Wednesday, 21 May 2014

Re: [wanabidii] BUNGE LA BAJETI LINA MVUTO?

Jacob Ruvilo
Naomba nipingane na wewe kwamba wapo wabunge ambao moja kwa moja wanasikika na kuonekana kwamba malengo yao ni kusaka tonge lao wenyewe tu. Huwa tunawasikia bungeni na hata kwenye mikutano yao na wananchi. Tukiwa wazembe wa kuchunguza basi tuandike maumivu milele. Kwamba wabunge na mawaziri tangu sasa watatokana na ukoo fulani au wazazi wao kutangulia kuwa viongozi (ascribe status).

Labda naweza kukuelewa kitu kimoja  kwamba hawa watu wabovu ni wataalamu wa kutumia rushwa na aina zote za wizi wakati wa uchaguzi hivyo ni vyema tukatengeneza taratibu za kuwabaini na kuwakataa (how to intervene?), Tanzania inawezekana bila kulazimishwa kuwa na viongozi wazembe, wasiokuwa na uwezo kiuongozi na pia wasiokuwa chaguo la watanzania kwa kila mmoja wetu kuwajibika ipasavyo na kukataa rushwa pamoja na ufisadi

2014-05-21 11:57 GMT+03:00 Jacob Ruvilo <ruvilo2010@gmail.com>:

tutawahukumu je sisi wakati kila unayemchagua ndio hivo na ukichagua usichague lazima mbumge apatikane du! ilishakula kwetu.

On May 21, 2014 11:50 AM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:
Ni wasaka tonge hao wala hawagombei kututetea sisi walalahoi. Ni juu yetu kuwasoma na kuwahukumu kupitia visanduku vya kura

2014-05-21 10:58 GMT+03:00 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ndg zangu wanabidii
Nijuavyo mimi Kikao cha Bunge la Bajet ni muhimu kuliko kikao kingine chochote. Sababu ya msingi ni kwamba kikao hicho hutoa dira halisi ya kiuchumi na maendeleo ya Jamii. Lakini nimepata wasi wasi na kikao cha sasa kukosa mvuto na hata umuhimu. Mambo nyeti kama utalii, Elimu nk naona kama yanapita kienyeji bila msisitizo unaotakiwa.

Licha ya hayo, baadhi ya mawaziri na manaibu wao na wabunge wanajalli mambo ya siasa na vyama vyao zaidi kuliko kikao hicho cha Bunge. Mfano sidhani kama wabunge wa Tabora walikuwa bungeni Juma lililopita. Waliambatana zaidi na katibu mkuu wa chama Chao. Sasa amehamia mkoa mwingine. Nadhani atawasomba wote bungeni pia. Chadema nao hawako nyuma. Si tunawaona kwenye Runinga?

Katika hali hii nimepata wasiwasi mkubwa kama wanasiasa wa Tanzania ni kweli wana uchungu na nchi yao na wana nia thabiti ya kuleta maendeleao na maisha bora kwa watanzania. Wanajitahidi  kuingia madarakani kwa faida yao tu. Nakosa imani....
kessy

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment