...."usicheze na dola" ni kauli ambayo umekuwa unapenda kuitumia sana "as a comment" kwenye matukio kama haya (yalipokuwa yanawapata wengine!). Pole kaka!
2014-05-08 13:53 GMT+07:00 Kamala J Lutatinisibwa <jlkamala@gmail.com>:
mtauliza sana na mkijibiwa hamna mashiko kwenye majibu! mnaweza kuambiwa kesi iko polisi/mahakamani haipaswi kuzungumzwa, tujifunze kuwa tuna-ignore story zinazoletwa bila kujibu maswali ya msingi, ni propaganda2014-05-07 14:49 GMT-07:00 bahabp2003 <bahabp2003@yahoo.com>:Kaka Yona,Kweli twaomba ufafanuzi wa kina juu ya hii kadhia....maswali ni mengi kuliko majawabu,kama tulivyokosa majawabu kwa kadhia ile ya mwanzo kukuhusu wewe. Ila pia pole kwa yaliyojiri sio Utanzania, jana madaktari,waandishi, leo wewe mtaalamu wetu katika sekta ambayo binafsi nahisi ni salama zaidi???Sent from Samsung tablet
-------- Original message --------
From Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
Date: 07/05/2014 22:18 (GMT+03:00)
To Wanazuoni@yahoogroups.comSubject Re: [Wanazuoni] TUWE MAKINI KUNA WASHAMBULIAJI
Pole sana ndugu Y japo mkasa huu na ule wa wakati ule wa kukamatwa na polisi unanikumbusha kisa cha kijana mchungaji aliyewaambia wanakijiji kuna simba!
From: Alex J. Kobalyenda <kobalyenda@gmail.com>
To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Wednesday, May 7, 2014 8:17 PM
Subject: RE: [Wanazuoni] TUWE MAKINI KUNA WASHAMBULIAJI
Pole Mzee Yona,
PIA nina swali dogo kaka, huyu mtu vyombo vya usalama viliweza kumpata?alishuka pia?
Kama hakushuka identity yake uliweza kuitambua maana ulisema ulidhania anawazimu....nauliza ili kupata kujua kuwa the incident was random au 'staged'...
Kwa kweli dunia imeharibika these days.
Pole sana.
From: Mwema Felix
Sent: 5/7/2014 6:56 PM
To: Mailing List
Cc: wanabidii
Subject: Re: [Wanazuoni] TUWE MAKINI KUNA WASHAMBULIAJI
Pole YonaLakini mbona maelezo yako yamekinzana?Umendika awali "ulishuka kituo cha mpakani na huyo mtu akashuka akakushambulia"....(ukasema aachwe asipigwe na watu?! wala asikamatwe?!), OK sawa!...tena umeandika "baada ya kupigwa ukaona bora ushuke hapo hapo" (kwani alikupiga ukiwa kwenye gari?)....ipi sahihi?Swali langu ni, je, alipokupiga alisema maneno gani?
2014-05-07 2:23 GMT+07:00 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
huyu mshambuliaji siwezi kuendelea kumweka wazi kwa sababu za kiusalama zake mwenyewe pamoja na mie , mpaka vyombo stahili vitakapomkamata .aliyekuwa pembeni yangu ni mwanamke yeye alishikwa na butwa halafu akatishwa ndio akaondoka sehemu hiyo ghafla , watu wengine walijaribu kuingilia nikaomba aachwe ndio tuliachana hapo .kuona hivyo nikaomba kushuka hapo hapo , nisingeweza kuendelea na safari hiyo maana usalama ulishavurugika .huyu mshambuliaji hakuonyesha anataka chochote kutoka kwangu hata nilivyovaa sikuonyesha dalili za kuwa na chochote labda kwa mtu anayenijua ila ninachojua tulipanda wote utawala na muda wote alikuwa ametulia nyuma yangu .Hili shambulizi limenishtukiza sana sikutegemea kukutana na kitu hicho kwenye mazingira kama yale .
2014-05-06 12:10 GMT-07:00 Atuwene Mbelle <atuwene.mbelle@gmail.com>:
Yona pole sana. lakini mimi naomba ufafanuzi kidogo kama hutajali, huyu mtu alikupiga wewe akiwa na nia ya kutaka kitu toka kwako au ilikuwaje? Ulivyokuwa unaelekea kituo cha polisi alizidi kukufuata? Watu wengine hawakuingilia kati? Huyo mwenzio aliyetishiwa alikuwa akijaribu kukusaidia au? Jinsi ya aliyekushambulia ni ke, me? Jinsi ya aliyetaka kukusaidia ni me, ke? Ulijaribu kuomba msaada kwa watu wengine au ilikuwa ni kitu cha ghafla? Maswali yangu yangeweza kuendelea zaidi manake hii inaogopesha kidogo.
2014-05-06 16:59 GMT+03:00 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>:
Ndugu zangu ,Leo Mchana nimeshambuliwa na mtu mmoja wakati natoka chuo , huyu mtu alipanda na mimi gari pale utawala akakaa siti ya nyuma yangu wakati mie nashuka kituo cha mpakani nae akatoka huko alipoka akanipiga kwa nyuma eneo la kichwani na mgongoni , mwenzangu niliyekuwa nae nae akatishwa .Sikujibu chochote zaidi ya kuuliza kama ana akili timamuKilikuwa kitendo cha kushangaza sana kwangu sikujibu chochote wala kufanya chochote zaidi ya kushuka kwenye gari na kwenda kutoa taarifa sehemu husika ili sharia ichukuwe mkondo wake .Nilishuka kwenye huo usafiri nikaenda kutoa taarifa kituo cha polisi na kutoa taarifa kwa uongozi wa mabasi yanayoenda chuo kupitia ubungo kisha nikaelekea kupata huduma nyingine za kitabibu .Jamani tujihadhari , hali ni mbaya sio kama ile ya miaka ile .--
Yona Fares Maro
Institut d'études de sécurité - SA
--
Yona Fares Maro
Institut d'études de sécurité - SA
--
kamala J Lutatinisibwa
__._,_.___
Reply via web post • Reply to sender • Reply to group • Start a New Topic • Messages in this topic (13)
Just launched ! Link preview on Yahoo GroupsVisit your Group on the web, simply paste the link to the article, photo or video you wish to share in the message you are composing.
.
__,_._,___
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment