Saturday, 1 December 2012

[wanabidii] KIFUA KIKUU CHA NG’OMBE (BOVINE TUBERCLOSIS)-TB

Ugonjwa wa kifua kikuu cha ng'ombe ni ugonjwa hatari sana wenye madhara makubwa kiafya kwa ng'ombe, mwanadamu na hata katika biashara ya kimataifa. Ni ugonjwa unaosababishwa vimelea vya bakteria wanaojulikana kwa jina la kitaalamu kama Mycobacterium bovis.  Kimsingi ni ugonjwa wa mfumo wa upuuaji unaochukua muda mrefu (kuanzia wiki chache hadi maisha yote) kujijenga ndani ya mwili tangu maambukizi hadi kuanza kujitokeza dalili za ugonjwa na kuanza kuambukiza wanyama wengine. TB yaweza kuwapata wanyama wengi lakini mara nyingi ni ng'ombe na nyati. Mwanadamu hupata ugonjwa wa kifua kikuu kutoka kwa ng'ombe au mazao yake, lakini pia mwanadamu anauwezo wa kumuambukiza ng'ombe. Maambukizi yameonekana pia kwa kondoo, mbuzi, farasi, nguruwe, paa, mbwa na paka. Kwa maelezo zaidi (dalili, utambuzi, tiba na uzuiaji) juu ya ugonjwa huu soma hapa http://achengula.blogspot.com/


--




To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment