Sunday, 11 May 2014

Re: [wanabidii] HAPPY BIRTHDAY RAIS ALI HASSAN MWINYI MZARAMO WA ZANZIBAR

Haya yanatoka wapi leo?wakati mzee wetu kesha na kustaafu?

Sent from Samsung Mobile

Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Kama mzee Mwinyi alizaliwa Tanganyika na familia yake ilihamia Zanzibar...ilikuwaje akawa Raisi wa Zanzibar?

2014-05-09 19:40 GMT+07:00 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:

Alipoingia madarakani kumpokea aliyekuwa Rais wa Awamu ya kwanza, Mwalimu Julius Nyerere mnamo tarehe 5 Novemba mwaka 1985, watanzania wachache sana labda waliweza kudhani kwamba miaka kumi baadaye na zaidi baada ya kustaafu rasmi, ataibuka kuwa mmojawapo wa marais wa Tanzania ambao watabakia kupendwa na kuheshimika kwa namna ya kipekee kabisa.

Mpaka anakabidhi madaraka yake ya urais kwa rais wa awamu ya tatu, Ndugu Benjamin William Mkapa mnamo tarehe 23 Novemba mwaka 1995, jina ambalo wengi tulipenda kulitumia ni "Mzee Rukhsa" ingawa kamwe hatukuwahi kusahau kwamba jina lake kamili ni Ali Hassan Mwinyi, Raisi wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Tarehe kama ya jana, Mei 8 1923, miaka 89 iliyopita, Ali Hassan Mwinyi alizaliwa katika kijiji cha Kivure, wilayani Kisarawe, mkoa wa Pwani, Katika nchi ya 'Tanganyika', akiwa bado mwenye umri mdogo sana familia yake ilihamia Zanzibar.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment