Saturday 31 October 2015

Re: [wanabidii] Kuna Vichwa Vya Kubingirishwa Zanzibar..!

Sahihi kabisa majid. Huyu jamaa bila kujali tamko lake nani alikuwa nyuma yake alitamka kwa kujikinai. Ilikuwa na uwezo wa kuwashirikisha wenzake angalau wakatofautiana. Kukurupuka huku kunaliweka taifa pembamba. Inatosha kabisa Shein akamteua mwingine akaja akamalizia kutangaza matokeo tukasonga mbele.
--------------------------------------------
On Sat, 10/31/15, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Kuna Vichwa Vya Kubingirishwa Zanzibar..!
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Saturday, October 31, 2015, 1:56 PM


Ndugu
zangu,Nimesoma
leo, kuwa CUF wanasema hawaturudi tena kwenye uchaguzi
mwingine. Lakini, kwa tunaofuatilia siasa za Zanzibar, si
majibu ya ajabu.CUF wamekasirishwa, na CCM nao
wameonyesha au wataonyesha kukasirishwa na hali hii ya sasa
ya ' Political impasse'.Hakuna namna nyingine ya kufanya bali pande husika
kukaa kwa hiyari au kushawishiwa/kulazimishwa kukaa kwenye
meza ya mazungumzo kutafuta namna ya kusonga mbele.Katika hali hizo, huwa kuna hitaji
la kuona kichwa au vichwa vikibiringishwa kwenye vumbi.
Kulazimishwa kuachia ngazi. Nakiona kichwa cha Jecha Salim
Jecha kikiwa kwenye hatihati ya kuingia kwenye hatma
hiyo.Na tusubiri
kuona...Maggid.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment