Wednesday, 31 October 2012

[wanabidii] Jumuia ya Wazazi CCM Mwenyekiti ni Mh. Abdala Bulembo Majura - Mwanzo

http://wotepamoja.com/archives/9896#.UJIAjwFUQF8.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 
Read More :- "[wanabidii] Jumuia ya Wazazi CCM Mwenyekiti ni Mh. Abdala Bulembo Majura - Mwanzo"

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Leo ni Chelsea Vs Man U


Naona njia nyeupe kwa Chelsea kuchukua kombe hili

Refa wa jana angechezesha Mechi zote za Man U lazima wangekuwa chini ya Liver kwenye msimamo wa ligi hivi sasa

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 1 Nov 2012 01:59:59 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Leo ni Chelsea Vs Man U

Wazee wa CHELSEA walitumia uzoefu dhidi ya serengeti boys wa Fagie wasio na uzoefu

Pos Team P Pts
1 Chelsea 9 22
2 Manchester United 9 21
3 Manchester City 9 21
4 Tottenham Hotspur 9 17
5 Everton 9 16
6 Arsenal 9 15
7 Fulham 9 14
8 West Bromwich Albion 9 14
9 West Ham United 9 14
10 Newcastle United 9 13
11 Swansea City 9 11
12 Liverpool 9 10
13 Stoke City 9 9
14 Sunderland 8 9
15 Wigan Athletic 9 8
16 Norwich City 9 7
17 Aston Villa 9 6
18 Reading 8 4
19 Southampton 9 4
20 Queens Park Rangers 9 3


Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www.kivuyo.com,  Skype: lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lembu.kivuyo, Titter: http://twitter.com/lembu1, Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo, Google+: gplus.to/lembukivuyo

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Leo ni Chelsea Vs Man U"

Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

Said,

Tatizo ni ukaidi dhidi ya waTz. Badala ya kulalama hapa waambieni wafuasi wenu watii amri na wafuate taratibu muafaka za kuvunja muungano na sio kwa maandamano na kuchoma makanisa yetu! Huyo ana bahati kanyonyolewa nywele tu, je, mbona polisi aliyeuawa, hamjaitisha press conference?

Ujinga mtupu! Muungano oyeee!!!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 31 Oct 2012 17:32:57 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

"Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, kijana aliyenusurika kuuawa, Salum Bakari Muya alidai aliteswa 
kwa kukatwa ngozi kwa kisu kichwani na kisha kunyonyolewa nywele na polisi ambao pia walikuwa na silaha".  

I say, hii inasikitisha. Haya mambo yalikuwa yafanywe na mkoloni na sio na JK!!!

Read More :- "Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!"

[wanabidii] Abdalla Majula Bulembo - Mkiti Mpya WAZAZI CCM

Read More :- "[wanabidii] Abdalla Majula Bulembo - Mkiti Mpya WAZAZI CCM"

[wanabidii] TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAM ZANZIBAR

"JUMAZA inaiomba Serikali kuunda Tume Huru ya kuchunguza kadhia ya kutekwa Sheikh Farid Hadi na ripoti yake iwasilishwe kwa uwazi kabisa kwa Wazanzibari na Jumuiya ya Kimataifa. 
JUMAZA kama ilivyotangulia kusema kufuatia vurugu na fujo katika uchaguzi mdogo wa Bububu, kuwa kipo kikundi cha watu wanaotekeleza mipango yao ya kuihujumu Zanzibar kwa kupinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa ( SUK ) ili kuwarejesha Wazanzibari katika maisha ya hasama na uadui baina yao pamoja na kupinga harakati za kupigania hadhi ya Zanzibar ndani na nje, Kimataifa. Kutokana na tatizo hili linaloendelea kukua na katika kuiangamiza Zanzibar, JUMAZA inatoa tamko lifuatalo:-"

Read More :- "[wanabidii] TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAM ZANZIBAR"

[wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

"Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, kijana aliyenusurika kuuawa, Salum Bakari Muya alidai aliteswa 
kwa kukatwa ngozi kwa kisu kichwani na kisha kunyonyolewa nywele na polisi ambao pia walikuwa na silaha".  

I say, hii inasikitisha. Haya mambo yalikuwa yafanywe na mkoloni na sio na JK!!!

Read More :- "[wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!"

Re: [wanabidii] Hali Ya Usalama inatisha-wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma

Kaka Godfred,

>Asante sana Bw. Issa. Maana kule nyumbani tupo mbali na vyombo vya habari na matukio mengi hayatangazwi huku wananchi wakipata shida. Asante.

ZANZIBAR NI KWETU ni blog la wananchi na siku zote lipo in the forefront fighting for the wananchi of this country!
We would move heaven and hell and anything in between to get things right in this country!
Please, do not hesitate to contact us at <znzkwetu@gmail.com> for any information that you need to disseminate to the rest of us!
Kila la kheri!

...bin Issa


From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, October 30, 2012 4:26:08 PM
Subject: Re: [wanabidii] Hali Ya Usalama inatisha-wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma


Asante sana Bw. Issa. Maana kule nyumbani tupo mbali na vyombo vya habari na matukio mengi hayatangazwi huku wananchi wakipata shida. Asante.
 
Godfred


--- On Tue, 10/30/12, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:

From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Hali Ya Usalama inatisha-wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "mwananchipapers@mwananchi.co.tz" <mwananchipapers@mwananchi.co.tz>, "godfred mbanyi" <mbanyibg@yahoo.com>
Date: Tuesday, October 30, 2012, 7:41 AM

Kaka Godfred,
Tumekusikia na tumewaomba ZANZIBAR NI KWETU wayaweke maelezo yako kwenye front page la blog for at least one week.
Tunajua wanaohusika watayaona maelezo yako na hatua za haraka zitachukuliwa.
Ikiwa kwa maandamano JWTZ lilitolewa kwa haraka kuilinda nchi yetu, bila ya wasiwasi wowote ule kwa matatizo haya ya Kakonko JWTZ itabidi lirejeshwe, tena kwa kishindo kuliko mwanzo.
Tuombe kheri na tupo pamoja nanyi wanavijiji wa Kakonko katika wakati huu mgumu kwenu.
Kila la kheri.


...bin Issa.
N.B.
Please, keep us informed!


From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: mwananchipapers@mwananchi.co.tz
Sent: Tuesday, October 30, 2012 8:15:43 AM
Subject: [wanabidii] Hali Ya Usalama inatisha-wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma


 
Imenibidi nijitokeze hapa jukwaani kueleza hali ya usalama ilivyo mbaya katika wilaya mpya ya Kakonko katika mkoa wa Kigoma. Wilaya hii ni kati ya zile mpya zilizoanzishwa hivi karibuni. Mwanzoni ilikuwa ni tarafa mojawapo za wilaya ya Kibondo.
 
Kijiografia, wilaya hii imepakana na wilaya ya Ngara, Kibondo pamoja na nchi ya Burundi.
 
Katika siku za nyuma, kati ya 1999-2003, hali yetu ya usalama ilikuwa mbaya kiasi kwamba wananchi wengi waliibiwa mifugo, pesa na mali zingine ikiwa ni pamoja na wengine kuuawa kwa risasi na mapanga! Hii ilikuwa enzi za vita vya msituni vilivyompeleka madarakani Mhe. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
Baada ya kuona hali imekuwa tete, wananchi tuliendesha mikutano na kupeleka maombi mkoani kuomba msaada wa ulinzi ambapo serikali ilianzisha detach za JWTZ katika vijiji vingi vya mpakani vikiwemo vya Rumashi, Gwarama, Muhange, n.k.
Hatimaye wananchi wakapata ahueni na kuendelea na shughuli za kujitafutia riziki.
Kwa masikitiko makubwa, hivi karibuni serikali iliamua kufunga detach zake zote za vijijini na askari wote kurudishwa Kakonko! Hii imepelekea kuibuka kwa unyama na ujambazi wa kutisha sana katika vijiji vya wilaya hii.
Kwasasa watu hawalali, wanashindwa kufanya shughuli za uzalishaji kwa kuhofia usalama wao. Ikumbukwe kuwa nchi ya Burundi imetoka vitani na kuna vijana wengi walikuwa waasi na sasa wamerudi vijijini baada ya jeshi la Taifa kuundwa upya! Vijana hawa wengi wao wanamiliki silaha na wanazitumia kufanya uhalifu ndani ya Burundi na vijiji jirani vya Tanzania.!!!
Labda niwape takwimu za utekaji wa magari na watu katika wiki mbili tu zilizopita:
Tar 22.10.2012, magari matatu yaliyokuwa yanatoka katika vijiji vya Nyabibuye na Rumashi kuelekea Kakonko yalirushiwa risasi mfululizo katika eneo la Muruhuru ambapo magari mawili yalifanikiwa kukimbia huku moja likitekwa na abiria wote kupigwa na kunyanganywa kila kitu walichokuwa nacho!
Tar 25.10.2012 , gari moja na pikipiki mbili zilitekwa katika eneo la Kumkambati (katikati ya  Rumashi na Nyabibuye). Abiria waliibiwa kila kitu zikiwemo simu na pesa.
Tar 26.10.2012, magari matatu yalitekwa katika eneo la Ntanga (upande wa Ngara) ambapo abiria waliibiwa na kupigwa!
Jana tar 29.10.2012,magari mawili yametekwa eneo la Katengera yakielekea Kakonko!!
Na haya ni miongoni tu mwa matukio yanayotokea katika wilaya hii.
 
Sasa imekuwa ni hofu tupu kwa wananchi,kila mtu anaogopa hata kwenda shambani kulima hasa ukizingatia msimu huu ni wa kilimo.
Wafanya biashara wanazidi kukatwa mitaji na majambazi na wahuni hawa! Wafanyakazi wanaogopa kufuata mishahara benki. Sasa wameanza kuvamia nyumba za wafanya biashara usiku na kuwapora kila wanachokikuta!!
Mimi kama mzaliwa wa eneo hilo (ninaishi Dsm),hali hii imenitisha na kunihuzunisha sana. Watu wanazidi kudidimizwa kiuchumi na kuendelea kuwa masikini.
Vile vile ni muhimu kukumbuka kuwa, katika vijiji kama vya Rumashi, Gwarama, Kabare, Nyabibuye, n.k, kuna wananchi wamegeuka masikini tangu hali hii ilipojitokeza miaka ya 1999 ambapo waliibiwa mifugo yao na mali zingine tena kwa risasi za mirindimo!! Watu hawa hawakupata fidia yoyote pamoja na juhudi kubwa alizozifanya Mkuu wetu  wa Wilaya enzi hizo, Col. John Mzurikwao!
Majambazi hawa wanatamba sana kwa sababu ya umbali wa kijiografia ambapo matukio mengi hayatangazwi na wala hakuna waandishi wa habari waliopo karibu!
Sasa hofu imekuwa kubwa kwani kuna uwezekano mkubwa wa majambazi hawa toka Burundi kupata ushirika na wenzao wa upande wa Tanzania na kuendeleza unyama huu!!
 
Naomba ndugu zangu kwa wale wenye mapenzi mema, watusaidie kufuatilia jambo hili ili usalama uweze kurudi na wananchi waweze kuendelea kufanya kazi zao kama kawaida.
Pamoja na juhudi kubwa za OCD wetu wa Kakonko, tunaomba detach za JWTZ zirudishwe katika vijiji vya awali mpaka hapo usalama utakapothibitika kurudi kama kawaida.
Naamini kupitia jukwaa hili pamoja na vyombo vingine vya habari, tutapata msaada stahiki.
 
Godfred B. Mbanyi
0786 571349


 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


Read More :- "Re: [wanabidii] Hali Ya Usalama inatisha-wilaya mpya ya Kakonko mkoani Kigoma"