muda mwingine hata hao TCRA siwaamini asilimia 100% this is Tanzania. Ila Upuuzi huu ukiendekezwa jukwaa hili litabadilika hadhi, na hapo itabidi iwepo segment ya umbeya na viroja ili Akina Abdala waingie huko kupeleka upuuzi wao, wenye mapenzi na jumbe hizo wawafuate kwenye segment huko huko. Abdalah hata kama una ujumbe unataka kuuleta SIDHANI STYLE ULIYOTUMIA NI YA KISTAARABU. Kwani Kibanda ni Nani mpaka issue yake ionekane Worth material to be brought here? TUTAKE RADHI TAFADHALI, NA Moderator please vitu kama hivi visiletwe kwa style hii.
2014-05-07 12:38 GMT+02:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
On Monday, May 5, 2014 4:45 PM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
Huyu Rose wa Happy ni mchepuko wa AK?Mimi napita tuu, maana hata Mbowe alikomaliwa sana kwenye mchepuko wake.Magiri.Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.--On May 5, 2014 4:28 PM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:Ukiona jambo limeingizwa Jukwaani tu , hapo ujue kuna suala ambalo sio la kawaida , hii inaonyesha imechotwa au kuibwa kutoka kwenye simu au ilisahaulika sehemu ikachapishwa .--Lazima jambo , angalia sentensi hii5/4/14 22:01 : absalom kibanda: Darling nililala nadhani mama. I'm so sorry mpenzi wangu I call u myself now5/4/14 22:02 : Happy wa Rose: Usijar. How are u lakn?Tuwaache watu na uhuru wao , kama mtu anaona ameingiliwa uhuru wake na sheria zimevunjwa kuna vyombo vya sheria , lakini humu kwenye online forums tuache uhuru wa watu kuchapisha na kuchangia chochote .
On Monday, May 5, 2014 6:18:31 AM UTC-7, pastor wrote:Kwa hiyo Yona unataka kusema kuonyesha madhaifu ya mtu ni kujenga? Nani hana madhaifu? Tunatakiwa kuonyana na kubebeana madhaifu si kuanikana.On May 5, 2014 3:46 PM, "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--Abdalla;Your wisdom here is to apologize.Reuben
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, May 5, 2014 2:15 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHUMBANI KWA ABSALOM KIBANDA
----- Forwarded Message -----
![]()
This message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
--
Si vizuri kuweka ktk mitandao hii ya jamii masuala binafsi. Mwenyewe akishitaki utamlipa mamilioni. Kama magazeti yafanyavyo halafu wanataka uhuru wa habari. Lakini kutangaza masuala yasiyofaa kama ushirikina wao wanaona poa mradi tu gazeti linaingiza hela kwa matangazo hayo ya mganga toka Nigeria, Sumbawanga anayekupa hirizi ya hela za majini ya chuma ulete. Pia mengine kumtangaza mganga wa Diamond kila kukicha. Kama ni mganga kweli huyo wa Diamond asemaye kamvusha akafanikiwa-mbona hawavushi wengine na yeye kutwa kuandika magazetini kuwa atamkomoa na kumshusha, mara wamesuluhishwa na katoa nduguri ile kwa aliyefanikisha suluhisho-njaa tupu!! Mara Diamond na Wema, Wema ana mimba; mara mbona Diamond hajazaa na mtu kama rijali kweli-hawaoni kingine ni mambo binafsi. Magazeti yanatangaza utajiri wa majini chuma ulete; mganga wa kukuza na kurefusha nonihii na vidude vingine hatari vya chini ya mapaja ya watu-kisha tunadai Uhuru wa Habari-wa kuandika uchafu, uovu na mambo binafsi? hatuna kazi ya kufanya? Basi tutunge vitabu vya kusoma watoto wa vidudu na tufufue elimu ya watu wazima na ya wafanyakazi iliyokuwa ikifanyika kila jumatano na jumamosi na walimu wa kujitolea.
Unakaa unanakiri issue ya mobile phone ya mtu-why au ni uzushi tu? Uliyapataje-utashitakiwa ufirisiwe. Tuache haya. Ni kwa vile tu watanzania wengi hatujui haki zetu ndio maana mtu anaonewa na issue private zikawa magazetini na asichukue sheria.
Watu wa vyombo vya habari pia kutwa kugeuza maelezo ya viongozi ktk hotuba zao na kuchonganisha wananchi. Ifike wakati serikali iyaangalie haya tusonge mbele ktk kuandika mambo ya maana ya maendeleo na sio kupoteza muda kujibu habari za uzushi na utata. Wangejikita ktk kuandika jinsi mji unavyoharibiwa kwa tabia za uchafu, kubananisha majumba, kuonyesha maeneo ya matumizi yasiyo ruhusiwa, kuingia kila kona kuonyesha uharibifu; kuingia machimboni na misituni kuonyesha uharibifu wa mazingira, mito; DSM mito inavyochimbwa mchanga na maghorofa kujengwa mitoni na kubomoka-watu wangeona aibu na kujirekebisha.
Tuwaachie haya masuala binafsi operesheni fichua maovu kama yanauhakika.
ShukranOn Monday, 5 May 2014, 12:13, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ni ujinga wa kupindukia, dume zima linaacha kujadili mambo ya maendeleo linakalia udaku. Imenikera sana na sijawahi kujibu hivi lakini upumbavu kama huu UKOME. Sisi wana jukwaa ni watu wazima tunaojiheshimu, huwezi kutuwekea utumbo wa inzi kama huu, Nyambafuuu
On Monday, May 5, 2014 12:03 PM, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Abdalaah, unataka ujinga huu ulioandika auoseme nani? Ili iweje? akili za makalio hizi
On Monday, May 5, 2014 11:49 AM, 'Eberi Manya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mambo tu ya kipuuzi hayo. This is more personal issue. Sisi hapa jamvini tunahitaji mambo yanayohusu jamii kwa ujumla. Shame on you. Nchi hii ina mambo mengi ya kuzungumza zaidi ya personal issues.
'august kowero' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Kwa wote,
>
>Tujitaidi kuwa na hekima na utu tusiruhusu hayo wala kushabikia
>
>Eng A. B. Kowero
>
>
>On Monday, 5 May 2014, 11:18, 'Ansbert Ngurumo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Abdallah,
>Tafadhali kuwa na staha. Mambo gani mnatuwekea hapa? Tafadhali modereta dhibiti mambo yanayoingilia private life katika forum hii.
>
>
>Ansbert Ngurumo
>Existential Philosopher, Musician, Journalist & Media Manager
>Vox Media Centre & Free Media
>Tanzania
>
>On 5 Mei 2014, at 10:55 asubuhi, "'ekunyaranyara' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>Hamis
>
>Hizi private issues kwa nini zije hapa? Je hamjui kwamba mnavunja sheria za nchi jamani zinzolinda privace za watu?
>
>No hii tabia siyo nzuri iaachwe mara moja haifai!!!!
>
>
>Sent from Samsung Mobile
>
>-------- Original message --------
>From: Abdalah Hamis
>Date:05/05/2014 13:02 (GMT+05:30)
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: [wanabidii] CHUMBANI KWA ABSALOM KIBANDA
>
>
>5/4/14 22:00 : absalom kibanda: My love ile whatsapp nyingine imekata I don't know why
>5/4/14 22:01 : Happy wa Rose: Mmmmh okey na nimekupigia hujapokea pia
>5/4/14 22:01 : absalom kibanda: Darling nililala nadhani mama. I'm so sorry mpenzi wangu I call u myself now
>5/4/14 22:02 : Happy wa Rose: Usijar. How are u lakn?
>5/4/14 22:17 : Happy wa Rose: Darlin mbona kimya tena
>5/4/14 22:18 : absalom kibanda: Nakupigia darling nilipigiwa simu
>5/4/14 22:20 : Happy wa Rose: Okey mpenz
>5/5/14 8:45 : Happy wa Rose: Morning darling
>5/5/14 9:23 : absalom kibanda: Morning sweetie
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment