Wednesday, 29 May 2013

[wanabidii] Fwd: [Mabadiliko] BREAKING NEWS: M TO THE P ALIYEKUWA NA NGWEA NAYE AFARIKI DUNIA LEO


Maskini wasanii, kulla nafsi dhalika tul-maut mungu azilaze roho zao mahali pema peponi Amen
Suleiman Swalehe
---------- Forwarded message ----------
From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Date: 2013/5/29
Subject: [Mabadiliko] BREAKING NEWS: M TO THE P ALIYEKUWA NA NGWEA NAYE AFARIKI DUNIA LEO
To: Spam Moderators <mabadilikotanzania@googlegroups.com>


BREAKING NEWS: M TO THE P ALIYEKUWA NA NGWEA NAYE AFARIKI DUNIA LEO

Pichani ni marehemu Albert Mangwair akiwa na M2 the P.  

Taarifa zilizothibitishwa kutoka nchini Afrika Kusini ni kwamba yule msanii aliyepelekwa hospitali pamoja na Mwana Hip Hop, Albert Mangwair aitwaye M to the P naye amefariki dunia leo.


 M2 the P alipelekwa katika hospitali ya St Hellen iliyopo jijini nchini humo kwa matibabu baada ya kukutwa amepoteza fahamu akiwa na Mangwair aliyefariki dunia jana. 

Miili ya marehemu hao bado ipo katika hospitali ya St. Hellen na mipango ya kuhamisha miili hiyo bado inaendelea hivi sasa.
 
Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa yawezekana Mangwair na M2 the P walikula chakula chenye sumu ambacho kimepelekea mauti hayo.

 Baadhi ya Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wamejikusanya kwa ajili ya kuandaa mipango ya kuhifadhi miili hiyo pamoja na safari ya kuileta nchini Tanzania.
Nicomedes M. Kajungu
General Secretary
National Union of  Mines and Energy Workers  of Tanzania.
(NUMET)
P.O.Box 7733, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
        +255 767 48 32 71,
        +255 719 451 850

Email: numet4ever@gmail.com
nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment