Mheshimiwa Kigwa,
Ahsante kwa kuisoma taarifa hii kwa mara ya pili na ninakubali kwamba unajitahidi kiasi cha uwezo wako kuwahudumia wana Nzega wenzako. Lakini pamoja na jitihada zako unazozifanya za kuwahudumia wanaNzega wapo watu wachache wanakuhujumu usifanikiwe vizuri kwenye hili la maji safi na salama.Napenda nikutonye juu ya taarifa nilizozipata kuhusu ufisadi na hujuma zinazofanywa na watu hawa wa idara ya maji. Kwa kutumia mtandao wako na vyanzo vyako vya habari naomba ulifuatilie hili utagundua ukweli. Watu hawa wachache wasio na huruma wameweka tamaa mbele wanauza maji kwa kampuni ya wachina watengeneza barabara kabla hayajawafikia wananchi badala ya wao wachina kwenda kuchukua maji hayo kutoka bwawani .. Maji yanapotoka bwawani yanapita kwenye chemba kadhaa kabla ya kupita kwenye mtambo wa kuyasafisha na kuyachuja ndipo yaende kwa wananchi.Wachina wananunua maji ndani ya chemba na wananchi wanasubiri maji mitaani hata kwa zaidi ya wiki nzima bila mafanikio. Rais alitoa millioni 83,DED akawajibishwa bado kuna wengine wasio waaminifu wanakuhujumu. Wafuatilie nao pia wawajibishwe wasikuharibie kazi yako kama mbunge wa Nzega. Naomba kuwasilisha
Suleiman Swalehe.
2013/5/31 Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>
Poleni wanaNzega wenzangu.Ndg. Sele,Nilipata taarifa hizi kutoka kwako, hapa hapa jamvini takriban mwezi sasa unakaribia, na nilichukua hatua za kutafuta ufumbuzi. Nipe muda niwatafute tena kesho maana nipo nje ya nchi kidogo. Nikielezwa tatizo nitakujibu.
Ni kweli baada ya Mhe. Rais kupita maji yalitakata na yalikuwa salama kweli. Na Mhe. Rais alijitolea milioni 83 ili kukarabati mtambo wa kusafishia maji pale Uchama, na wazungu wa Resolute wakaleta wataalam kutoka Israel kuja kuwafundisha mafundi wetu namna ya kutatua matatizo madogo madogo ya mitambo hiyo. DED aliwajibishwa kutokana na maombi yangu kwa niaba yenu wananzega, sasa mimi nilimaliza kazi yangu ya kusema, tena bila uoga wala aibu. Leo tena mmelalamika, nipeni muda nifuatilie.
Wakatabahu,HK.--
2013/5/31 salum mkango <salumkango@yahoo.com>
Duh kweli ndugu yangu Swaleh badala ya Nzega nimeandika GEITA. Lakini nilikuwa namaanisha Nzega japo matatizo ya maji hata Geita yapo licha ya kuwa na mgodi mkubwa wa dhahabu pale.From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, May 31, 2013 2:21 PM
Subject: Re: [wanabidii] Maji safi na salama ni tatizo Nzega. Kigwagalla upo?
Salum tunaongelea kuhusu Nzega sio Geita, wakati rais alipofanya ziara hapa Nzega mambo yalikuwa mazuri sana na hata baada ya kuondoka tulipata maji kwa wingi tena safi meupe na salama. Lakini baada ya siku chache kupita shida imerudi pale pale. Sijui inakuwaje? na ni kawaida ya viongozi wetu wanaomsaidia rais anapofanya ziara sehemu zao mambo yanakuwa mazuri. Barabara zinachongwa,umeme haukatiki,maji kwa wingi,ulinzi imara polisi wengi lakini akiondoka tu mambo yanarudia pale pale sijui hili mheshimiwa JK halijui? Mheshimiwa Kigwangalla tufumbulie kitendawili kuna tatizo gani kuhusu kukosekana kwa maji jimboni kwako?--
Suleiman Swalehe2013/5/31 salum mkango <salumkango@yahoo.com>--Ndugu yangu Denis huu msemo umetuchelewesha sana. Mambo mazuri siku zote yanataka haraka kuyaendea. Ningemshauri ndugu yangu Ustadhi Hamis Kigwangala apunguze nguvu katika mradi wake wa chuo cha uuguzi na azielekeze nguvu hizo katika suala la maji kwa wananchi wake. Ni mzuri katika kushawishi. Atumie ushawishi wake huo katika kutafuta wafadhili watakaosaidia kutoa utatuzi wa kudumu wa tatizo la maji GEITA.From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, May 31, 2013 11:47 AM
Subject: Re: [wanabidii] Maji safi na salama ni tatizo Nzega. Kigwagalla upo?
Mwenyekiti,Vuta subira, mambo mazuri hayahitaji haraka!!!! hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa--
2013/5/31 Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
--Waungwana nashindwa kuelewa kwa kipindi hiki ambapo mabwawa yote mawili Uchama na Kilimi yanayotumia kwa kupata maji safi na salama hapa mjini Nzega yamejaa yako full masinonda kutokana na mvua kubwa zilizonyesha msimu huu. Cha ajabu maji hayajatoka kwenye mabomba kwa muda wa wiki nzima hadi tunanunua maji ya visima kutoka Kashishi na Ifikeliambayo hayana uhakika kwa usafi na usalama wake . Hakuna taarifa yoyote tunayopewa na idara ya maji hapa Nzega kuhusu kadhia hii jamani kulikoni? Hamisi Kigwangalla upo? Wananchi wako tuna shida ya maji na mbunge wetu upo? Nilisikia juzi profesa maji marefu mbunge mwenzako wa Korogwe amechangia milioni 30 kutoka kwenye mfuko wake binafsi kwa maendeleo ya wananchi wake vipi kuhusu shida hii ya maji penye udhia penyeza rupia matatizo ya kokosa maji yaishe. Maana kwa kusema kweli shida sio maji mabwawa yote yamejaa sana labda tatizo ni pampu au matatizo ya kiutendaji au ufisadi unaitafuna idara ya maji. Kama kuna mhusika hapa jukwaani basi angalau atueleze ni nini shida? Na shida hiyo itaisha lini?Sueliman Swalehe
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Wasalaam,Denis Matanda,Mine Planning Supt,Tanzania." Low aim, not failure, is a crime"
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
+255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment