Only the paranoid survive
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanakenya@googlegroups.com
Date: Wed, 28 May 2014 08:00:49 -0700
To: wanakenya@googlegroups.com<wanakenya@googlegroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni<wanazuoni@yahoogroups.com>
ReplyTo: wanakenya@googlegroups.com
Subject: UJUMBE WA CLEMENT OGINGA KUHUSU UNIVERSITY OF LIVERPOOL NI WA KUPOTOSHA
UJUMBE WA CLEMENT OGINGA KUHUSU UNIVERSITY OF LIVERPOOL NI WA KUPOTOSHA
Ndugu zangu ,
Dakika chache zilizopita nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kama mwanasheria wa Chuo cha LiverPool .
Huyu jamaa alikuwa amelalamika kuhusu ujumbe ulitumwa mwaka 2013 na Clement Oginga kuhusu fursa kadhaa za chuo hicho .
Imekuja kugundulika ujumbe ule ulikuwa una walakini na baadhi ya watu walishausambaza kwenye mitandao ya kijamii .
Nilivyopata ujumbe kutoka kwa Mwanasheria wa Liverpool nilitafuta post hiyo nikagundua ilitumwa na Clement Oginga .
Huyu Clement Oginga aliwahi kuwa na mtafaruku yati yake , Faiza Hassan , Felix Mwema na Maurice Oduor .
Jamani tuwe makini na Jumbe za fursa mbalimbali zinazoingizwa kwenye mitandao hii , kama ni za masomo , biashara na chochote kile .
Institut d'études de sécurité - SA
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "WANAKENYA" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanakenya+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment