Mollel;
Tumekusikia,ukiendelea kulalamika sana manake umeguswa sana na hupendi kufanya marekebisho,no one is perfect na unaposhauriwa kama ni kuboresha kunashida gani kuukubali Bwn Mollel?
Suala ni kwamba, taarifa unazoandika namna na maandishi yako hazielewekagi au kwa maana ingine maandishi yako ni ya kihuni na wanaoweza kuelewa haraka ni wahuni wenzako.
Reuben
From: 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, May 26, 2014 3:43 PM
Subject: Fw: [wanabidii] HARUSI YA MH. VICKY KAMATA ILIYOKUWA IFANYIKE LEO KWISHNEI, MUME ATOROKA NA PESA ZA HARUSI
----- Forwarded Message -----![]()
This message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
--Ktk mjadala wowote tafuta concept usianze kutafuta errors, if u are of that way u are myopiad meeen.........typying errors ni kawaida tu hua humu...tukianza kuchambua ulichoandika ww lazima ina kosa......angalia concept mpendwa
Ktk kujenga hoja jenga tabia ya kuishambulia hoja si mtu, avoid sana tabia hiyo na ww reuben ndo zako, this is second time nakuambia mkuu, saana utagombana na watu au utaumia rohoni badala ya kujadili tu hoja frankly na kwa upendo
muache jazba wazeee, mtaugua magonjwa ya kisukari jamani wkt mnahitajika sana na taifa hili, suala la kuanza kusema elimu sijui...hatushindani kwa phd humu, issue ni hoja, mwenye phd anaweza akawa mchemkaji kishenzi na form akawa anatoa hoja nzito
think wisely
barikiwa mwanabidiiiiiiiiOn Monday, May 26, 2014 1:33 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hujaelewa nn mzee? Shambulia mada si watu . Wee hua upo kujudge miandiko name error ......huo no kukosa upeo bosses
Watch out meeeen
------------------------------
On Mon, May 26, 2014 2:39 AM EDT 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii wrote:
>Mollel;
>Wewe kama msoni uwe unaandika mada/taarifa zako zikawa zinaeleweka.
>Mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo,sentensi zinakatika katikati hata maana inakuwa ya kuunga unga na maneno yanapandana hata maana inakuwa shida kuipata,mambo gani hayo braza?Au ndo justification ya kushuka kwa kiwango cha elimu Bongo!!
>
>
>Reuben
>
>
>>________________________________
>> From: 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Sunday, May 25, 2014 10:54 PM
>>Subject: Re: [wanabidii] HARUSI YA MH. VICKY KAMATA ILIYOKUWA IFANYIKE LEO KWISHNEI, MUME ATOROKA NA PESA ZA HARUSI
>>
>>
>>----- Forwarded Message -----
>>
>>
>> This message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
>>
>>duuuh twende mbele turudi nyumA NNA maswali kwa dada vicky
>>Hivi huyu mchumba kampata wapi>
>>Je hajafuata utaratibu wa kujitambulisha kwa ndg na je ndg zake wanasemaje
>>Je imechukua muda gani kujuana na kwanini hajachunguza kupata profile yoote ya maisha kabala hajaamua kumweka moyoni hvi
>>Je maaana hii ni aibu, seems dada viki alikua na hamu ya mwenza, je kwanin i ame4kurupuka hivooooooooo
>>Kama mwakilishi wa vijana wa geita haoni ni aibu sana kwa msomi kama yeye kukurupuka na kutapelewa kiasi hichi ukizingatia ndoa ni tukio kubwa sana ktk maisha?
>>Alie jirani nae atujibu maswali haya
>>Baada ya hapo tutaendelea kuchangia
>>
>>
>>
>>
>>
>>On Sunday, May 25, 2014 12:04 AM, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>
>>Staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata akiwa na mchumba wake Charles Pai.
>>kwamba ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike leo Kempisk Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini amabae amekuwa akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani.
>>
>>Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha Mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mchumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa. Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni.
>>http://www.mtizamohuru.co.tz/aibu-ya-mwaka-harusi-ya-mh-vicky-kamata-iliyokuwa-ifanyike-leo-kwishnei-mume-atoroka-na-pesa-za-harusi/
>>
>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment