Kwanza fashion siku hizi mataifa mengine (USA) ni kuwa natural. Tohara imetolewa katika kuwa jambo la azima ktk sheria ya nchi GVT kugharimia kama ilivyokuwa nyumbani. Mtu aamue mwenyewe.
Ni HIV tu sasa imekuja kuligeuza hili a natural and body integrity-usikatwe male or female. Kumkata mtoto ni uonevu wa kijinsia unampa maumivu na kidonda na kovu linalomfanya asiwe sensitive ktk mwili wake. Wengine hutahiri vibaya mtoto anakuja kuwa impotent. Utafiti wetu wa mwaka 2000 wa NGO yetu Tarafa ya Mikumi-Kilosa ulionyesha asilimia 2 ya watu ya vijana me na ke wa ndani na nje ya shule idadi yao 540 na wazazi 460 (m na ke) walifahamu mtoto wa kiume aliyefariki jandoni kutokana na tohara kijijini-ngariba wa kienyeji na asilimia 4 walifahamu msichana aliyefariki kutokana na mia ya kukeketwa. Aidha alikatwa vibaya akavuja damu sana, au alipata infection ktk mfumo wa damu, aipata shock akafa vifo ambavyo havitangazwi au kutolewa taarifa serikalini.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Hivyo basi, kama kuna kutahiri ifanyike hospitali/zahanati. Kwani, hata ngariba wa kike na kiume na waganga wa jadi, wakunga wa jadi wasiotumia protective gear wameonekana kuambukizwa ukimwi kutokana na shughui zao za kutahili au kuchanja watu kuwapaka dawa na kuwazaisha ambapo hata watoto wengine huzaliwa HIV positive ila hawajaanza kuugua au wanaugua kidogokidogo. Kama nduguyo ni ngariba-mfahamishi ajilinde.
On Sunday, 4 May 2014, 16:33, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Mmmmh,
Mtafika kusipo na jina sasa, iwe utamu, uchungu or whatever yaachieni hapo.
Hahahahahaaaaaa, kaazi kweli kweli

"...by citizenship am a Tanzanian, nationality African..."
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment