Ukikua maua yamechanua ona wanaoyaangalia. Wengine wanafurahia rangi. Wengine wanahuzunika kwa sababu hawaoni mvua hivyo yatapukutika. Wanaoyafurahia maua hawawezi kujua wanaohuzunika wana maana gani maana wanaishia hapo. Lakini wanaoona ukosefu wa mawingu na kuhusisha maua wanajua ujinga wa wanaofurahia rangi ya maua. Wote wanatarajia faida ya matunda ya maua hayo. wala haimaanishi kuwa wanaowaza ukosefu wa mawingu ya mvua wanafaida zaidi La.
--------------------------------------------
On Wed, 12/2/15, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA, USIFE. TUNAKUHITAJI!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, December 2, 2015, 10:24 AM
Unajifurahisha tu nafsi yako au unadhani
utachaguliwa ubunge ili upate uwaziri kama awazavyo
happiness K kwani unajipendekeza wakati hujui
unachokisema.laiti ungekuwa na mtazamo chanya .lakini huwa
tunaheshimu kila mtu kwani hata kichaa ni mwanadamu
On Dec 2, 2015 12:28 AM,
"'jbifabusha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Sijaona
cha kusoma.
Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message
--------
From: 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] CHADEMA, USIFE.
TUNAKUHITAJI!
Kuna dhana kuwa chama cha siasa ni mali ya
wanachama na mahala pengine viongozi. Mimi sikubaliani.
Chama Cha siasa ni taasisi ya wananchi wote. Iko kwa manufaa
ya taifa. Chama cha siasa kinaweza kuingia madarakani wakati
wowote na kilichopo kuondolewa. Kwa sababu hiyo mimi kuwa
mwanachama wa CCM si kwamba vyama vingine kwangu sio kitu.
Kama sio CHADEMA kuvurunda wakati wa uteuzi wa mgombea urais
huenda kura yangu ingemwendea Dr. Slaa akiwa CHADEMA.
Ninapenda kuhakikisha CDM inaendelea kusitawi huku na CCM
yangu ikistawi pia.
Watu
wanaoweza kuona kupitia ukuta wa zege tuliona kuwa mwenendo
inaouchukua CHADEMA toka ipokee wanaCCM unaipelekea
kuanguka. Tulipendekeza njia kadhaa kuinusuru na
hazikuzingatiwa. Japo maua yanaonyesha uhai lakini magome
yanaonyesha kukauka.
Kwa
muda mrefu CHADEMA imekuwa ikistawi kutegemeana makosa ya
CCM Hayo ndiyo yaliyoipaisha. Kidogo kidogo Dr. Slaa alikuwa
akieleza sera mbadala.
Hata wakati wa
uchaguzi viongozi wake walitumia makosa ya CCM kuinadi
chadema na hii ikaiumiza zaidi kwa sababu makosa ya CCM
yaliyokuwa yanahubiriwa yalikuwa ni yale yaliyotendwa na
voingozi wanaonadiwa na CHADEMA. naogopa kusema lakini sijui
kwa nini CHADEMA haikuliona hilo. mwisho ikashindwa na
visingizio havikosi.
Mara
baada ya uchaguzi tulitegemea CHADEMA ianze kujijenga.
Sasa Kuna tatizo. Huko nyuma mkakati wa kususia
bunge ulikijenga CHADEMA. wamejaribu kufanya hivyo katika
bunge la 11 bila kupima mambo chama kimejeruhiwa.
Watanzania wote tunaomboleza
kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Geita. Aliuwawa
kinyama kama Dr. Mvungi kama mwandishi wa habari mwangozi.
katika mauaji yote watanzania hawajaridhika sana kwa jinsi
uchunguzi na haki inavyotendeka.
Katika msiba wa mawazo CHADEMA imeuhodhi msiba
wote badala ya kuuacha ukawa wa CHADEMA NA watanzania. Kuna
dalili kuwa CHADEMA imefanya hivyo ili kuwafanya watu
waikasirikie serikali ya CCM. watathmini kama wamefanikiwa
lakini nionavyo hawakupata walichotarajia. Kwa ujanja wa
hali ya juu serikali imeyanyamazia hata matamshi ya
uchochezi ya viongozi wake. Sijui kama CHADEMA wameliona
hilo. Msiba huu unaweza kuishia kwa kutenda haki au kuacha
muda ukapita na mambo yakesha CHADEMA haitanufaika nao.
Lakini CHADEMA inahitaji
kujijenga upya. isisubiri kisichoonekana kikaonekana.
inaelekea kubaya.
Inahitaji
kufanya mambo mawili ili kujijenga badala ya moja
1) Iweke wazi sera zake. izitofautishe na za
CCM au kama zinafanana ijitofautishe katika utekelezaji.
2) Iyasemee yanayotendwa na Serikali sasa. kama
ni mazuri iyasifu. Ikifanya hivyo si muda mrefu serikali
itakosea. Hapo ikikosoa itaendelea kusikilizwa na waliokuwa
wanawasikiliza wakati wanasifu.
Huku kuokoteza makosa ya CCM mpaka hata yasiyo
makosa kuyaita makosa kutaiangaimaliza CHADEMA. naiomba
CHADEMA isife. Tunaihitaji
Muhingo
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more
options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message
because you are subscribed to
the
Google Groups
"Mabadiliko Forum" group.
To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye4Ewn4Uusr3WWi6VanooV_6Z5jWFzYCr2HYRYsTxAEThw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment