Saturday 31 October 2015

Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE

Huenda wakatamani kukamatwa kuliko psychological tention watakayoipata. nakumbuka sana miaka ya 1980 wakati wahujumu uchumi walibanwa mpaka wakatupa bidhaa barbarani. Siwezi kujua kitu gani kitawatokea mafisad ila najua hawawezi kuishi kwa raha kipindi kijacho. Yapo mepesi na yapo magumu kuyafanya. lakini kuna kitakachofanyika na kitawasaidia kuishi vizuri. wapo waliokuwa hawalipo kodi. Nasikia wamepima hali na kuamua kufunga biashara. Kuna mabadiliko yanakuja. Tuwe na subira. Nitaweka humu nilichokisema(nilichoandika) wakati Kikwete anaingia madarakani. bado kidogo tutaanza kuandika ili anapoanza kazi ya kuunda serikali ajue tunataka nini. Tutakuwa tunamsaidia kuyajadili kwa kina.
--------------------------------------------
On Sat, 10/31/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, October 31, 2015, 10:35 AM

Elisa
Pamoja na ubabe wake hataweza kuwadhibiti
Mafisadi maana kama kweli mlikuwa na nia ya kuwakata kama
mlivyofanya kwa Lowassa ilikuwaje mkawaacha kugombea
majimboni? Hatimae naona wengi tu wamerudi mjengoni

Fatma
Sent
from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

-----Original
Message-----
From: "'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Oct 2015 23:22:55
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MAMBO MATATU
NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI CHETI

CHA/KWA RAIS MTEULE

Mafisad
wako wengi ambao jumla ya mali walizoiba ni nyigi.
akizikusanya hizo na akashindwa kukusanya za mkapa na
Kikwete hatuwezi kumdharau na tutajua hata baadhi yetu
tulihisi hivyo.
Lakini haja yetu ni namna
gani atauzuia ufisadi na kuweka misingi ya kuuzuia hata
awamu zijazo. Akifanikiwa kufanya hivyo bila kuwakamata
waliotangulia bado inatosha.
--------------------------------------------
On Sat, 10/31/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] MAMBO MATATU NILIYOYAONA UKUMBI WA KUKABIDHI
CHETI CHA/KWA RAIS MTEULE
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, October 31, 2015, 12:18 AM

Easier
said
than done. Sidhani Magufuli anao ubavu wa kufuatilia
ufisadi wa Mkapa na Kikwete na familia
yake.em
2015-10-30 9:28
GMT-04:00
Faiza Hassan <wasitara@gmail.com>:
Kudos Muhingo kwa uchambuzi wako. Kazi ianze
ya
kuwachukulia hatua ya kisheria mafisadi.
Magufuli aliahidi
hata kuanzishha mahakama
ya mafisadi.Is it easier say than
done?
On Oct 30, 2015 12:24
PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


 Naandika haya ukiwa ni mda mfupi baada ya
sherehe ndogo ya
kumkabidhi Ndugu Magufuli
cheti cha kumtambulisha kuwa ndiye

aliyeteuliwa na watanzania kuwa Rais wa Tanzania.

Nimeona mambo matatu ambayo
kama sikukosea yanaitambulisha
tanzania na
demkrasia yetu na changomoto tulizo nazo.


1) UPEO WA DEMOKRASIA TULIYO NAYO: Nimeona
viongozi wa
upinzani wakijumuika pamoja.
Nimeona mgombea akikabidhiwa
cheti mbele ya
hadhara na viongozi wa vyama mbalimbali

wakishangilia na kusemezana. ni kama nimeona pia watu
wengine wakishangaa. Nilioona wakishangaa ni
marais wastaafu
wa Naigeria na Msumbiji.
Nimeona na mabalozi wakishangaa.
Hili si
jambo dogo. Dr. Magufuli kama hakuliona akilissoma
humu alikumbuke. Shughuli zinazoweza
kuwakusanya viongozi
wetu wa vyama
mbalimbali zikionekana watanzania tutaujali

ummoja. namuamini kwa ishara moja. Alipoambiwa aondoke
ukumbini alichelewa kama dakika chache
akiongea na waliokuwa
wagombea wenzake. Hii
iendelee.



2) Nimeona watu waliokuwa
wamevalia sare za chama cha
mapinduzi. Mimi
ni mwanachama wa CCM nisiyependa kuvaa sare

hizi. Sare hizi ninafikiri ndani ya fikra zao huenda ni
njema kwa sababu wagombea walioshinda ni wa
CCM. Sijui kama
wanajua kuwa waliomchagua
walio wengi si wana CCM. kwa hiyo

wangeujali utanzania na kuziacha sare hizo nyumbani mpaka
siku ya chama.



3)Nimeona
mfungwa. Mfungwa huyo alianza kutumikia kifungo
toka jana nadhani. Aliposimama kuwasalimia
watanzania
wenzake askari wasio na sare
wakamzunguka. Nikaon asivyo na
uhuru kwenda
anakotaka. Atabaki kifungoni kwa myakla mitano
na asipoangalia anaweza kuongezewa adhabu.
Kifungo chake
hakina punguzo kama vilivyo
vya wafungwa wengine. Wao li;a
siku
hupunguziwa masaa kadhaa. nakumbuka mfungwa wa kwanza
hapa Tanzania alipoachiwa alisema amekuwa
huru.

Kitendawili: tega:
Mfungwa huyo ni nani?


Muhingo

 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email
kwenda




 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility

 for any
legal consequences of his or her postings, and
hence


 statements and facts must be presented responsibly.
Your


 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message
because you are subscribed to
the

 Google Groups
"Wanabidii" group.



 To
unsubscribe from this group and stop receiving
emails


 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---

You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment