Thursday 24 August 2017

[wanabidii] Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi 9.09.2017

Ngoma Africa Band Kutumbuiza mjini Bremen,Ujerumani Jumamosi 9.09.2017
FFU-Ughaibuni Kuzidi kuwatia kiwewe washabiki Ulaya !


Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni yenye maskani nchini ujerumani,inatarajiwa kulitingisha jiji la Bremen siku ya jumamosi 9.09.2017 katika ukumbi wa Wisserterasse kuanzia saa mbili usiku,bendi hiyo iliyojijengea umaarufu katika kila kona kwa tabia zake za kuwadatisha akili washabiki wake katika majukwaa ya kimataifa kwa kutumia mdundo wake "Extraordinary Bongo Dansi" ndio bendi pekee ya kigeni barani ulaya inayodumu katika tasnia ya muziki kwa muda mrefu barani ulaya tangu kuanzishwa kwake mwaka 1993 na kiongozi wake mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wa himaya yake ya viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" usikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com au wape hai at www.facebook.com/ngomaafricaband

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment