Tuesday, 13 May 2014

Re: [wanabidii] WANDUGU WAPI FILIKUNJOMBE?

Ninachokumbuka, Filikunjombe alipata msiba wa kufiwa na Baba yake Mzazi, huenda bado yuko nyumbani kwa masuala hayo, siamini kama Filikunjombe anaweza kunyamazishwa. Ni Mbunge Kijana anayejiheshimu, anaheshimu Watanzania na ni Mzalendo.
On Tuesday, May 13, 2014 11:24 AM, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mimi ninadhani Filikunjombe hajanyamazishwa, ni vigumu kwa hilo. Lakini kama alivyoelezea Beda, hata kabla ya kurejea Ludewa, alikuwa India akisimamia matibabu ya baba yake (Mwenyezi amlaze mahali pema-AMINA), alituma katika ukurasa wake wa Facebook akichangia kuhusu mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, akipinga mambo ambayo kwa sehemu kubwa yaliungwa na kufanywa na wabunge wa pande zote, wakiwamo wengi kutoka CCM.

Nadhani tuzidi kumuombea apate faraja na nguvu ya kurejea ili atimize wajibu wake kwa umma, kwa maana mauti yatatufika kwa wakati na namna tofauti, cha msingi ni namna tunavyojiandaa ikiwamo katika kuuthaminisha na kuuthamini ubinadamu na mahitaji yake.

On Tuesday, May 13, 2014 12:18 AM, Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com> wrote:
Mheshimiwa Filikunjombe hadi mwishoni mwa wakie alikuwa hajaripoti bungeni. Alikuwa kwao Njombe kwenye msiba wa baba yake mzazi. Rafiki zake waliomsindikiza wamekwishafika bungeni nadhani wiki hii atarejea.
Joe

2014-05-13 11:15 GMT+04:00 'lameck nyaligwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Huyu bwana kwanza ni kati ya wabunge wachapakazi, wapenda haki, na asiyetaka mambo yaende sivyo ndivo. Kwa bunge kama hili ambalo halijui hata linatetea nini, au linasimamia nini mtu kama huyu hawezi changia lolote. Nchiiii tumeifikisha pahala ambapo sisi wajinga tunashangaa sana!  HOJA YA MUUNDO WA SERIKALI NI HOJA GANI NA NI YANI? Ukisema wananchi siamini. Mimi nilidhani kero za muungano zimeshindikana kutatuliwa na serikali yetu ya muungano, sasa wanataka wabunge nao watoe hoja zao juu ya kero hizo ili kurasmisha maamuzi yatakayotoka. Serikali upande wake imekuwa ikidai inatatua mgogoro huu kwa kuwateua wadau kushika nyazifa mbalimbali serikalini ili wanyamaze, ikiwemo serikali ya umoja zanzibar. Hiki ni kiini macho tu! sasa hivi mambo ni shwari zanzibar kwa kuwa rais ni wa ccm! wasiwasi wangu ni kwamba akija kuwa rais kutoka chama kingine chenye mtazamo hasi na mambo ya kimwuungano, wala kiserikali ya ummoja zanzibar kutabadirika.wengi walozoea madaraka ya kubambizikiziwa bila ridhaa ya wananchi watakuwa jimbuko la migogoro!. Hilo moja pili, bado sijafahamu maana ya serikali tatu kuungana. Kuungana ni lazima kuwe na vitu vitatu solidi. NDIYO Naweza kuiona zanzibar, na tanganyika na hizi ziliungana pamoja na kuwa Tanzania. Haiwezekani Tanzania kurudi na kuziambia tanganyika na zanzibar tuungane. mambo hayo wasomi wa sasahv
 
Lameck Makoye Nyaligwa
PhD (Candidate) in Plant Breeding
African Centre for Crop Improvement (ACCI)
University of KwaZulu-Natal
Private Bag X01, Scottsville, 3209, PMB South Africa
Mobile: +255 788263453
Tel:073-6500538
Fax: 073-6500538
On Tuesday, May 13, 2014 9:53 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Comrades;
Kwa muda sasa sijapata kusikia cheche za Bro Mh. Filikunjombe,huyu mutu kaishia wapi?
Amekuwa 'silinced' au hakuna tena changamoto anazoziona katika Taifa lake?

Reuben
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment