habari kabla ya kuhitimisha mambo jumla
> jumla.
>
> Halafu, Dkt Slaa kama mwana-Chadema ana kila haki ya kugombea urais kama
> ilivyo kwa Zitto Kabwe aliyekwisha tangaza nia yake ya kuutaka urais 2015.
> Pengine busara kidogo tu zingeweza kukufahamisha kuwa mafanikio waliyopata
> Chadema katika uchaguzi uliopita ambapo Dkt Slaa alikuwa mgembea yanaweza
> kuongezeka pindi akipitishwa kugombea tena mwaka 2015.
>
> By the way, kama kuna wanasiasa wanaopaswa kupumzika kugombea ni Maalim
> Seif na mwenzie Lipumba ambao wameshagombea mara kadhaa na kuambulia
> patupu.
>
> Neglecting your opinion, nadhani Chadema wanatambua fika kuwa mwanasiasa
> pekee anayeweza kuwaingiza Ikulu ni Dkt Slaa. Pamoja na hujuma mbalimbali
> zinazofanywa dhidi yake ameendelea kuwa mwana-Chadema maarufu kuliko
> wote,arguably, na kwa kila anayefuatilia vema siasa za Tanzania ataafikiana
>
> nami kuwa ndio tegemeo pekee kwa chama hicho kuingia Ikulu come 2015
> On Sunday, 30 December 2012 00:16:54 UTC, Yona F Maro wrote:
>>
>> Katika Mkutano Mmoja huko Karatu mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
>> amemtangaza Dr W P Slaa kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka
>> 2015 .
>>
>> Mimi Binafsi nashangaa ni Utaratibu gani umetumika kumpitisha Dr Slaa
>> kama mgombea urais wa CHADEMA , Najua huwa kuna vikao na michanganuo
>> kadhaa wa kadhaa kwa hapa sijui imekuwaje .
>>
>> Ndugu Tumaini Makene tunaomba utujuze au Mhe Mbowe alikuwa Anapima
>> upepo tu ?
>>
>> Kwa maoni yangu ningependa kumwona Dr Slaa akupumzika amwachie nafasi
>> hiyo mwingine yeye mpaka sasa ameifanyia chadema na taifa hili mengi
>> akiwa mshauri itakuwa hatua nzuri zaidi asiwe kinganganizi kama
>> akikubalia basi apishe utaratibu wa kidemokrasia ufanyike ili kumpata
>> mgombea .
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment