Dhihaka ya Vatican siyo kitu kipya na wala wenyewe siyo waanzilishi. Wenyewe wanarudia tu mockers wa enzi za mitume. Petro anatuambia wazi mambo ya siku za mwisho kwa habari ya wale wafanyao dhihaka kana kwamba wanajua kuliko Mungu kwa hekima na elimu yao ya kibinadamu. Ila "... upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu (1Kor 1:25). Ona Petro asemavyo:
3.3 Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki ninyi
3.4 na kusema: "Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kamailivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!"
3.5 Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na nchi zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwamaji;
3.6 na kwa maji hayo, yaani yale maji ya gharika kuu, dunia ya wakati ule iliangamizwa.
3.7 Lakini mbingu na nchi za sasa zahifadhiwa kwa neno la Mungu kwa ajili ya kuharibiwa kwa moto. Zimewekwa kwa ajili ya Siku ile ambapo watuwasiomcha Mungu watahukumiwa na kuangamizwa.
3.8 Lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! Mbele ya Bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.
3.9 Bwana hakawii kutimiza yale aliyoahidi kama watu wengine wanavyofikiri kuwa atakawia. Yeye ana saburi kwa ajili yenu, maanahapendi hata mmoja wenu apotee, bali huwavuta wote wapate kutubu.
3.10 Siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayodunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.
3.11 Maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo, je, ninyi mnapaswa kuwa watu wa namna gani? Mnapaswa kuishi kitakatifu na kumcha Mungu,
3.12 mkiingojea Siku ile ya Mungu na kuifanya ije upesi--Siku ambayo mbingu zitateketezwa kwa moto na kuharibiwa, na vitu vyake vya asilivitayeyushwa kwa joto.
3.13 Lakini sisi, kufuatana na ahadi yake, twangojea mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu.
3.14 Kwa hiyo wapenzi wangu, mkiwa mnangojea Siku ile, fanyeni bidii kuwa safi kabisa bila hatia mbele ya Mungu, na kuwa na amani naye.
3.15 Mnapaswa kuuona uvumilivu wa Bwana kuwa ni nafasi anayowapeni mpate kuokolewa, kama Paulo ndugu yetu mpenzi alivyowaandikia akitumiahekima aliyopewa na Mungu.
On Wednesday, 30 April 2014, 12:54, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mungu ni mmoja lkn ana nafsi tatu ..kila nafsi ina mamlaka kwa nafasi yake...aliposema ni kaz ya baba kujua ...alimaanisha it was not the right time for him to reveal that ...believing jesus is optional ..in whatever decision yu make,you dont change a thing, but it has some impacts at your fate....ngupula
Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:It only comes to whether you read the words and understand the meaning or you read the words and understand words. Mind you, every biblical narrative has a lesson behind the story. So, don't get lost with the words, but understand the meaning.
On Wed, Apr 30, 2014 at 12:59 PM, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Siku moja mbinguni ni kama miaka elfu. .
So basing on this belief kwa miaka 2000 tu iliyopita kidunia, you are only talking of only 2 days and not even half of one week.
So wale wanaoongea habari za miaka hii 2000 ya kidunia hawaielewi biblia so they wrong people on wrong calls ht km ni watumishi wa Vatican haijalishi!
Lakini pia huo sio msimamo wa kanisa; ni msimamo binafsi.
Ukihesabu vizuri hii ni km jana tu kiimani kwa sisi wakristo!
On 30 Apr 2014 12:23, "Kamala J Lutatinisibwa" <jlkamala@gmail.com> wrote:Kilasara,
I have tried my best to continue believing in Christianity bu in vain,
these are impossible stories, why should Jesus know about judgement
and fail to know the date? why should his father hide him of this date
while revealing everything else to him?
I dont believe and am not in a waiting queue for his coming
On 30/04/2014, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:
> Mchunga kondoo anapokuwa na mashaka hii ni hatari tupu!
>
> Ila ukweli ndio huo, inambidi kila mmoja wetu ajitafakari kwa kina na
> jinsi tulivyokuwa tunazichukulia taasisi zetu za juu za kidini kuwa,
> tulishajiaminisha kwazo kuwa zenyewe ndizo zinazojua "kila kitu"; na tena
> tumeenda hata kufanya makosa ya kifikra kuwa, "ukweli" nao unapatikana
> kwenye taasisi zetu za juu za kidini, huku, tukisahau 'the historical
> evolution of these institutions. It is thus evident that, 'the real truth,
> does not resides nor presides in these institutions; and what we perceive
> as truth, is not but a historical facts of their own evolution, which again
> has been perpetuated and termed 'sacred.' Indeed, this is a misplace truth.
>
> Thus, I am not shocked with the statement from this authority: "We just
> feel Jesus is not coming back by the looks of it." he said. "It's been ages
> like. He's probably flat out doing other really good things for people
> somewhere else."
>
> I am afraid, this statement reflect a myopic understanding of the 'LIVING
> JESUS CHRIST. This statement still refers to the 'Material Jesus Christ',
> which is not the fact being upheld in the Christian Faith! We have padres
> in this forum, this statement is nothing else but fallacious, and it ought
> to be condemned by Philosophers and Theologians alike from all fronts.
>
> For centuries this is what we have been believing that there is yet another
> coming of Jesus, then, the righteous ones, shall be judged to inherit
> eternal life, whereas the sinful ones shall be condemned to eternal
> damnation. This is not only a statement of faith, but also a fact, that
> Jesus will surely come to judge humanity; unfortunately, not even Jesus
> knows when this shall happen except the FATHER, the Maker of Heaven and
> Earth. Which authority can go against this???
>
>
>
> Yes, although such statement comes from the authority we highly respect,
> but, it is too erroneous to simply take it the way it is. It appears to
> have ensues from a personal stand, and in no way should it reflect the
> stand of the institution!
>
> So friends, where is THE TRUTH?
>
>
> On Thu, Apr 24, 2014 at 4:03 PM, Emmanuel Muganda
> <emuganda@gmail.com>wrote:
>
>> Hata Yesu mwenyewe alisema ni Mungu peke yake anayejua lini Yesu
>> atarudi.
>> Sidhani Vatican inaweza kutoa kauli kama hiyo.
>> em
>>
>>
>> On Thu, --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Yesu anajua kila kitu hata sikuyake ya kurudi (John 8:58 "I Am", John 1:1-2 Yeye ni Mungu, John 5:30;6:38 hufanya mapenzi ya Baba tu). Ila husema kile anachoagizwa kusema: "For I did not speak on my own, but the Father who sent me commanded me to say all that I have spoken" (John 12:49). Kwa hiyo Yesu hakusema siku ya kurudi maana hiyo haikuwa mission yake ila tumwamini ili tusipotee na kumwamini Baba yake.
Hivyo tuachane na wafanyao mizaha!
0 comments:
Post a Comment