Sunday, 4 May 2014

Re: [wanabidii] Umri sahihi wa kutahiri watoto wa kiume!

Makwega, nadhani jambo hilo ni more of cultural construct.nimekuwa na wapenzi kadhaa wa pwani.issue ya kutokutahiri haijawahi kujitokeza.zaidi wote hunisifia kwa usafi na kwamba Mimi mtamu.

On May 4, 2014 12:10 PM, "adeladius makwega" <makwadeladius@googlemail.com> wrote:
Duu jose unajinasibu kuwa wewe govi?kwetu wewe upewi binti wa
kuoa.Ukijulikana unapelekwa suna kwa nguu.Hongera kwa cheo
chako.Chezea binti wote kwetu pwani ukijaribu watakutahiri kinguvu na
bila ganzi.

On 5/4/14, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:
> Kwani ni lazima kutahiri? Mbona wengine hatujatahiri na maisha yanaenda
> kama kawaida?
> On May 4, 2014 11:54 AM, "adeladius makwega" <makwadeladius@googlemail.com>
> wrote:
>
>> Hoja na mada niwezipenda.Ushauri wangu kwa wenye watoto wa kiume kama
>> mimi ni kuwa ni vizuri kumpeleka suna kijana wako akiwa na umri wa
>> miaka kuanzia 10 kwanza hapo anajitambua,pili ataweza kutambua kazi ya
>> kiungo hicho,nafasi ya kumuelisha juu ya mambo ya uzazi,nne kukipa
>> nafasi kindunduli kikue na wakati kinakaribia kuanza majukumu ya uzazi
>> ndipo kinapotengenezwa.Kumbukeni wakati wa jando ndivyo ilivyokuwa
>> .Jembe linawekwa mpini masika.Asalaam alaikum.
>>
>> On 5/4/14, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>> > Konga;
>> > Umri wowote kabla ya miaka saba ni sahihi lakini pia usiwe umri mdogo
>> sana
>> > ili aweze angalau kujimudu,mtoto akishazidi miaka saba inakuwa sio
>> kutahiri
>> > tena bali kudondosha mkono sweta.
>> >
>> >
>> > Reuben
>> >
>> >
>> >
>> >>________________________________
>> >> From: jones konga <lufj.24@gmail.com>
>> >>To: wanabidii@googlegroups.com
>> >>Sent: Sunday, May 4, 2014 10:24 AM
>> >>Subject: Re: [wanabidii] Umri sahihi wa kutahiri watoto wa kiume!
>> >>
>> >>
>> >>naamini ukimtahiri mdgo sana ni rahisi kusahau maumivu kuliko akiwa
>> >>tayari amekuwa japo vipindi vyote ni sahihi kabisa katika masuala ya
>> >>afya ila asizidi miaka 7
>> >>
>> >>On 5/4/14, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
>> >> <wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >> wrote:
>> >>> Comrades;
>> >>> Hivi ukiwa na umri mdogo (mtoto mchanga) manake husikii maumivu?
>> >>> Nazani alichosema Mhangwa kwa mimi ni sahihi,mtoto awe na umri wa
>> >>> kutosha
>> >>> kujiuguza na kujimudu.
>> >>>
>> >>>
>> >>> Reuben
>> >>>
>> >>>
>> >>>
>> >>>
>> >>>>________________________________
>> >>>> From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
>> >>>>To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> >>>>Sent: Sunday, May 4, 2014 9:56 AM
>> >>>>Subject: Re: [wanabidii] Umri sahihi wa kutahiri watoto wa kiume!
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>>Kwa hiyo tuwape adhabu ya maumivu ya kutahiriwa ktk umri mkubwa?
>> >>>>Wakwangu nitamtahiri wakati wowote kuanzia aasa miaka 7 kabla ya
>> >>>> miaka
>> >>>> 10.
>> >>>> Sababu kubwa ili aweze kujimudu wakati wa kuugulia maumivu.
>> >>>>On 4 May 2014 01:38, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
>> >>>> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>> >>>>
>> >>>>Atahiriwe akiwa mkubwa kabla ya kufika darasa la 7 yaani akiwa darasa
>> la
>> >>>> 4
>> >>>> umri miaka 10, ili auone uchungu, aache jeuri. Kisha apate mafunzo
>> >>>> ya
>> >>>> usafi na stadi za maisha, mila na desturi za kiafrika. Hii itampa
>> >>>> nafasi
>> >>>> ya kuwa mpenda jamii, mlinda jamii na mwana maadili.Kuwatahiri
>> >>>> wakiwa
>> >>>> watoto ndio hawa tuleao digitali, katahiriwa siku chache baada ya
>> >>>> kuzaliwa, hakumbuki kunoga kwake/uchungu na huwezi ukamfundisha
>> >>>> maana
>> >>>> yoyote. Ila watahiriwe hospitali sio porini ili kulinda afya zao.
>> >>>> Wale
>> >>>> ambao watapata matatizo ya UTI na kuzia mkojo kutokana na ngozi
>> >>>> kuziba
>> >>>> (kuwa ndefu), basi wasaidiwe mapema. Mafunzo ya kumbi/unyago
>> >>>> yaliyoboresha
>> >>>> kwa mtaala wa kisasa husaidia sana kuliko ule wa jando na unyago ya
>> >>>> zamani.Huu wa sasa madaktari/bwana afya wa zahanati, kituo cha afya,
>> >>>> wakunga wa jadi, wazee wa mila, ngariba na somo/kungwi hutumika
>> >>>> kufundisha
>> >>>> masuala muhimu. Mitaala hiyo ipo imejaribiwa na NGOs kwa kutumia
>> >>>> Sera
>> >>>> za
>> >>>> nchi (Afya ya mwili na usafi wa
>> >>>  mazingira, HIV, katiba na masuala ya kimataifa ya haki za Binadamu
>> >>> etc);
>> >>> Mitaala ya In-school and out-of-school youth peer educators ya
>> >>> FHI-AYA;
>> >>> UNFPA (MCHC, Youth); Sera ya Vijana TZ. Kisha wazee wa mila, kungwi,
>> >>> somo
>> >>> hufundisha maadili na vijana kujua kucheza noma za kwao na
>> kushindanisha
>> >>> makundi na kutoka hadharani ili wakubalike kimila na kabila kuwa wapo
>> >>> sawa
>> >>> kama wale waliopitia jando la kisu kavu kavu na mafunzo kamambe kama
>> >>> ya
>> >>> 'Mshitu e nyumbae' (Ona kiambata).
>> >>>>>
>> >>>>>On Saturday, 3 May 2014, 12:35, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
>> wrote:
>> >>>>>
>> >>>>>Baadhi ya vitabu vya dini vinasema mtoto atahiriwe ndani ya siku 14.
>> Na
>> >>>>> huku wataalam wengine hushauri walau mtoto awe amefikisha miezi
>> mitatu
>> >>>>> sababu watoto wa kiume mara nyingi huugua sana UTI hasa akianza
>> >>>>> kutambaa.
>> >>>>> Mtoto anapotahiriwa akiwa mtoto mdogo anawahi haraka kupona.
>> >>>>>
>> >>> --
>> >>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>>>>
>> >>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >>>>> ukishatuma
>> >>>>>
>> >>>>>Disclaimer:
>> >>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>>>> legal
>> >>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >>>>> must
>> >>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> >>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >>>>> Guidelines.
>> >>>>>---
>> >>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>>>> Groups
>> >>>>> "Wanabidii" group.
>> >>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>>>> send
>> >>>>> an
>> >>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >>>>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>> >>
>> >>>>>
>> >>>>>
>> >>>>>
>> >>> --
>> >>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>>>>
>> >>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >>>>> ukishatuma
>> >>>>>
>> >>>>>Disclaimer:
>> >>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>>>> legal
>> >>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >>>>> must
>> >>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> you
>> >>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >>>>> Guidelines.
>> >>>>>---
>> >>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>>>> Groups
>> >>>>> "Wanabidii" group.
>> >>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>>>> send
>> >>>>> an
>> >>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >>>>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>> >>>>>
>> >>> --
>> >>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>>>
>> >>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >>>> ukishatuma
>> >>>>
>> >>>>Disclaimer:
>> >>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>>> legal
>> >>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >>>> must
>> >>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> >>>> you
>> >>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >>>> Guidelines.
>> >>>>---
>> >>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>>> Groups
>> >>>> "Wanabidii" group.
>> >>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>>> send
>> >>>> an
>> >>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >>>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>>
>> >>>
>> >>> --
>> >>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>>
>> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >>> ukishatuma
>> >>>
>> >>> Disclaimer:
>> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >>> legal
>> >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must
>> >>> be
>> >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> >>> to
>> >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >>> ---
>> >>> You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>> Groups
>> >>> "Wanabidii" group.
>> >>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>> send
>> >>> an
>> >>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>> >>>
>> >>
>> >>--
>> >>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >>
>> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >>Disclaimer:
>> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> >>---
>> >>You received this message because you are subscribed to the Google
>> >> Groups
>> >> "Wanabidii" group.
>> >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> >> an
>> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>> >>
>> >>
>> >
>> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment