Kwangu CCM is dead.
em
2017-03-17 16:26 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kwa ninihaikuhusu?
--------------------------------------------
On Fri, 3/17/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO NDANI YA CCM: NINI FAIDA AU HASARA ZAKE KWA MAENDELEO YA DEMOKRASIA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 17, 2017, 7:23 PM
Hii
hainihusu.em
to wanabidii+unsubscribe@2017-03-16 16:35 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Chama cha
Mapinduzi kimerekebisha katiba yake kwa makusudi ya
kukifanya kijitegemee badala ya kutegemea "wafadhili";
kiboreshe utendaji wake; kipunguzr garama za uendeshaji na
kuondoa muingiliano; mambo ambayo yakifanikiwa yatarudisha
chama mikononi mwa wanachama wa kawaida na kukiweka karibu
na wananchi. Mambo haya yalitarajiwa kufanyika mwaka 2005
alipoingia madarakani rais mstaafu Jakaya kikwete. Nakumbuka
kuandika makala kuonyesha tumaini la wanachama hilo. Kumbe
hii ilikuwa haiwezekani mpaka kiongozi awe na uwezo wa
kuwaambia wenye pesa waeleze kama kuna aliyemchangia hata
shilingi katika kampeni za uchaguzi.
Jambo lolote likifanyika lazima likubalike na lipingwe. Kwa
hiyo napenda kujadili mambo matatu; kufanikiwa kwa
mabadiliko hayo; kukubaliwa kwa mabadiliko hayo na
kukataliwa kwa mabadiliko hayo na athari zake hasi na
chanya.
Mabadiliko haya yakubalike yasikubalike kwa wote lazima
yatafanikiwa. Yatafanikiwa kwa sababu tayari yamepitishwa
bila kuonekana kupingwa. Nasema kuonekana kupingwa kwa
sababu kura za ndiyo zilikuwa nyingi na hakukuwa na sauti za
hapana. Lakini baada ya sauti hizo, mtu angesambaza karatasi
watu wapige kura ya siri ndipo tungeona tofauti. Kuna watu
wangepiga kura ya hapana.
Chama Cha mapinduzi, kama vilivyo vyama vingine vya siasa
hapa Tanzania, vimekuwa mbali sana na wananchi hasa
wanyonge. Ukiondoa CHADEMA kilivyokuwa kati ya mwaka 2007
hadi 2015 kilipojiweka karibu na shida za wanyonge; lakini
vyama vyote , (na CHADEMA ikiwemo baada ya kipindi hicho cha
2007-17) vyama vya siasa vimemilikiwa na matajiri na
wafanyabiashara haramu. CCM iliwakumbatia ikafikia mahala
vijiwe vya kuuzia bangi vinasimikwa bendera ya CCM au
kufungua tawi la wakereketwa na kuendelea kwa uhuru. Rushwa
zilitawala katika chaguzi mbalimbali za chama. Watu kwa
mfano walitafuta nafazi za ujumbe wa halmashauri kuu ili iwe
rahisi kwao kugombea ubunge ambao mavuno ya kiinua mgongo
baada ya myaka mitano ni ya ajabu. Hivyo shida za wananchi
zikawa ni kuzisikiliza na kuziacha hapohapo. Viongozi wakawa
na matamshi kana kwamba hawaishi Tanzania. Mfano mmoja ni
mbunge aliyesema Serikali ipandishe kodi ya Petrol kwa
sababu magari yake ni ya anasa. Akasahau kuwa bodaboda
wanatumia Petrol na wanabeba maskini. Madaktari wanatumia
magari yao ya Petrol kwenda kuokoa maisha ya maskini.
Hawajui kuwa magari ya Diesel ndiyo ya hanasa kuliko ya
Petrol, ukiondoa magari ya mizigo na mabasi. Wananchi
wakakosa jambo walilolizoea, kuwa na chama kilicho karibu
nao. Kama nilivyosema hapo juu katika kipindi tajwa, CHADEMA
kilijiweka karibu na wananchi kwa kuzitajataja shida za
wananchi na namna ya kuzitatua. Wananchi wengi wakakiandama.
wanaCCM wakiwemo viongozi wakahangaika wafanyeje kukirejesha
chama karibu na watu. Moja kati ya mazoa ni uanzishwaji wa
CCJ. Magufuli ni zao la msuguano huo. CCM ilibanwa, ikaona
ikiendelea kuwakumbatia wenye fedha ndio mwisho wake.
Kikamchagua Magufuli awe mgombea wa nafasi ya urais 2015.
Tunakumbuka kigugumizi alichokuwa akikabiliana nacho kuitaja
CCM katika kampeni zake. Ni kwa sababu CHADEMA ilitelekeza
mwelekeo wake kwa kuwakumbatia watuhumiwa wa ufisadi; na CCM
kumuweka mtu anayeuzwa na rekodi yake ya utendaji, la sivyo
2015 ulikuwa ni mwaka ambao CCM ingeondolewa madarakani.
Nakumbuka mwandishi mmoja wa makala kuandika kuwa Kama CCM
haitaondolewa 2015 basi itachukua myaka mingine mingi
upinzani kujipanga kuiondoa. Maana ya mwandishi huyo ilikuwa
ni hiki kinachojitokeza kwamba CCM inajijenga upya na
inakwenda kwa wananchi. Ikumbukwe kuwa CCM inao uzoefu wa
kutosha. Inao watu wa namna zote; Viongozi wazuri wako CCM.
Viongozi wabovu wako CCM. Kilichokuwa kinakosekana ni namna
ya kuwaengua viongozi wabovu safu ya mbele na kuwasukuma nje
au safu za nyuma.
Sasa ameingia fyatu. Hajui kuheshimu mtu labda kama mtu huyo
anajiheshimu mwenyewe. Matamshi kama yaliyotamkwa na msukuma
Bungeni hutayasikia tena, Kuwa bangi ni zao halali
lihalalishwe? Hakuna. Nidhamu moja kwa mbele. Kila kiongozi
atalinda nafasi yake kwa utendaji wake.
Matunda ya mabadiliko haya yanaweza kuishia kwa kupanuka CCM
ikawa na wanachama na washabiki na wapenzi wengi. Matunda ya
kazi yake yataonekana yatake yasitake. Kama viongozi
watakwenda kwa wananchi na kuziangalia kero zao na kutoa
maelekezo kwao au kwa uongozi wa serikali, hakutakuwa na
kiongozi wa serikali anayelala. Kama alivyosema Mwenyekiti
wa CCM katika mkutano maalum, kuwa mvua zinanyesha lakini
viongozi wengine hawawahimizi wananchi kulima mazao ya muda
mfupi. Kama viongozi wa serikali na wachama watalazimika
kutoa taarifa walifanya nini katika tatizo Fulani, hapo
wananchi watajikuta wana chama tawala na serikali vilivyo
karibu nao.
Ikitokea hali ikawa hivyo na vyama vingine vikakosa kwenda
na mabadiliko ndani ya CCM basin chi ya vyama vingi itageuka
kuwa ya chama kimoja kwani wananchi watakuwa wanashiriki
mikutano ya vyama vyote na kuichagua CCM kwa wingi na
kuibakiza madarakani.
Upo uwezekano wa watu wengine kupinga mabadiliko haya. Kuna
viongozi ambao kwa kupungua kwa ukubwa wa muundo wa chama au
kupungua kwa wingi wa wajumbe kuna wanaoweza kujiengua ili
kutafuta maslahi katika vyama vingine. Wengine wanaweza
kuhama kwa kusudi la kwenda kutafuta uongozi maana wamezoea
kazi za siasa. Lakini pia kutokana na marupurupu (kwa maana
ya posho) kupungua watu wengine wataendeshwa na itikadi na
sera. Naamini kuna watu wako CCM si kwa sababu ya mwelekeo
wake wa ujamaa bali wanaongozwa na uwepo wa posho na maslahi
mengine binafsi. Zikisha pungua kitakachowaongoza ni itikadi
na sera za chama.
Kwa muhtasari Mabadiliko ndani ya CCM:
1 Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kurudi karibu
sana na wananchi hasa wale wa kawaida ambao kiliwatelekeza
muda.
2 Kama vyama vingine havitaiga mabadiliko hayo
basi taifa linaweza kujikuta likiongozwa na chama kimoja
huku vingine vikiishi katika daftari la msajili wa vyama
tu.
3 Kama Chama cha mapinduzi kikipoteza baadhi ya
wanachama wake na wakajiunga na vyama vingine hasa ambavyo
vitaenda na mabadiliko basi taifa litakuwa na vyama vya
siasa ambavyo vitashindana kwa sera. Matokeo yake ni
kuinufaisha CCM kwa muda vitakapokuwa vikijijenga upya na
baada ya hapo ushindani wa kisiasa kupanuka sana nchini
Mwisho taifa litanufaika kwa sababu kukiwa na vyama viwili
au vitatu vyenye nguvu vinavyoshindana kwa hoja ni manufaa
kwa demokrasia ya nchi. Katika mazingira yoyote, lazima kila
kundi lijitenge na watu wenye historia ya sifa mbaya.
Vinginevyo vitadhoofika kama vinavyodhoofika vingine
vilivyozoa hovyo.
Elisa Muhingo
0767 187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must be presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment