Monday, 3 July 2017

[wanabidii] Maboresho ya huduma zinazotolewa na Kampuni ya CPM Business Consultants.


Kampuni ya CPM Business Consultants ni Kampuni  anayojishughulisha na kutoa ushauri wa biahshara kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa. Pia inatoa ushauri kwa wa uendeshaji wa Mashirika yasiyo ya kiserikali NGO, SACCOS, VICOBA  vikundi vya uzalishaji mali,Makampuni, Mashirika ya umma na Taasisi za serikali.  Makao makuu ya Ofisi yetu yako Kimara Baruti karibu na Bahama mama petrol station, Dar es salaam. Kampuni yetu imeamua kuboresha hduma zake kama ifuatavyo

 
HUDUMA  ZETU;
1.Kutoa ushauri wa biashara kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa.
2.Kuandaa michanganuuo kwa ajili ya kuomba mikopo benki na misaada kutoka kwa wafadhili.
3.Kutoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wafanyabiashara.

4. Kutoa mafunzo ya jinsi ya kujiandaa kustaafu.

5. Kutoa mafunzo ya biashara ya ufugaji wa kuku

6. Kutoa ushauri na mafunzo ya kutunga vitabu
7. Kutoa ushauri wa uanzishaji na uendeshaji wa SACCOS.

 8.Kuandaa katiba za vyama na nyaraka za uandikishaji wa makampuni.
9.Kuwezesha usajili wa kampuni.
10. Kuwezesha usajili wa majina ya biashara
11.Kutoa ushauri wa uanzishaji na uendeshaji wa Asasi zisizo za kiserikali NGO.
12. Kuwezesha usajili wa taasisi za dini (Religious organizations.)
13. Kutoa ushauri wa uanzishaji na uendeshaji wa VICOBA.

14. Ushauri wa uanzishaji na uendeshaji wa vikundi vya uzalishaji mali.

15. Ushauri kwa wakopaji na namna ya kupata mikopo.

16. Ushauri wa namna ya kupata mitaji.

17 Ushauri kwa wawekezaji hata kama una mtaji kidogo.

18.Kutoa huduma zingine zozote za ushauri kwa mteja kulingana na mahitaji ya mteja. (Customer tailor  made programs)

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0755394701

CHARLES P.M.NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI

CPM BUSINESS CONSULTANTS.

 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment