Hizi njaa zitatupeleka pabaya!! This is absolutely stupidity!
Kwa hiyo mnadhani nyie mna akili na uwezo wa kupanua mambo ya nchi hii kuzidi wajumbe wa UKAWA??
Watumikieni wanaowatuma ili mpate mkate wenu, lakini wenye akili tunajua "mnatumika na kutumiwa"
--------------------------------------------
On Tue, 5/20/14, 'Eberi Manya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya wajumbe wa CHADEMA kwa umma Kupinga UKAWA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, May 20, 2014, 3:01 AM
Ninyi ni wahuni tu waliofilisika
kisera, mnatumiwa, mnatumika na CCM. Ninyi ni umoja wa
wachumia tumbo. Wajinga na punguani tu wa akili
watawasililizeni ninyi.
'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Duuuuuuh, haya zengwe zinaanza chadema
taratiiiiiibu.....walitajwa watoe nao tamko au mtasema na
hao watimke.
>Tuna kazi saana siasa za kibongo, kila siku vulula
vulula tu ah
>
>
>
>DuOn Monday, May 19, 2014 9:29 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:
>
>
>
>TAARIFA KWA UMMA
>
>TAARIFA YA BAADHI YA WAJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO
MKUU CHADEMA MIKOA YA DSM, PWANI NA TANGA KUPINGA UHUNI WA
KISIASA UNAOITWA UKAWA.
>
>UTANGULIZI.
>
>Ndugu wanaHabari, Tunapenda mtusaidie kufikisha ujumbe
wetu huu kwa umma unaotokana na malalamiko na manung'uniko
ya wanachama wenzetu wa CHADEMA kuhusu udhaifu mkubwa wa
kiuongozi unaoendelea kwa sasa chini ya mwavuli wa UKAWA.Kwa
wiki kadhaa sasa, kumeibuka msamiati mpya wa kisiasa wa
UKAWA uliopelekea mpaka kuundwa kwa BARAZA KIVULI LA UKAWA
pale Bungeni bila kufuata Utaratibu.
>
>Sisi viongozi ambao miongoni mwetu ni Wajumbe wa vikao
halali vya chama, ambavyo ni
>Baraza Kuu na Mkutano mkuu wa chama kutoka mikoa ya
Tanga, Pwani na DSM kwa masikitiko makubwa tunasema kuwa
hatupendezeshwi na mwenendo huu wa chama unaofanywa na
viongozi wetu wakuu.
>
>KUSUSIA BUNGE LA KATIBA.
>
>Ndugu wanaHabari,
>Kwa namna ambavyo tumepambana kwa miaka mingi kudai na
kuishinikiza serikali kuridhia uandikaji wa katiba mpya, ni
mpumbavu pekee anayeweza kususia fursa ya uandishi huo tena
kupitia chombo huru (BUNGE LA KATIBA) kwa sababu tu ya
mgongano wa kimaslahi.
>
>Tunasikitika sana kuwaona viongozi wetu na wabunge wa
chama chetu cha CHADEMA wamesahau kazi tuliyowatuma ya
kwenda kuandika katiba mpya yenye kuzingatia maslahi ya
wananchi badala yake wamekwenda kupigania vyeo.
>
>Tumefedheheshwa sana na namna ambavyo wawakilishi hawa
wamekubali kutanguliza mbele maslahi yao na kuyaacha maslahi
ya wananchi ambao ndio waliuowatuma, kwenye Rasimu yenye
sura zaidi ya 18 ni uzezeta kususia sura 2 tu za mwanzo kisa
tu maslahi yao ya kugawana vyeo wanaona hayawezi
kutekelezeka.
>
>Tunaomba ifahamike kwamba, hakujawahi kukaliwa kikao
chochote halali cha chama chetu kilichoazimia na kuwaagiza
wajumbe wanaotokana na chama chetu wasimamie katiba yenye
SERIKALI TATU, na ikionekana haiwezekaniki WASUSE NA KUTOKA
NJE YA BUNGE.
>
>Huu ni udhaifu unaotawaliwa na uroho wa madaraka, sisi
kama viongozi halali wa kikatiba wa chama hatujawahi kuwaza
wala kuamua kuhusu ujinga huu, siku zote tumekuwa
tukiwasisitiza wajumbe wetu kwenye fursa yoyote
watakayoipata kwenda kusimamia mawazo na misimamo ya
wananchi ambao ni wanyonge.
>
>Tunawatuma wajumbe wetu kuhakikisha tunapata katiba
itakayosimamia na kuzitunza Rasilimali zetu, na wala si
kweli kuwa Idadi ya Serikali kama ni 3 au 2 au 5 au zozote
inaweza kuwa muarobaini wa changamoto zetu.
>
>Daima dumu tumekuwa tukiamini kwenye mapambano ya Hoja
ambayo ndio msingi mkuu wa demokrasia ya kweli
Tunayoisimamia kama CHADEMA.
>
>Hivyo Basi tunasema, si sahihi hata kidogo kwa wajumbe
wetu wa Bunge la katiba kususia vikao vile na ndio maana
hata baadi ya wabunge wengi wa chama chetu wamekuwa
wakilalamika chini chini kwetu sisi wajumbe wa baraza kuu
kwamba wamechoka sasa kuburuzwa na viongozi wakuu wa chama
na kwamba wao nao wana mawazo na misimamo yao, sasa kwa
niaba yao pia tumeona kama viongozi wa chama
>ulikemehe hili.
>
>Nipo tayari kuyataja majina ya wabunge hawa
wanaolalamika kuburuzwa ambao ni zaidi ya wabunge 31 wa
kuchaguliwa na wa viti maalum.
>
>Muungano wetu huu wa UKAWA ni muungano wa kinafiki
usiokuwa hata na hadidu za rejea, hakunaga muungano duniani
kote ambao waunganaji wake wanaungana kiujanja ujanja tu
kama walivyofanya viongozi wetu hawa. Hatuungi mkono na
tunawataka wasiendelee na upuuzi wao huu, warudi bungeni
kama hawataki wajitoe tuchague wabunge wengine
watakaowawakilisha wananchi wanaotuamini.
>
>Ni sawa na ndoa ya mkeka, hakuna maridhiano, hakuna
vikao, asubuhi wapenzi jioni wana ndoa, ndoa ya namna hii
kamwe haiwezi ikadumu hata kidogo.
>
>BARAZA KIVULI LA UKAWA.
>
>Tunasikitika sana na kitendo cha mwenyekiti wa CHADEMA
ndugu Freeman Mbowe, kutufanya sisi wajumbe wa Baraza Kuu na
Mkutano Mkuu hatuna maana kwenye kufanya maamuzi ya chama.
>Walituaminisha kwamba CUF wamefunga ndoa na CCM na
kwamba wao ni sehemu ya serikali hivyo hawawezi kushirikiana
na chama ambacho ni sehemu ya serikali, kwa msingi huu
tukaazimia kwenye vikao vya chama ambavyo ni halali kwamba
chama chetu hakitashirikiana na chama kingine chochote cha
siasa kwa kuwa ni washirika wa CCM na kwamba wao ni CCM-B
>
>Tumemkashigu na kumtuhumu James Mbatia na NCCR nzima
kuwa ni Tawi la CCM na ndio maana hata Mbatia ameteuliwa
kuwa Mbunge, inakuwaje leo tunashirikiana na watu hawa ambao
wanatumiwa na CCM?
>
>Ni lini Muungano wa CCM na CUF umevunjika rasmi?
>
>Ni lini ushirikiano wa NCCR ya MBATIA na CCM umekufa
rasmi?
>
>Je mazingira yaliyofanya tuwahesabu wenzetu hawa kuwa ni
CCM B leo yamebadilika?, na kama yamebadirika yamebadilika
lini na yamebadilikaje?
>
>Je sio kweli kwamba tuliwatenga wenzetu na kuwakashifu
kwa sababu tu ya uchu wa madaraka?
>
>Yaani sio kweli kwamba tuliwafedhehesha wenzetu hawa kwa
sababu ya UWAZIRI KIVULI? Na leo tunawasafisha wenzetu hawa
kwa UWAZIRI KIVULI HUO HUO.
>
>Kwa nini viongozi wetu wanakuwa na UCHU na UROHO wa
MADARAKA kiasi hiki?.
>
>Kama tunaweza tukawaita wenzetu MASHETANI asubuhi na
jioni tukawaita MALAIKA kwa sababu ya UWAZIRI KIVULI, je
tukipewa nchi na kushika dola, si Tutawaita wenzetu majina
mabaya zaidi?
>
>Si tutakuwa na serikali mbovu nay a ajabu zaidi ya hivi
sasa tulivyo kwenye siasa za upinzani tu tulio nao?
>
>Kwa misingi huu, Tunaamini kuwa UKAWA ni UNAFIKI WA
KISIASA, na umebuniwa kwa sababu moja tu nayo ni kugawana
vyeo, hakuna sababu yoyote yenye mantiki iliyopo kwenye
uundwaji wa UMOJA huu na ndio maana hauna hadidu za rejea
wala hauna hati za makubaliano miongoni mwetu.
>
>Napenda kuwaambia watanzania kuwa sisi baadhi yab
wajumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu wa mikoa ya Pwani, Dsm
na Tanga hatuungi mkono upuuzi wowote wenye lengo la
kusimamia ugawanaji wa vyeo na madaraka, watu wa namna hii
tunawaita WALAFI wa MADARAKA.
>Tunaunga mkono watanzania wote wanaoitakia heri Tanzania
yetu.
>Mungu ibariki Tanzania
>
>Imeandaliwa na Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu na
Mkutano Mkuu wa Mikao ya Pwani, DSM na TANGA na imesomwa
nami
>
>……………………………………………………
>JOSEPH YONA PATRICK
>+255713802226
>
>Mwenyekiti wa CHADEMA WILAYA YA TEMEKE
>Mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa TEMEKE
>MJUMBE WA BARAZA KUU CHADEMA TAIFA
>MJUMBE WA MKUTANO MKUU CHADEMA TAIFA
>MJUMBE WA KAMATI YA UTENZAJI BAVICHA TAIFA
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment