Wednesday 30 August 2017

Re: [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA TAIFA

Kama tunaweza kusifia mtu akifanya vizuri, kwa nini tunaogopa/tunaona
si uzalendo akifanya makosa na akakosolewa. Sijui tuna akili ya aina
gani au tumeingiwa na wazimu gani!

On 8/29/17, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Nana Issue??? bado hujaona kuwa tunaanza kuaibika? Isubiri issue
>
>
> From: Steven Stey <parokostey@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, August 23, 2017 11:58 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: TABIA HII YA LISU: SIKU MOJA ITALIAIBISHA
> TAIFA
>
> Hana issue On Aug 16, 2017 3:33 PM, "'lucas haule' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> ??????????
>
>
> On Wednesday, August 16, 2017, 1:10:27 PM GMT+3, 'hussein siyovelwa' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Hongera, MR. MUHINGO  kwa makala yako nzuri kuhusu Tundu Lissu. Kwa bahati
> mbaya nilichelewa kuisoma. Tatizo la Lissu ni ujinga uliofunikwa blanketi la
> weledi. anapinga kuliko aliowakuta katika upinzani. Shida ni kwamba anapinga
> ili kuthibitisha uaminifu wake kwa wakuu wake na si kwa ajili ya maslahi ya
> nchi. MI NADHANI HATALIABISHA TAIFA ISIPOKUWA ATAJIABISHA MWENYEWE NA
> WANAOMSHABIKIA. mfano katika suala la makinikia alijidhihirisha mwenyewe
> kwamba uzalendo wake ni wa kutiliwa mashaka. NI JUKUMU LETU WAZALENDO
> KUMZOMEA KWA HOJA KILA ANAPOTOA UONGO WAKE ILI AJUE KWAMBA ANAJIDHARAULISHA.
>
>
>
> On Monday, 24 July 2017, 23:14, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> wrote:
>
>
> Toka rais Magufuli alipoingia madarakani kumekuwa na sura mbiliduniani.Nje
> mataifa mengi yanamuunga mkono. Baadhi ya wananchi wanatamaniangekuwa rais
> wa nchi zao.Ndani ya nchi wananchi walio wengi wanamuunga mkono. Wanaanza
> kuonaadha walizolalamikia zimepungua, au kuna matumaini kuwa mbele kuna
> matumaini.Makundi haya mawili ni sehemu ya sura moja. Yote yana
> sababuzinazofanana.Mataifa mengi hasa ya uchumi mdogo, yaani mataifa maskini
> wamechoshwana Rushwa, ufisadi, wizi, ukosefu wa uwajibikaji nakadhalika.
> Viongozi waliowengi wamekuwa wakijilimbikiza mali na kwa kweli wakishaingia
> madarakaniwanaanza kuishi kama wale walio katika mataifa tajiri huku
> wananchi waowakiumia. Wanaumia kwa kubeba serikali kubwa na zenye marupurupu
> yasiyonenekahuku huduma za kijamii zikibaki chini na watawala wakisingizia
> hali mbaya yaumaskini. Tanzania hatukupona hilo. Nisamehewe kwa kutaja
> mifano ya karibu.Serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani ilionekana
> kugawa vyeo si kwamanufaa ya wananchi bali waliopata vyeo. Tukumbushane
> mgawanyo wa Wizara yamambo ya ndani kwa kuanzisha wizara ya usalama wa raia.
> Mpaka tulipopiga kelelekwa usikivu wa rais akazirudisha zikawa moja. Lakini
> tumeshuhudia mgawanyo wawilaya na mikoa huku hayo hayaleti tija bali mzigo
> kwa walipa kodi.Tumeshuhudia utumbuaji wa mali ya umma kupitia misafara
> mirefu na safari zamara kwa mara za viongozi. Tumeshuhudia watu Fulani
> wakiwa na uhakika kwambahawawezi kuguswa na vyombo vya dola. Tumeshuhudia
> kashfa zinatokea, uchunguziunafanyika, inaonekana wazi kuwa Fulani na Fulani
> wana kesi ya kujibu lakinihawashtakiwi. Ikafika mahala wengine wakataka
> kugombea na kutaka kulitawalataifa. Ukweli tulifika mahala maneno ya
> kuchochea maasi yakaanza kutoka. Nakumbukakusoma mahala mtu akitania (au
> akimaanisha) kuwa kama Mwamnyange akiingia ikuluatashangilia. Tulifika
> mahala pabaya. Ukweli tulifika mahala watu wakadhaniuchaguzi hauwezi
> kutusaidia kutoka kwenye shida hizi. Hayo yakiwa hapa nchinindivyo ilivyo
> kwenye mataifa yote yanayomshangilia na kumpongeza magufuli. Mataifa na
> mashirika yanayotufadhili katika miradi mbalimbali walifikamahala wakaamua
> kuacha kutusaidia. Ikawa viongozi watoke nje kubembelezamisaada. Wakawa
> wanakwenda nchi kumi wanaahidiwa sehemu mbili tu. Baada ya uchaguzi, 2015 na
> Dr. John Magufuli kushinda Tanzania naulimwengu tulishuhudia mabadiliko. Mtu
> aweza kuandika mengi; lakini napendakuyaandika kwa muhtasari:=
> TumeshuhudiaSerikali ikipunguza kwa kiasi kikubwa matumizi yasiyo ya lazima.
> Safari ziliachwana sasa zinadhibitiwa. Vikao visivyo vya lazima havifanyiki
> na vinavyofanyikahavitumii posho za ajabu au kutumia matumizi ya anasa huku
> tukiwa maskini.=             Wizi wa ajabuumedhibitiwa. Wafanyakazi hewa
> wameondolewa na kama wamebaki basi ni kwa kiwangokidogo sana. Mikataba
> iliyokuwa inatuibia imerekebishwa na kwa kweli raisamethubutu kuifumua
> mikataba.=             Mafisadi, walarushwa, na waharibifu wa mali za umma
> vimedhibitiwa kwa kiwango kikubwa.=             Biashara namatumizi ya
> madawa ya kulevya vimeshughulikiwa kwa kiwango cha hali ya juu nasi muda
> mrefu kuna watu watakuja kujifunza Tanzania ilifanyaje katika vita
> hii.=             Nidhamu imerejea. Naniangetegemea watu kama Singasinga wa
> IPTL angelala rupango? Nani angefikiriManji angelala lockup? Wafanyakazi
> serikalini na ofisi za umma kwa ujumla sasaukifika unahudumiwa kwa nidhamu
> sana. Kuna wanaosema watu hawako huru. Nani alitarajiawatu waliokuwa
> wanaingia ofisini na kutoka, waache tabia hiyo kwa uhuru? Nihalali
> walazimishwe kufika kazini na kuifanya kwa ufanisi. Kama wanalazimikasawa.
> Si wanalazimika kwa mujibu wa mikataba tu? Lakini nidhamu imerudi. Kazi hii
> kubwa iliyofanywa na rais Magufuli imefanikiwa na kuonwandani na nje.
> Viongozi badala ya kusubiri rais aende kwao kuomba sasa wanakujawenyewe na
> kuahidi misaada. Tumeshuhudia majuzi waziri mkuu wa India anaamuakujiunga na
> rais magufuli alipotembelea kibaha huku akiwa kwao. Akakatishashughuli zake
> na kuhutubia mkutano wa magufuli kwa njia ya mtandao. Liniuliisikia hiyo.
> Tena anafanya hivyo kueleza shkrani zake na kuahidi kuisaidia
> Tanzaniakuondokana na tatizo la maji..Kwa wale waliokuwa wanafaidika wanaona
> hakuna mtu mbaya kama Magufuli.Wako tayari kufanya lolote na hii
> ilitarajiwa. Wako tayari kutumia mbinu yoyoteili kumyumbisha au kuyumbisha
> umma wa Tanzania. Wako tayari kugharimia kwanamna yoyote ile ikiwa ni pamoja
> na kuangalia kati yetu kuna nani wanaowezakulipwa wakafanya wanaloweza
> kufanya. Nitaeleza huko mbele lakini siamini kamaTundu Lisu, kwa mfano;
> hayuko kwenye Pay roll ya mtu Wakati hilo kundi hilo likiyaona anayoyafanya
> Magufuli kuna kundi lapili lililokataa si kuona tu anayofanya Magufuli bali
> haliko tayari kusikiaulimwengu unamsemaje. Kama watu wasio na akili wakati
> wengine wanamsifu waowanakazana kuwaelimisha wengine kuwa Magufuli hafanyi
> chochote. Kuna mambomengine kama unaona kitu Fulani na walio wengi wanaona
> kingine lazima utafutemkakati wa kuwaelimisha unachoona na namna bora ni
> kunyamaza kwanza. Hivi watuwaliokandamizwa na hayo yote niliyoyataja
> wawezaje kusimama mbele za watuukasema tunateseka kwa kukosa kibali cha
> kuandamana? Una akili kweli? Watu walikandamizana rushwa na ufisadi, mzigo
> wa serikali kubwa, makusanyo makubwa ya kodiisiyoonekana inafanya nini. Sasa
> hayo yameondoka. Unasema hatuna kibali chakuandamana. Kuandamana kudai nini?
> Mambo ya kufanya watu waandamaneyameondolewa. Kwanza hata bila kupiga
> marufuku kuandamana utaandamana kupinganini? Badala ya kwenda shambani
> kulima ili upitishe mazao kwenye barabara nzuriunataka utumie barabara nzuri
> kuandamana tena bila kudai chochote? Hii nayoinakutwa Tanzania tu. Angalau
> wengine wamejirudi. Wanasema Magufuli anafanya vizuri lakini======. Angalau
> hao unaweza kupata cha kujadiliana nao Lakini tunaye mwenzetu Tundu Lisu.
> Sehemu ninayomfahamu nimwanaharakati. Kwa kidogo nikijuacho anapenda kutetea
> haki. Hana historia yakuhusika na Rushwa. Niliwahi kuambiwa kuwa kama
> angekuwa mtoa rushwaangeishakuwa mbunge zamani. Kwa sababu hiyo nilitokea
> kumpenda. Wakati CHADEMAIkiwa na kiongozi (Dr. Slaa) kulikuwa na udhibiti.
> Mambo ya kipuuzi tunayoyaonasasa angekuwepo tusingeyaona. Wabunge wake
> walitamka mambo yaliyohaririwa kwamantiki. Sasa hayupo ndipo tunashuhudia
> madhara yake.Tundu lisu, mbunge wa Singida anatamka mambo mpaka UNAULIZA
> kama huyualilelewa na bibi yake au alilelewa msituni tu na nyani kwa hiyo
> utamaduni wabinadamu anajifunza kadri anavyowazoea binadamu. Ni kweli
> anamchukia Dr Magufuli.Huenda ana sababu. Huwezi kujua aliahidiwa nini kama
> chama chake kingeshinda. Anawezakuumia kuliko wengine. Kuna matamshi
> anayatamka juu ya Magufuli ukiyapimaunaona yako nje ya mlolongo wa siasa.
> Sipendi kutamka maneno yoyote anayoyasemaili kila anayetaka atafute. Lakini
> matamshi yake unaweza kujiuliza taaluma yakeina maadili ya kazi? Yeye ni
> Rais wa TLS. Hivi humo TLS ndivyo wanavyojibizanawakitofautiana? Au
> hawatofautiani? Watu wengi waliitahadhalisha TLS kuhusu Lisukuchaguliwa kuwa
> rais wa taasisi hiyo. Kwa ushabiki sijui niuiteje wakamchagua.Bila shaka
> walidhani wanamkomesha aliyewatahadhalisha. Sasa tunajiuliza TLS inaCodes of
> Conduct? Zinaruhusu hayo tunayoyaona Lisu akifanya? Sasa nina uhakikakuwa
> TLS iko njia panda: Kuendelea kukubaliana na Lisu, heshima yake
> ikashukamachoni pa jamii au kuamua kujitenga na Lisu. Kama Codes of Conduct
> zinaruhusuhayo basi ndiyo hivyo. TLS inafutika. Inajifuta.Mwenendo huu wa
> Lisu usipodhibitiwa basi taifa litaingia pabaya. Mimininadhani hatutafika
> huko. Kama Serikali itashindwa, wapo wazalendo wa nchi hiiwatamdhibiti
> Tundu.Subiri kidogo. Elisa Muhingo0767 187 507elisamuhingo@yahoo.com --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
> --

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha

> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment