Kivamwo,
Huo ni udhaifu wa EPL. But lazima ujue wajibu wa maeneo mawili. Yanga, Simba, Mtibwa, Coastal na nyinginezo wana wajibu wa kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mechi zake bila kujali kwamba anayecheza ni nani.
Pia kanuni za usajili hapa zinapewa nafasi. Sasa kwa maana ya majukumu ya Klabu, itasajili popote hata kama ni kutoka nje ya nchi ili kutimiza wajibu huo. Kama aina ya mchezaji tunayemtaka hayupo Tz, basi tutamtafuta kokote.
Suala la timu ya Taifa ni la TFF ambayo inapswa kuweka mfumo wa soka katika nchi wenye uwezo wa kuzalisha wachezaji chipukizi kwa ajili ya vilabu vya ndani na nje. Hao ndo watakuja itwa kwenye timu ya Taifa.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
-----Original Message-----
From: A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 1 Dec 2012 19:57:18
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Timu za Tanzania zatinga robo fainali CECAFA
Meena, hakuna ligi tamu na yenye msisimko kama ile ya Uingereza kwa kuwa klabu zake zinakitahidi kusajili wachezaji mahili kutoka kila pande ya dunia. HILO naliafiki na kukuunga mkono kuwa foreigners wanaleta msisimko katika ligi ya nchi husika. LAKINI sasa, kasheshe inakuja pale nchi husika inapotakiwa kuunda timu ya taifs kwa ajili ya mshindano ya kikanda au hata kimataifa. Meena unaweza kunikumbusha lini timu ya taifa ya uingereza ime excel kwenye mashindano ya kimataifa au hata ki kanda,?
------------------------------
On Sat, Dec 1, 2012 10:46 PM EST nevilletz@gmail.com wrote:
>Ha ha ha Kivamwo,
>Rage alipokwenda Rwanda kumtafuta Mbuyi Twite akaishia kupiga naye picha alikuwa akimsaka Mtanzania?
>
>Mpira Duniani kote, wachezaji wanatafutwa, iwe kutoka ndani au nje. Okwi, Sunzu na wengine ambao Simba inajivunia ni wachezaji wa Kigeni.
>
>Sema tu kwa bahati mbaya Simba this time hawakujua wamsajili nani hasa kutoka nje kama Yanga walivyobugi katika usajili wa Davies Mwape na yule Mgana msimu uliopita.
>
>Ndo maana Simba wameamua kuwatimua yule Mkenya na Akuffor ambao pia siyo Watanzania. Lakini pia, timu nyingi, za Taifa ambazo hufanya vizuri ni zile ambazo huwachukua wachezaji wake wanaocheza soka la kulipwa nje.
>
>Nchi ambazo hazipendelei mtindo huu ni hasa za Kiarabu kama Misri, Sudan, Morocco, Algeria na pia Brazil ambayo hata hivyo nayo imeanza kuachana na utamaduni wake wa kuwahusudu wachezaji wa klabu zake za ndani tu.
>
>Wakati mwingine, tufanye uchambuzi wa kitaalamu kwenye soka letu na tuache unazi wa Simba na Yanga.
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>-----Original Message-----
>From: A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Sat, 1 Dec 2012 19:22:31
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: RE: [wanabidii] Timu za Tanzania zatinga robo fainali CECAFA
>
>
>Matinyi, uko sahihi kabisa .Hayo magalasa ya yanga ndio wachezaji wenyewe ambao timu hiyo iliweza kutoa ktk timu ya taifa kwani kwa kawaida yeboyebo inategea zaidi wachezaji wa kigeni. Ni aibu timu kubwa kama hiyo kuendekeza utegemezi wa foreigners. Kwahiyo inapokuja ishu ya national team yeoyebo wanakuwa hawana namna ya kuchangia wachezaji wa maana.
>------------------------------
> On Sat, Dec 1, 2012 9:45 PM EST Mobhare Matinyi wrote:
>
> >
> >Walitukwamisha na Maximo wao hawa!
> > > Date: Sun, 2 Dec 2012 02:42:18 +0000
> > From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
> > Subject: Re: [wanabidii] Timu za Tanzania zatinga robo fainali CECAFA
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Matinyi,
> >
> > Kwa Yanga hapo ndugu yangu unaleta uchokozi unajua kwa nini, wao kazi yao imekuwa kuwezesha ili wao Simba wamaalizie. Si rahisi wote waweze kufungga kaka. Habari za huko.
> >
> > KEMS
> >
> >
> > ------------------------------
> > On Sun, Dec 2, 2012 00:00 GMT Mobhare Matinyi wrote:
> >
> > >
> > >
> > >
> > >
> > >Timu zetu zote mbili zimeingia robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji kwa wakubwa mwaka 2012 zinazofanyika nchini Uganda. Michuano ya Robo Fainali itakuwa kama ifuatavyo (kwa mujibu wa tovuti ya Soccer Way): Jumatatu kipute cha kwanza: TANZANIA BARA na Rwanda.........................ndinga la pili: Uganda na Sudan Jumanne kipute cha kwanza: TANZANIA ZANZIBAR na Burundi.........................ndinga la pili: Kenya na Malawi Nusu Fainali ya Kwanza: Natabiri itacheza TANZANIA BARA na UgandaNusu Fainali ya Pili: Nabashiri itacheza TANZANIA ZANZIBAR na Malawi Mchezo wa Mshindi wa Tatu: Uganda na Malawi Fainali: TANZANIA BARA na TANZANIA ZANZIBAR. Hongera Tanzania Bara kwa kuifunga Somalia 7-0 huku mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa, akipiga magoli matano peke yake na golikipa wa Simba, Juma Kaseja, akiokoa magoli elfu. Hadi sasa Tanzania Bara ndiye yenye magoli mengi katika michuano hii kama ifuatavyo:Mrisho Ngassa ........... 5Boko wa Azam
> > ........... 4 Wachezaji wa Yanga bado hawana mchango kwa timu yetu, wazungukazunguka tu! Matinyi.
> > >
> > >--
> > >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> > >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> > >
> > >DELL LATITUDE D 620 & D30
> > >
> > >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> > >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> > >
> > >TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
> > >
> > >CALL : 0786 806028
> > >Free Delivery in Dar es salaam
> > >
> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> > >
> > >Disclaimer:
> > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > >
> > >
> >
> > --
> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> > nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> > TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> > CALL : 0786 806028
> > Free Delivery in Dar es salaam
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
> >
> >
> >--
> >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> >DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> >TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> >CALL : 0786 806028
> >Free Delivery in Dar es salaam
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment