Inashangaza jamani halafu kama kilele za wanaharakati zikizidi utasikia tunaunda tume ya uchunguzi. Hivi kwa nini mkuu wa kituo, shifti nzima iliyokuwepo kituoni, na hata OCD na pengine hata RPC wasiwajibishwe????? Maajabu ya dunia
2014-05-09 22:18 GMT+03:00 salumkango via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hii ndio Tanzania zaidi ya tuijuavyo.
Sent from my smartphone on the new Vodafone network
'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Na ni kwa njia hii hii ya utendaji kazi wa kiufani wakuu wa vituo vya polisi wanapandishwa vyeo. Nani tena atatuweza kwa kanzi nzuri.
>Halafu eti Serikali inaanzisha operation tokomeza majangili, askari wapelekwa kwenda kusaka majangiri, wakifika huko wanawamia wanakijiji na wafanyakazi wadogo wadogo, piga buti wanawacharaza viboko na kuwasweka ndani.
>Ama kweli huwezi kutumia mbwa kumata mubwa mwitu, wote hawa ni ndugu, imetokea spices moja inaishi na binadamu na spices nyingine wanaishi porini, lakini ni wamoja wanakula nyuama, kutaka kuwalazisha kula nyasi ni kitu cha kushangaza.
>On Friday, 9 May 2014, 18:33, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Hata gunia za bangi hupotea kituoni; magunia ya maharage yaliyoijngizwa kimagendo utakuta kilo 3 badala ya magunia matatu (niliiona hii Bunda). Gari lilikamatwa kwenda`kulichukua pale polisi limeng'olewa vifaa vingi tukaingia hasara. Vinang'olewaje polisi. yale yanayokaa muda mrefu kituoni yanaondolewa vingi basi sisi ilikuwa usiku mmoja tu na walikongoa. nani na lipo kwenye ulinzi? hayo meno ya tembo ndio watayaacha?
>
>
>On Friday, 9 May 2014, 15:14, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
>Kuna siku askari walikamata pombe haramu ya gongo halafu wakaenda kuiweka kwenye ofisi ya serikali ya kijiji ili kesho yake asubuhi waje kuitoa pamoja na watuhumiwa ambao walienda kuwatafuta usiku huo .
>
>Asubuhi ilipofika watuhumiwa wakaletwa wote likapigwa gwaride , wananchi walikuwa wamejaa kibao .
>
>Yale madumu ya pombe haramu ya gongo yakaletwa , wakafungua na kumwaga kidogo , kumbe yalikuwa maji bwana .
>
>Hii ilitokea huko moja vijijini .
>
>On Friday, May 9, 2014 4:50:41 AM UTC-7, Bariki Mwasaga wrote:
>Hatariiii
>>On May 9, 2014 1:03 PM, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:
>>
>>Meno ya tembo yaliyohifadhiwa kwa ajili ya vielelezo mahakamani yalitoweka katika Kituo cha Polisi cha Kilwa mkoani Lindi. Tukio hilo limenukuliwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikisema meno makubwa 108 ya tembo na kilo 20 za meno mengine ya tembo yaliyokuwa yamehifadhiwa kama kielelezo cha kesi za uhujumu uchumi, yamebainika kutoweka kinyemela.Ripoti hiyo iliyowasilishwa bungeni juzi, imebainisha kuwa meno mengine makubwa ya tembo yaliyokuwa na uzito wa kilo 498.3 yamebadilishwa kinyemela na meno madogo, hivyo kusababisha hasara ya kilo 203.66 za meno ya tembo ambazo thamani yake haikufahamika.CAG Ludovick Utouh katika ripoti hiyo ya mwaka ulioishia Juni 30, 2013, amebainisha kuwa kumbukumbu katika Pori Tengefu la Miguruwe zilionyesha kuwa katika kipindi cha kuanzia Juni 5 hadi Juni 8, 2012 meno makubwa 108 yalikuwa miongoni mwa vielelezo kituoni hapo.Kati ya meno hayo 108 yaliyokamatwa katika matukio ya
> ujangili, 74 yalitoweka katika kituo cha polisi wakati 34 yalibadilishwa na meno madogo, tofauti na yale yaliyokuwa yamekamatwa yakihusishwa na kesi ya ujangili Na. 3/2009 na kesi nyingine ya uhujumu uchumi Na. 2/2010 ambazo zilikuwa zikiendelea mahakamani mkoani Lindi.
>>>Pia ilibainika kuwa kilo 20 za meno ya tembo ambayo yalikamatwa na kuhifadhiwa kama kielelezo cha majalada KLM/IR/184/2009, KLM/IR/235/2009 na KLM/IR/567/2010 yalitoweka.
>>>Gari la ujangili latowekaUkaguzi huo pia ulibaini kuwa gari lililokamatwa likiwa kielelezo baada ya kukutwa na kilo 26 za meno ya tembo yenye thamani ya Sh135 milioni liliondolewa kinyemela katika Kituo cha Polisi Kilwa.CAG katika ukaguzi huo alibaini upungufu katika usimamizi wa meno ya tembo na nyara nyingine za taifa katika chumba cha meno hayo Dar es Salaam na vituo vya mikoani.CAG katika taarifa yake hiyo amesema kutokana na kukosekana kwa kumbukumbu sahihi, meno ya tembo yanaweza kuibwa au kupotea bila menejimenti kuwa na taarifa yoyote, hivyo ameishauri Serikali kuhakikisha kunakuwa na udhibiti wa kutosha katika usimamizi wa nyara za Serikali nchi nzima.
>>>MWANANCHI
>--
>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>---
>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment