Jee, wananchi nao wanatimiza wajibu wao katika masuala ya usafi kama ipasavyo? nani anazalisha uchafu. Jee, huko vijijini tunalinza mazingira ya vyanzo vya maji na mizitu maji ili tupate maji mwaka mzima au tunalima extensively, tunakata miti na kufunga extensively beyond land carrying capacity? Jee, tunalipia gharama za uzoaji taka na wanaowapa mkandarai contracts za kuzoa taka wanayapa mashirika yenye uwezo na vifaa? Bila ya kulinda vyanzo vya maji maji yatakatikana mijini? bila ya kuchakachua na kung'oa mabomba ya maji kuuza chuma chakavu maji yatapatikana? Kulima milimali kwenye vyanzo vya maji mito itadumu? Umeme utokanao na maji utapatika?
Miradi ya kupima viwaja, ujenzi wa mitaro ya majimvua a mabomba ya maji taka; vyoo bora vya shimo kwa mkopo vyote hivyo vimekweda mrama. sasa ni maghorofa, msongamao, uchafu zaidi, bar kila baada ya yuba tatu a kila yumba iapika je a kuuza moshi kila koa, garage kila baada ya yumba 10. Moshi wa magari, hewa ya madawa ya magari na mbao, vumbi la mchanga majumba watoto kuyapumua a kuingia ktk vyakula viuzwavyo wazi vikiwavimezungukwa pia a mainzi. Tuaoa uchafu huu, tufanyao ni sisi, ukimwambia jirai asiweke garage au karakaa hapo-uatafuta kifo. Mtekelezaji sheria anayeishi ktk makazi ya raia hatoweza kuitekeleza sawasawa ikiwa hakuna utii wa sheria bila shuruti kwai akitekeleza sheria watamfayizia. Hivyo atachukua rushwa a kuacha yaendelee. Juhudi nyigine zote za usafi zinakuwa za zima moto kwani wahusika wa uchafuzi sio watiifu wa sheria na hawajali negative effects za matendo na tabia zao duni ktk usafi. Ila kwa lawama-ndio wana diploma nayo ya hali ya juu (see attachment).
On Friday, 2 May 2014, 19:07, Gaston Kikuwi <kikuwigg@gmail.com> wrote:
(ii) Maji yanapatikana kwa shida. Sasa hivi maji yanapatikana kwa sababu wananchi wanakinga maji ya Mvua. Mvua ikisha tu, basi kasheshe ya Maji inaendelea kama kawa. Je, hili ni wajibu wa nani? Maji ya bomba ni kizungumkuti
(iii) Tunapambana na chanzo cha tatizo au matokeo ya tatizo? Mji wetu umejengwa hobehobela, wakati huo tuna Vyuo vikuu viwili (UDSM na UCLAS), kwa nini hatukutumia fursa wa uwepo kwa vyuo hivyo kusaidia Mji wetu kupimwa?
Kuna haja ya kujipanga na wala si kukurupuka. Kwa taarifa niliyonayo inasemekana kwamba, Segerea na Keko wamechoka na wanashindwa kuwaweka wahalifu wa kufanya biashara katka maeneo yasiyo ruhusiwa kwa kushindwa kwake kulipa faini na kufungwa. Magereza yenyewe hayatoshi, wafungwa wamejazana kwelikweli, leo tena unawapelekea watu ambao si wahalifu kama wengine ambao ni kama vile majambazi na wezi? Kuna haja ya kuliangalia upya hili zoezi kwani wanapambana na MATOEO YA TATIZO NA WALA SI CHANZO CHA TATAZO! Utatuzi wake unakuwa mgumu na hauwezekani
Tunahitaji kufanya maombi
--
Gaston G Kikuwi
SIDO Small Business House
Bibi Titi Mohamed Road
Block B, 3rd Floor Room No:-34
P O Box 15877, Dar es Salaam-Tanzania
Tel:- +255 22 2152 359
Cell:-+255 784 546 122
+255 713 294 318
+255 768 633 685
e-mail:-kikuwigg@gmail.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Miradi ya kupima viwaja, ujenzi wa mitaro ya majimvua a mabomba ya maji taka; vyoo bora vya shimo kwa mkopo vyote hivyo vimekweda mrama. sasa ni maghorofa, msongamao, uchafu zaidi, bar kila baada ya yuba tatu a kila yumba iapika je a kuuza moshi kila koa, garage kila baada ya yumba 10. Moshi wa magari, hewa ya madawa ya magari na mbao, vumbi la mchanga majumba watoto kuyapumua a kuingia ktk vyakula viuzwavyo wazi vikiwavimezungukwa pia a mainzi. Tuaoa uchafu huu, tufanyao ni sisi, ukimwambia jirai asiweke garage au karakaa hapo-uatafuta kifo. Mtekelezaji sheria anayeishi ktk makazi ya raia hatoweza kuitekeleza sawasawa ikiwa hakuna utii wa sheria bila shuruti kwai akitekeleza sheria watamfayizia. Hivyo atachukua rushwa a kuacha yaendelee. Juhudi nyigine zote za usafi zinakuwa za zima moto kwani wahusika wa uchafuzi sio watiifu wa sheria na hawajali negative effects za matendo na tabia zao duni ktk usafi. Ila kwa lawama-ndio wana diploma nayo ya hali ya juu (see attachment).
On Friday, 2 May 2014, 19:07, Gaston Kikuwi <kikuwigg@gmail.com> wrote:
Je, Halmashauri inatimiza wajibu wake kwa wanachini ipasavyo?
(i) Kuzoa taka inafanya hivyo? Iwapo kama wao hawazoi taka kwa wakati, Je, unategemea nini?2014-04-29 19:45 GMT+03:00 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Jamani watanzania wenzangu.
Usafi na utaratibu ktk maisha ni mambo muhimu kwa mwanadamu kama inavyompasa kula. Ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi, usafi ni kitu cha msingi mno. Mbona kwa wenzetu inawezekana na kunavutia? Inampendeza mtu nini kujenga kibada cha biashara barabarani wanamopita watu? Kisingizio cha hali ngumu ya maisha isitufanye tuishi mazingira machafu!
Hivyo naunga mkono operesheni hii.On Tuesday, April 29, 2014 7:24 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE--
HALI YA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA APRILI 2014 MANISPAA YA TEMEKE
Utangulizi
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ina ukubwa wa kilometa za mraba 656. Ina jumla ya watu 1,368,881 kwa taarifa ya sensa ya mwaka 2012.
Manispaa ina Tarafa 3 za Mbagala, Chang'ombe na Kigamboni. Pia ina kata 30 na mitaa 180.
Kuna jumla ya Maafisa Afya 75 ambao wanafanya kazi kwenye vitengo mbalimbali na wengine wapo ngazi ya kata.
1.HALI YA USAFI WA TEMEKE
Operesheni za usafi wa mazingira
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke inaendelea kufanya operesheni za usafi wa mazingira ili kuondoa kero za uchafuzi wa mazingira kwa makusudi. Opresheni hizi zimeanza kutekelezwa tangu tarehe 20-03-2014 na zimelenga katika mambo makuu kama ifuatavyo;-
I. Kuondoa wafanya biashara ambao wanafanyia biashara zao katika maeneo yasiyo rasmi mfano
- Kandokando ya bararaba za waendao kwa miguu,
- Juu ya mifereji ya maji ya mvua
- Katikati ya barabara zinazotumiwa kwa usafiri wa magari
Upikaji.
- Katika maeneo ya wazi ya kupumzikia wananchi
II. Kuondoa watu wanaopika au kuandaa chakula katika mazingira machafu na yanayohatarisha afya za walaji
III. Kuondoa vibanda vyote vilivyojengwa katika maeneo ya pembeni mwa barabara na au katikati ya barabara bila vibali vya ujenzi
IV. Kukamata wachafuzi wa mazingira ikiwemo mifereji ya wazi, barabara kwa makusudi na kusababisha chukizo (Nuisance) kwa jamii yetu
V. Kuondoa meza zote zinzotumiwa na wafanyabiashara kandokando ya barabara hasa nyakati za usiku
VI. Kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheri ikiwemo kuwatoza faini za papo kwa papo na aidha kuwapeleka mahakamani.
VII. Kuondoa ombaomba wanaozagaa katika barabara na kusumbua wananchi nyakati mbalimbali
VIII. Kupanda miti maeneo ya bustani na maeneo ya wazi
IX. Kuhamasisha jamii kwa njia ya matangazo juu ya Afya na usafi wa mazingira,
X. Kutoa matangazo ya operesheni kwa njia ya vipaza sauti,redio na television.
Matokeo ya operesheni zinazoendelea kufanyika
Kwa kuwa halmashauri imejipanga kusimamia usafi endelevu tayari hatua zilizochukuliwa ni kama ifuatavyo;-
1. Jumla ya meza zilizovujwa 2193
2. Idadi ya mabanda yaliyovunjwa 415
3. Jumla ya watuhumiwa 172 walikamatwa na watu 92 walipewa onyo kali, ambapo waliotozwa faini za papo kwa papo ni 80 jumla ya TSHS 4,120,000/=
4. Watu 45 wamepelekwa mahakamani na kesi zao zinaendelea
5. Jumla ya ombaomba 74 walikamatwa na kurudishwa makwa
Jambo hili limeleta hamasa kwa wananchi kujua kuwa jukumu la usafi wa mazingira ni la kila mtu.
Pia barabara zetu kwa maeneo ambayo yalisongwa sana mfano pale charambe na mianzini sasa yanapitika
Nyumba na majengo ya biashara
Usafi wa nyumba za kuishi na majengo ya biashara tathmini yake inapatikana baada ya Maafisa Afya wa Kata kuendesha zoezi la ukaguzi wa nyumba hadi nyumba kwa kushirikiana na wajumbe wa kamati za Afya za mitaa husika ambao wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika jukumu hili.
Dhumuni la ukaguzi ni kuangalia
• Usafi wa Mazingira kwa ujumla;
• Uzalishaji, ukusanyaji na utupaji wa taka ngumu na taka miminika;
• Hali ya vyoo ikijumuisha uwepo wa maji ya kunawia mikono, mfuniko; utumiaji sahihi wa vyoo na kukamilika kwa ujenzi wa vyoo;
Mwezi January hadi aprili 2014, jumla ya nyumba 3614 na majengo ya biashara 225 yamekaguliwa. Kwa kuzingatia sheria, Kanuni na taratibu.
Kwa kawaida wahusika wote wanaokiuka sheria, kanuni na taratibu za Afya na Usafi wa mazingira wanachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na
Kuwapa ilani za kisheria za marekebisho ya dosari zilizogundulika;
Kuwatoza faini za papo kwa papo
Kuwafungia na
Au kuwapeleka Mahakamani
MAMBO YANAYOCHANGIA UCHAFUZI WA MAZINGIRA
Ujenzi holela wa makazi na vyoo
Ukosefu wa miundombinu kwenye makazi yasiyo rasmi
Uhaba wa mabwawa ya maji machafu (Public sewer system),
Utupaji wa taka ovyo
Ufunguliaji wa maji taka nyakati za mvua kwenye mifereji ya wazi
Kuunganisha mfumo wa maji taka toka viwandani kwenye mifereji ya maji ya mvua
Ukosefu wa vyombo vya kuhifadhia taka ngumu katika maeneo maalumu.
MBINU ZINAZOTUMIKA KATIKA KUIMARISHA USAFI WA MAZINGIRA
Kufanya mashindano ya usafi kuanzia ngazi ya Mtaa na Kata na mshindi kupatiwa zawadi stahili.
Kufanya mikutano ya pamoja ya wadau na kuwataka kuwasilisha taarifa zao za utendaji na kuzijadili.
Kuweka mikakati ya pamoja ya utekelezaji wa shughuli za utunzaji wa usafi wa mazingira kwa kutumia mbinu shirikishi ya CLTS (Community Led Total Sanitation).
Kufungua milango kwa wadau wenye uwezo na nia ya kuchangia shughuli za Afya na usafi wa mazingira.
William J. Muhemu
AFISA AFYA WA MANISPAA YA TEMEKE
KNY; MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Gaston G Kikuwi
SIDO Small Business House
Bibi Titi Mohamed Road
Block B, 3rd Floor Room No:-34
P O Box 15877, Dar es Salaam-Tanzania
Tel:- +255 22 2152 359
Cell:-+255 784 546 122
+255 713 294 318
+255 768 633 685
e-mail:-kikuwigg@gmail.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment