Tuesday, 1 December 2015

Re: [wanabidii] CHADEMA, USIFE. TUNAKUHITAJI!

Shida ni upeo tu ndugu yangu.
--------------------------------------------
On Tue, 12/1/15, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA, USIFE. TUNAKUHITAJI!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, December 1, 2015, 11:47 PM

Sijaona
cha kusoma. 

Sent
from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] CHADEMA, USIFE. TUNAKUHITAJI!

Kuna dhana kuwa chama cha siasa ni mali ya wanachama na
mahala pengine viongozi. Mimi sikubaliani. Chama Cha siasa
ni taasisi ya wananchi wote. Iko kwa manufaa ya taifa. Chama
cha siasa kinaweza kuingia madarakani wakati wowote na
kilichopo kuondolewa. Kwa sababu hiyo mimi kuwa mwanachama
wa CCM si kwamba vyama vingine kwangu sio kitu. Kama sio
CHADEMA kuvurunda wakati wa uteuzi wa mgombea urais huenda
kura yangu ingemwendea Dr. Slaa akiwa CHADEMA. Ninapenda
kuhakikisha CDM inaendelea kusitawi huku na CCM yangu
ikistawi pia.

Watu wanaoweza kuona kupitia ukuta wa zege tuliona kuwa
mwenendo inaouchukua CHADEMA toka ipokee wanaCCM unaipelekea
kuanguka. Tulipendekeza njia kadhaa kuinusuru na
hazikuzingatiwa. Japo maua yanaonyesha uhai lakini magome
yanaonyesha kukauka.

Kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa ikistawi kutegemeana makosa
ya CCM Hayo ndiyo yaliyoipaisha. Kidogo kidogo Dr. Slaa
alikuwa akieleza sera mbadala.
Hata wakati wa uchaguzi viongozi wake walitumia makosa ya
CCM kuinadi chadema na hii ikaiumiza zaidi kwa sababu makosa
ya CCM yaliyokuwa yanahubiriwa yalikuwa ni yale yaliyotendwa
na voingozi wanaonadiwa na CHADEMA. naogopa kusema lakini
sijui kwa nini CHADEMA haikuliona hilo. mwisho ikashindwa na
visingizio havikosi.

Mara baada ya uchaguzi tulitegemea CHADEMA ianze kujijenga.

Sasa Kuna tatizo. Huko nyuma mkakati wa kususia bunge
ulikijenga CHADEMA. wamejaribu kufanya hivyo katika bunge la
11 bila kupima mambo chama kimejeruhiwa.

Watanzania wote tunaomboleza kifo cha mwenyekiti wa
CHADEMA  wa mkoa wa Geita. Aliuwawa kinyama kama Dr.
Mvungi kama mwandishi wa habari mwangozi. katika mauaji yote
watanzania hawajaridhika sana kwa jinsi uchunguzi na haki
inavyotendeka.

Katika msiba wa mawazo CHADEMA imeuhodhi msiba wote badala
ya kuuacha ukawa wa CHADEMA NA watanzania. Kuna dalili kuwa
CHADEMA imefanya hivyo ili kuwafanya watu waikasirikie
serikali ya CCM. watathmini kama wamefanikiwa lakini
nionavyo hawakupata walichotarajia. Kwa ujanja wa hali ya
juu serikali imeyanyamazia hata matamshi ya uchochezi ya
viongozi wake. Sijui kama CHADEMA wameliona hilo. Msiba huu
unaweza kuishia kwa kutenda haki au kuacha muda ukapita na
mambo yakesha CHADEMA haitanufaika nao.

Lakini CHADEMA inahitaji kujijenga upya. isisubiri
kisichoonekana kikaonekana. inaelekea kubaya.

Inahitaji kufanya mambo mawili ili kujijenga badala ya moja
1) Iweke wazi sera zake. izitofautishe na za CCM au kama
zinafanana ijitofautishe katika utekelezaji.
2) Iyasemee yanayotendwa na Serikali sasa. kama ni mazuri
iyasifu. Ikifanya hivyo si muda mrefu serikali itakosea.
Hapo ikikosoa itaendelea kusikilizwa na waliokuwa
wanawasikiliza wakati wanasifu.

Huku kuokoteza makosa ya CCM mpaka hata yasiyo makosa
kuyaita makosa kutaiangaimaliza CHADEMA. naiomba CHADEMA
isife. Tunaihitaji

Muhingo  
--

 Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa
la

 'Mabadiliko'.

 Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:

 mabadilikotanzania@googlegroups.com

 For more options, visit this group at:

 http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

 ---

 You received this message because you are subscribed
to
the

 Google Groups "Mabadiliko Forum" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to
mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

 To post to this group, send email to
mabadilikotanzania@googlegroups.com.

 Visit this group at
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

 To view this discussion on the web visit
https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye4Ewn4Uusr3WWi6VanooV_6Z5jWFzYCr2HYRYsTxAEThw%40mail.gmail.com.

 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings,
and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed
to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya

ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment